CHADEMA na maandamano

CHADEMA na maandamano

Kieleweke nini9 hayo maandamano ya kila siku yanawasaidia nini? Zaidi ya fujo, kuumiza na mpaka watu wengine kutoa roho zao.

Chadema wameshakaa chini wakafikiri maafa ya maandamano?

Watu wengi hufata mkumbo wakidhani kuwa baada ya maandamano itashuka miujiza ya kuwabadilisha maisha yao yakawa bora kuliko yalivyo sasa. Na mengi ya haya maandamano hupangwa na kuanzishwa na watu wachache wenye uchu wa madaraka, na huwachochea watu ya ama kwa dini zao au itikadi zao zao za kisiasa.

Kwa nchi kama Tanzania na uongozi uliopo ambao unadhiri kila sababu za upinzani, ni nini kiwqafikishe Chadema hata kufanya maandamano?

Ni kipi walichodai Chadema kisiasa na kiuungwana wakanyimwa na Serikali iliyopo madarakani?

Ikumbukwe kuwa, tusifate mkumbo wa kuitisha maandamano pasipo na sababu za msingi. Sioni kama kutakuwa na ushindi wa ghafla kwa waanzisha maandamano.

Tanzania tumeishi kwa amani na utulivu tokea utawala wa wa Arabu mpaka ukaja utawala wa kijerumani (ukaanzisha fujo na vita vya hapa na pale) lakini toka nchi hii ilipowekwa kwenye uangalizi wa Umoja wa Mataifa! Baada ya kushindwa vita kuu ya pili ya Dunia waJerumani, na kupewa waIngereza waiongoze mpaka tutakapojiweza wenyewe hadi miaka hamsini baada ya kukabidhiwa nchi yetu na Umoja wa Mataifa, hatukuona fujo za watu kuuana wenyewe. Tuliona mauaji yaliyosaboshwa na siasa mbovu za Nyerere, watu walipokuwa wakifa hovyo kwa kuliwa na Simba, Chui na kadhalika walipohanishwa kwa nguvu kupelekwa maporini kuanzisha vijiji. Sasa kunani hawa Chadema kuanza na siasa za maandamano kutaka kutuharibia amani?

Ni nini mTanzania wa leo anachokosa ambacho kimesababishwa na uongozi uliopo sasa madarakani?
Khaa hapo unaona unaijua history ile mbaya eeh? Mtanzania wa leo hakosi chochote??? Anapata vyote mkuu hadi mabomu ya mbagala na Goms.... Tangu nchi hii ipate uhuru watanzania wamekufa tu kwa kuliwa na wanyama?!
 
mtoa mada, ni mchanga sana kifikra na pia anahitaji kusaidiwa kwa kupewa taarifa za kutosha, natamani Nchi nzima ifanye maandamano ndani ya siku moja na yaendelee siku zote mpaka tumtoe mkwere ikulu.

Kama ni ya nchi nzima itaandamana its ok. lakini ukisoma vizuri concern ya mtoa maada (ambaye anaweza pia kuwa mwana CDM!) ni kwamba CDM ina ji associate mno na maandamano kiasi kwamba itakuwa ndiyo trade mark ya CDM ukiacha ile ya PIPOOOOZ PAWAAAA!!! yaani badala ya kuwa Chama Cha Demokrasia na Maendeleo, kina kuwa Chama cha Demokrasia na Maandamano!! (what a name!)
 
Emma 26 nadhani ufikirie kwanza kabla ya kuleta madhaifu yako hapa JF. Unaishi ulimwengu gani? Jaribu kutafakari hali za wananchi na angalau kutafuta namna ya kushinikiza mambo au hatua za dhati zichukuliwe. Kwa mfano hizo hela za Dowans wange- subsidise kwenye gharama ya sukari ili bei iweze kuwa kawaida na mwananchi aweze kuimudu. Hali ya maisha kwa mtu wa kawaida hapa Tanzania imwekuwa unbearable. Pse tubu haraka!!!!!!
 
Kama ni ya nchi nzima itaandamana its ok. lakini ukisoma vizuri concern ya mtoa maada (ambaye anaweza pia kuwa mwana CDM!) ni kwamba CDM ina ji associate mno na maandamano kiasi kwamba itakuwa ndiyo trade mark ya CDM ukiacha ile ya PIPOOOOZ PAWAAAA!!! yaani badala ya kuwa Chama Cha Demokrasia na Maendeleo, kina kuwa Chama cha Demokrasia na Maandamano!! (what a name!)

Ukimuamsha aliyelala..........!
Ila kama mtanzania unajua hali halisi ya taifa letu kama kiongozi wa nchi anaamua kulidanganya taifa mchana kweupe unategemea nini? NIWAKATI UMEFIKA KUWAELIMISHA JAMII KUTOKA KWENYE MAWAZO MGANDO NA KULITETEA TAIFA. Kuwa mwanaharakati mezani panapo shindikana kinachofuata ni kupaza sauti.
PEOPLE'sss power
 
chadema punguzen maandamano badala yake muwe washauri wazuri wawananchi kwani mi naona maandamano ni kelo kwa wananchi tofauti na ushauri.maandamano ya chadema yamekuwa yakileta vurugu licha ya kwamba hizo vurugu husababishwa na jeshi la polisi, lakini hata chadema nikisabishi kikubwa kwani ukiona kitu unachokifanya kinaleta maasiliko licha ya kulaumu wanaokuzuia inapaswa na wewe utafute njia mbadala badala ya kung'ang'ania kile ambacho kinaleta maasiliko kwa jamii na kwa wananchi waliokuchagua.kiujumla hata ukiwa mshauri mzuri wa serikali na wananchi zaidi ya kubezi kwenye maandamano kama njia ya kutatua matatizo.tatizo la kupanda kwa garama za maisha ni tatizo la mvua kutonyesha kwa wingi kwani mwananchi mwenye chagula kidogo hawezi kuuza chakula chake mpaka apewe hela nyingi na ndo mwanzo wa vitu kupanda ,

Huo ndo uwezo wako kifikra, waache wenye fikra pevu wakuletee mabadiliko
 
Kwanza kajifunze kiswahili fasaha ndio urushe upuuzi wajo humu.

Maanadamano ni haki ya kikatiba na ni njia mojawapo ya kufikisha ujumbe kwa wahusika

Inaonekana wewe unaishi sayari ya PLUTO:A S 13:
 
chadema punguzen maandamano badala yake muwe washauri wazuri wawananchi kwani mi naona maandamano ni kelo kwa wananchi tofauti na ushauri.maandamano ya chadema yamekuwa yakileta vurugu licha ya kwamba hizo vurugu husababishwa na jeshi la polisi, lakini hata chadema nikisabishi kikubwa kwani ukiona kitu unachokifanya kinaleta maasiliko licha ya kulaumu wanaokuzuia inapaswa na wewe utafute njia mbadala badala ya kung'ang'ania kile ambacho kinaleta maasiliko kwa jamii na kwa wananchi waliokuchagua.kiujumla hata ukiwa mshauri mzuri wa serikali na wananchi zaidi ya kubezi kwenye maandamano kama njia ya kutatua matatizo.tatizo la kupanda kwa garama za maisha ni tatizo la mvua kutonyesha kwa wingi kwani mwananchi mwenye chagula kidogo hawezi kuuza chakula chake mpaka apewe hela nyingi na ndo mwanzo wa vitu kupanda ,

Mimi nafikiri ndugu yangu bado hujafahamu kinachoendelea katika taifa hili au unafahamu lakini una ushabiki na CCM sasa basi hata kama ni mwana CCM hilo sio tatizo, tatizo ni kuangalia wapi tulikuwa kama taifa na sasa tupo wapi na tuchukue uamuzi gani ili tuelekee kwenye njia sahihi.

Maandamano ni haki na ni haki kwa kila raia, Chama au hata kikundi cha watu ili mradi wanafuata taratibu na hawavunji sheria za nchi, kwa hivyo huwezi kutuzuia tusiandamane.

Ugumu wa maisha umesababishwa na serikali isiyo makini na isiyo na "Vision" and "Mission" walichukua uongozi sawa, sasa what next! hawajui zaidi ya kuiangamiza nchi.

nchi ya Tanzania na Visiwa vya japan nani anastahili kumsaidia mwezie Chakula!?ajabu Japan ndio anasaisia mwenzie, pamoja na mambo mengi tuyajuayo miundo mbinu mibovu nayo imechangia kusababisha njaa, kuna sehemu vyakula, matunda na malighafi nyingine vinaoza na kuharipika ilhali kuna sehemu nyingine za nchi wanakufa njaa na kukosa malighafi za viwandani.

Tunataka Rais atakayeweza kuona vipaumbele, yaani kipi kifanyike kwanza na kwa manufaa gani, na ambaye atasimamia uwajibikaji wa kila idara na kila mtumishi na mwenye kuona Taifa letu litakuwa wapi baada ya miaka kadhaa, na huyo si mwingine ni Dr, Phd. Slaa.

Mungu Ibariki Tanzania, Tubariki Wananchi wenye nia safi, Ibariki Chadema na Viongozi wake wenye nia njema.
 
chadema punguzen maandamano badala yake muwe washauri wazuri wawananchi kwani mi naona maandamano ni kelo kwa wananchi tofauti na ushauri.maandamano ya chadema yamekuwa yakileta vurugu licha ya kwamba hizo vurugu husababishwa na jeshi la polisi, lakini hata chadema nikisabishi kikubwa kwani ukiona kitu unachokifanya kinaleta maasiliko licha ya kulaumu wanaokuzuia inapaswa na wewe utafute njia mbadala badala ya kung'ang'ania kile ambacho kinaleta maasiliko kwa jamii na kwa wananchi waliokuchagua.kiujumla hata ukiwa mshauri mzuri wa serikali na wananchi zaidi ya kubezi kwenye maandamano kama njia ya kutatua matatizo.tatizo la kupanda kwa garama za maisha ni tatizo la mvua kutonyesha kwa wingi kwani mwananchi mwenye chagula kidogo hawezi kuuza chakula chake mpaka apewe hela nyingi na ndo mwanzo wa vitu kupanda ,

hivi hii 26 in represent umri wako au, hata kama ni hivyo bado hii siyo excuse, sasa nakushauri ukajifunze kwanza kiswahili, lugha ambayo hai hitaji kusoma academia wala intaneshino skuli, sina haja ya ku highlight yale ma broken uliyoweka. hapa tunazungumza mambo ambayo ni muhimu kwa mustakabali wa taifa letu, usituletee lugha zako za 'mimi kama mimi' hapa eeeboh!!! nimekasrika sana mtanisamehe wajameni
 
Back
Top Bottom