Tangu awamu ya 5 ilipoingia madarakani, mchakato wa uchaguzi ulivurugwa kwa kiwango kisicho vumilika. Na bahati mbaya huo ujinga unaendele mpaka sasa.Tume ya sasa inautofauti gani na tume zilizopita ulizopiga kura?
Hili ndo jibu la swali langu?Tangu awamu ya 5 ilipoingia madarakani, mchakato wa uchaguzi ulivurugwa kwa kiwango kisicho vumilika. Na bahati mbaya huo ujinga unaendele mpaka sasa.
Watu wanavizia hela za ruzuku na tonetoneMiezi miwili iliyopita niliwasihi CHADEMA wabadilishe kauli mbiu yao ya ‘no reforms, no elections’ na waache kusema [hususan mwenyekiti wao mpya] watauzuia uchaguzi kufanyika endapo hakutakuwepo mabadiliko ya namna chaguzi zetu zinavyofanyika.
CHADEMA badilisheni hiyo kauli mbiu ya "No Reforms, No Elections"
My two cents from a distance. Siyo siri kwamba naunga mkono kutokushiriki chaguzi za maigizo zinazoendeshwa na CCM. Naunga mkono harakati karibu zote za mwenyekiti mpya wa CHADEMA za kuleta mabadiliko ya kweli. Yote anayofanya ni sahihi kasoro hili la kusema kuwa watazuia uchaguzi kufanyika...www.jamiiforums.com
Kusema mtauzuia uchaguzi kufanyika endapo hakutakuwepo na mabadiliko ni rahisi sana kutafsiriwa kivingine na mtu yeyote yule. Na hicho ndo kimepelekea Lisu kukamatwa na kuwekwa kizuizini.
Kutoa kauli za namna hiyo [zenye kutafsirika kwa namna mbalimbali] kunairahisishia kazi CCM na serikali yake, ya kuwabana kuwa mnachochea vurugu.
Kwenye harakati kama hizi za kisiasa, moja ya kanuni kubwa zaidi ni kutokumrahisishia kazi mpinzani wako.
Kwa kutumia mfano wa mchezo wa mpira wa miguu, usijifunge magoli wewe mwenyewe au usicheze rafu kwenye eneo la penati au kwenye eneo la mita kumi na nane.
Sasa, CCM na serikali yake huwezi kuihusisha sana na matumizi ya akili kwa namna wanavyoiendesha nchi.
Lakini, hiyo isiwe sababu ya kuirahisishia kazi yao ya unyanyasaji.
Itakuwa vyema endapo huu uongozi mpya wa CHADEMA utaliangalia kwa maanani stahilifu hili suala la mawasiliano kwa umma.
Sijui idara yao ya mawasiliano ina watu gani na wenye sifa zipi.
Ila kwa kinachoendelea mpaka sasa naweza kusema idara hiyo bado ina nafasi kubwa na pana ya uboreshwaji.
Wataalamu wa mawasiliano kwa umma tupo. Just reach out and we’ll offer our helping hand in your messaging.
Happy Easter.
Ndio swali langu,iweje??Mbona nimeshasema kuwa hiyo kauli ilipaswa kubadilishwa.
Au hujaelewa nilichokiandika?
Upo sahihi,lkn CDM ilikuwa inepoteza ushawishi,NRNE ilikuwa ni namna ya kuirudisha CDM kwenye masikio ya watu.Yani kuja kivingineMiezi miwili iliyopita niliwasihi CHADEMA wabadilishe kauli mbiu yao ya ‘no reforms, no elections’ na waache kusema [hususan mwenyekiti wao mpya] watauzuia uchaguzi kufanyika endapo hakutakuwepo mabadiliko ya namna chaguzi zetu zinavyofanyika.
CHADEMA badilisheni hiyo kauli mbiu ya "No Reforms, No Elections"
My two cents from a distance. Siyo siri kwamba naunga mkono kutokushiriki chaguzi za maigizo zinazoendeshwa na CCM. Naunga mkono harakati karibu zote za mwenyekiti mpya wa CHADEMA za kuleta mabadiliko ya kweli. Yote anayofanya ni sahihi kasoro hili la kusema kuwa watazuia uchaguzi kufanyika...www.jamiiforums.com
Kusema mtauzuia uchaguzi kufanyika endapo hakutakuwepo na mabadiliko ni rahisi sana kutafsiriwa kivingine na mtu yeyote yule. Na hicho ndo kimepelekea Lisu kukamatwa na kuwekwa kizuizini.
Kutoa kauli za namna hiyo [zenye kutafsirika kwa namna mbalimbali] kunairahisishia kazi CCM na serikali yake, ya kuwabana kuwa mnachochea vurugu.
Kwenye harakati kama hizi za kisiasa, moja ya kanuni kubwa zaidi ni kutokumrahisishia kazi mpinzani wako.
Kwa kutumia mfano wa mchezo wa mpira wa miguu, usijifunge magoli wewe mwenyewe au usicheze rafu kwenye eneo la penati au kwenye eneo la mita kumi na nane.
Sasa, CCM na serikali yake huwezi kuihusisha sana na matumizi ya akili kwa namna wanavyoiendesha nchi.
Lakini, hiyo isiwe sababu ya kuirahisishia kazi yao ya unyanyasaji.
Itakuwa vyema endapo huu uongozi mpya wa CHADEMA utaliangalia kwa maanani stahilifu hili suala la mawasiliano kwa umma.
Sijui idara yao ya mawasiliano ina watu gani na wenye sifa zipi.
Ila kwa kinachoendelea mpaka sasa naweza kusema idara hiyo bado ina nafasi kubwa na pana ya uboreshwaji.
Wataalamu wa mawasiliano kwa umma tupo. Just reach out and we’ll offer our helping hand in your messaging.
Happy Easter.
Kwani nawe wamesha kuahidi jimbo haramu wapi?no reform no electionMiezi miwili iliyopita niliwasihi CHADEMA wabadilishe kauli mbiu yao ya ‘no reforms, no elections’ na waache kusema [hususan mwenyekiti wao mpya] watauzuia uchaguzi kufanyika endapo hakutakuwepo mabadiliko ya namna chaguzi zetu zinavyofanyika.
CHADEMA badilisheni hiyo kauli mbiu ya "No Reforms, No Elections"
My two cents from a distance. Siyo siri kwamba naunga mkono kutokushiriki chaguzi za maigizo zinazoendeshwa na CCM. Naunga mkono harakati karibu zote za mwenyekiti mpya wa CHADEMA za kuleta mabadiliko ya kweli. Yote anayofanya ni sahihi kasoro hili la kusema kuwa watazuia uchaguzi kufanyika...www.jamiiforums.com
Kusema mtauzuia uchaguzi kufanyika endapo hakutakuwepo na mabadiliko ni rahisi sana kutafsiriwa kivingine na mtu yeyote yule. Na hicho ndo kimepelekea Lisu kukamatwa na kuwekwa kizuizini.
Kutoa kauli za namna hiyo [zenye kutafsirika kwa namna mbalimbali] kunairahisishia kazi CCM na serikali yake, ya kuwabana kuwa mnachochea vurugu.
Kwenye harakati kama hizi za kisiasa, moja ya kanuni kubwa zaidi ni kutokumrahisishia kazi mpinzani wako.
Kwa kutumia mfano wa mchezo wa mpira wa miguu, usijifunge magoli wewe mwenyewe au usicheze rafu kwenye eneo la penati au kwenye eneo la mita kumi na nane.
Sasa, CCM na serikali yake huwezi kuihusisha sana na matumizi ya akili kwa namna wanavyoiendesha nchi.
Lakini, hiyo isiwe sababu ya kuirahisishia kazi yao ya unyanyasaji.
Itakuwa vyema endapo huu uongozi mpya wa CHADEMA utaliangalia kwa maanani stahilifu hili suala la mawasiliano kwa umma.
Sijui idara yao ya mawasiliano ina watu gani na wenye sifa zipi.
Ila kwa kinachoendelea mpaka sasa naweza kusema idara hiyo bado ina nafasi kubwa na pana ya uboreshwaji.
Wataalamu wa mawasiliano kwa umma tupo. Just reach out and we’ll offer our helping hand in your messaging.
Happy Easter.
Naam, na ndo maana walipaswa kui tailor message yao kwenye kushawishi watu wasiende kupiga kura siku ya uchaguzi kuliko kusema watauzuia usifanyike.Kuzuia huwezi, maana ni haki ya kikatiba, ila kwa mtu mwenye akili timamu sidhani kama kuna haja ya kwenda kupanga foleni unachomwa jua eti unapiga kula
kah!No reform no election! Binafsi sitapiga kura chini ya usimamizi wa hii tume ya sasa.
Usubiri tusgindwe kuzuia uchaguzi ndio uje hapa upondeMtauzuiaje uchaguzi kutokufanyika?
Miezi miwili iliyopita niliwasihi CHADEMA wabadilishe kauli mbiu yao ya ‘no reforms, no elections’ na waache kusema [hususan mwenyekiti wao mpya] watauzuia uchaguzi kufanyika endapo hakutakuwepo mabadiliko ya namna chaguzi zetu zinavyofanyika.
CHADEMA badilisheni hiyo kauli mbiu ya "No Reforms, No Elections"
My two cents from a distance. Siyo siri kwamba naunga mkono kutokushiriki chaguzi za maigizo zinazoendeshwa na CCM. Naunga mkono harakati karibu zote za mwenyekiti mpya wa CHADEMA za kuleta mabadiliko ya kweli. Yote anayofanya ni sahihi kasoro hili la kusema kuwa watazuia uchaguzi kufanyika...www.jamiiforums.com
Kusema mtauzuia uchaguzi kufanyika endapo hakutakuwepo na mabadiliko ni rahisi sana kutafsiriwa kivingine na mtu yeyote yule. Na hicho ndo kimepelekea Lisu kukamatwa na kuwekwa kizuizini.
Kutoa kauli za namna hiyo [zenye kutafsirika kwa namna mbalimbali] kunairahisishia kazi CCM na serikali yake, ya kuwabana kuwa mnachochea vurugu.
Kwenye harakati kama hizi za kisiasa, moja ya kanuni kubwa zaidi ni kutokumrahisishia kazi mpinzani wako.
Kwa kutumia mfano wa mchezo wa mpira wa miguu, usijifunge magoli wewe mwenyewe au usicheze rafu kwenye eneo la penati au kwenye eneo la mita kumi na nane.
Sasa, CCM na serikali yake huwezi kuihusisha sana na matumizi ya akili kwa namna wanavyoiendesha nchi.
Lakini, hiyo isiwe sababu ya kuirahisishia kazi yao ya unyanyasaji.
Itakuwa vyema endapo huu uongozi mpya wa CHADEMA utaliangalia kwa maanani stahilifu hili suala la mawasiliano kwa umma.
Sijui idara yao ya mawasiliano ina watu gani na wenye sifa zipi.
Ila kwa kinachoendelea mpaka sasa naweza kusema idara hiyo bado ina nafasi kubwa na pana ya uboreshwaji.
Wataalamu wa mawasiliano kwa umma tupo. Just reach out and we’ll offer our helping hand in your messaging.
Happy Easter.
Hivi huko chadema unayemuona ana uwezo wa kuangalia jambo kama hilo ni nani?Itakuwa vyema endapo huu uongozi mpya wa CHADEMA utaliangalia kwa maanani stahilifu hili suala la mawasiliano kwa umma.
Sijui idara yao ya mawasiliano ina watu gani na wenye sifa zipi.
Mnaharibu barabara kwa kusomba makaa ya mawe, na kuacha umaskini mkubwa huko Ruvuma.Jibu hawana!!! Au watatumia mbinu za "Kunji"?
Mkuu Nyani Ngabu ikiwa no election linakwaza je ikiwa hakuna reforms unatama kitu gani kifanyike, kumbuka chadema haina jeshi wala SerikaliMbona nimeshasema kuwa hiyo kauli ilipaswa kubadilishwa.
Au hujaelewa nilichokiandika?
Inasikitisha sana....fedha nyingi zimetumuka kutengeneza Ile miundo mbinu.Mnaharibu barabara...