CHADEMA na mawasiliano kwa umma

CHADEMA na mawasiliano kwa umma

Miezi miwili iliyopita niliwasihi CHADEMA wabadilishe kauli mbiu yao ya ‘no reforms, no elections’ na waache kusema [hususan mwenyekiti wao mpya] watauzuia uchaguzi kufanyika endapo hakutakuwepo mabadiliko ya namna chaguzi zetu zinavyofanyika.

Kusema mtauzuia uchaguzi kufanyika endapo hakutakuwepo na mabadiliko ni rahisi sana kutafsiriwa kivingine na mtu yeyote yule. Na hicho ndo kimepelekea Lisu kukamatwa na kuwekwa kizuizini.

Kutoa kauli za namna hiyo [zenye kutafsirika kwa namna mbalimbali] kunairahisishia kazi CCM na serikali yake, ya kuwabana kuwa mnachochea vurugu.

Kwenye harakati kama hizi za kisiasa, moja ya kanuni kubwa zaidi ni kutokumrahisishia kazi mpinzani wako.

Kwa kutumia mfano wa mchezo wa mpira wa miguu, usijifunge magoli wewe mwenyewe au usicheze rafu kwenye eneo la penati au kwenye eneo la mita kumi na nane.

Sasa, CCM na serikali yake huwezi kuihusisha sana na matumizi ya akili kwa namna wanavyoiendesha nchi.

Lakini, hiyo isiwe sababu ya kuirahisishia kazi yao ya unyanyasaji.

Itakuwa vyema endapo huu uongozi mpya wa CHADEMA utaliangalia kwa maanani stahilifu hili suala la mawasiliano kwa umma.

Sijui idara yao ya mawasiliano ina watu gani na wenye sifa zipi.

Ila kwa kinachoendelea mpaka sasa naweza kusema idara hiyo bado ina nafasi kubwa na pana ya uboreshwaji.

Wataalamu wa mawasiliano kwa umma tupo. Just reach out and we’ll offer our helping hand in your messaging.

Happy Easter.
Watu wanavizia hela za ruzuku na tonetone
 
Upo sahihi,lkn CDM ilikuwa inepoteza ushawishi,NRNE ilikuwa ni namna ya kuirudisha CDM kwenye masikio ya watu.Yani kuja kivingine
 
Kwani nawe wamesha kuahidi jimbo haramu wapi?no reform no election
 
Kuzuia huwezi, maana ni haki ya kikatiba, ila kwa mtu mwenye akili timamu sidhani kama kuna haja ya kwenda kupanga foleni unachomwa jua eti unapiga kula
Naam, na ndo maana walipaswa kui tailor message yao kwenye kushawishi watu wasiende kupiga kura siku ya uchaguzi kuliko kusema watauzuia usifanyike.

Tanzania hatuna compulsory voting.
 
Hiyo ni kauli mbiu ya wendawazimu. Ni kama Kibwagizo tu.

Kwa jinsi CCM walivyo na mbinu, hata chadema wakisusia utashangaa vinaibuka vyama vya upinzani na kura zinapigwa kama kawa.

Tena walivyo wahuni, watakwambia watanzania asilimia 80 wamepiga kura kisha CCM ikajizolea ushindi wa kishindo.

Lissu anajidanganya tu. No one can stop CCM.

Hata hao wa kuandamana siwaoni. Wako bize na YANGA na SIMBA.
 
Mkuu unaweza kuwa na hoja ila kutokana tu inaungwa mkonona hawa akili ndogo wa ccm inaonekana haina maana yoyote kwa wapigania haki.
 
Miezi miwili iliyopita niliwasihi CHADEMA wabadilishe kauli mbiu yao ya ‘no reforms, no elections’ na waache kusema [hususan mwenyekiti wao mpya] watauzuia uchaguzi kufanyika endapo hakutakuwepo mabadiliko ya namna chaguzi zetu zinavyofanyika.

Kusema mtauzuia uchaguzi kufanyika endapo hakutakuwepo na mabadiliko ni rahisi sana kutafsiriwa kivingine na mtu yeyote yule. Na hicho ndo kimepelekea Lisu kukamatwa na kuwekwa kizuizini.

Kutoa kauli za namna hiyo [zenye kutafsirika kwa namna mbalimbali] kunairahisishia kazi CCM na serikali yake, ya kuwabana kuwa mnachochea vurugu.

Kwenye harakati kama hizi za kisiasa, moja ya kanuni kubwa zaidi ni kutokumrahisishia kazi mpinzani wako.

Kwa kutumia mfano wa mchezo wa mpira wa miguu, usijifunge magoli wewe mwenyewe au usicheze rafu kwenye eneo la penati au kwenye eneo la mita kumi na nane.

Sasa, CCM na serikali yake huwezi kuihusisha sana na matumizi ya akili kwa namna wanavyoiendesha nchi.

Lakini, hiyo isiwe sababu ya kuirahisishia kazi yao ya unyanyasaji.

Itakuwa vyema endapo huu uongozi mpya wa CHADEMA utaliangalia kwa maanani stahilifu hili suala la mawasiliano kwa umma.

Sijui idara yao ya mawasiliano ina watu gani na wenye sifa zipi.

Ila kwa kinachoendelea mpaka sasa naweza kusema idara hiyo bado ina nafasi kubwa na pana ya uboreshwaji.

Wataalamu wa mawasiliano kwa umma tupo. Just reach out and we’ll offer our helping hand in your messaging.

Happy Easter.
Go_FnyDWUAAoJtA.jpg
 
Itakuwa vyema endapo huu uongozi mpya wa CHADEMA utaliangalia kwa maanani stahilifu hili suala la mawasiliano kwa umma.
Sijui idara yao ya mawasiliano ina watu gani na wenye sifa zipi.
Hivi huko chadema unayemuona ana uwezo wa kuangalia jambo kama hilo ni nani?
Mwenyekiti: dishi limeyumba, ni dikiteta uchwara, na mropokaji. Uwezo wa kufikiria jambo la maana atautoa wapi?
Makamu mwenyekiti: ni roporopo pia, na ni mkurya - zile hasira za kikurya atazificha wapi ili afikirie jambo la maana?
JJ: Hana sauti yoyote mle chamani, yupo yupo tu!
Nani amebaki?
 
  • Kicheko
Reactions: Tui
Back
Top Bottom