CHADEMA na maandamano | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

CHADEMA na maandamano

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by emma 26, Feb 23, 2011.

 1. e

  emma 26 Senior Member

  #1
  Feb 23, 2011
  Joined: Oct 29, 2010
  Messages: 108
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  chadema punguzen maandamano badala yake muwe washauri wazuri wawananchi kwani mi naona maandamano ni kelo kwa wananchi tofauti na ushauri.maandamano ya chadema yamekuwa yakileta vurugu licha ya kwamba hizo vurugu husababishwa na jeshi la polisi, lakini hata chadema nikisabishi kikubwa kwani ukiona kitu unachokifanya kinaleta maasiliko licha ya kulaumu wanaokuzuia inapaswa na wewe utafute njia mbadala badala ya kung'ang'ania kile ambacho kinaleta maasiliko kwa jamii na kwa wananchi waliokuchagua.kiujumla hata ukiwa mshauri mzuri wa serikali na wananchi zaidi ya kubezi kwenye maandamano kama njia ya kutatua matatizo.tatizo la kupanda kwa garama za maisha ni tatizo la mvua kutonyesha kwa wingi kwani mwananchi mwenye chagula kidogo hawezi kuuza chakula chake mpaka apewe hela nyingi na ndo mwanzo wa vitu kupanda ,
   
 2. Sizinga

  Sizinga JF-Expert Member

  #2
  Feb 23, 2011
  Joined: Oct 30, 2007
  Messages: 7,922
  Likes Received: 454
  Trophy Points: 180
  SO WHT????na mwaka huu mpaka kieleweke
   
 3. f

  furahi JF-Expert Member

  #3
  Feb 23, 2011
  Joined: Nov 2, 2010
  Messages: 947
  Likes Received: 40
  Trophy Points: 45
  What's the point? Sijakuelewa. Kiswahili hujui, point hakuna.
   
 4. Mlangaja

  Mlangaja JF-Expert Member

  #4
  Feb 23, 2011
  Joined: Nov 2, 2010
  Messages: 541
  Likes Received: 28
  Trophy Points: 45
  Akili yako imeganda sana wewe. Tangu lini gharama za kupanda kwa bei zikasababishwa na kutokunyesha kwa mvua? Wenzako wamenunua magari ya kifahari ya shilingi milioni 280 na hii imeyumbisha uchumi wetu na shilingi imeshuka thamani. Hii ndiyo hasa sababu ya kupanda kwa vyakula na si vinginevyo.
   
 5. Kachanchabuseta

  Kachanchabuseta JF-Expert Member

  #5
  Feb 23, 2011
  Joined: Mar 8, 2010
  Messages: 7,290
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 135
  :target::target::A S-cry::A S-cry::israel::israel:
   
 6. THINKINGBEING

  THINKINGBEING JF-Expert Member

  #6
  Feb 23, 2011
  Joined: Aug 9, 2010
  Messages: 2,726
  Likes Received: 854
  Trophy Points: 280
  Hivi emma unajua kuna watoto wanasoma jamii forum?
  Hata mdudu ukimtafsiria hii hoja ataidharau.
  Ukiwa huna cha kuandika tulia soma vya wenzako.
  Huu ni ushauri wangu kwako kama huutaki endelea kuonesha udhaifu wa hoja zako hadharani.
   
 7. n

  nyantella JF-Expert Member

  #7
  Feb 23, 2011
  Joined: Dec 17, 2010
  Messages: 890
  Likes Received: 28
  Trophy Points: 45

  Ukisoma vizuri utaona huyu aweza kuwa mdogo wako kiumri pia kimasomo mpe chance ajieleze mind you sii lazima u respond kwa kila thread! kama hauko impressed ipotezee tu. JF is for all na si kwako tu uliye soma saana na mwenye point!
   
 8. The Son of Man

  The Son of Man JF-Expert Member

  #8
  Feb 23, 2011
  Joined: Feb 9, 2010
  Messages: 12,124
  Likes Received: 1,707
  Trophy Points: 280
  Kalale na mawazo mgando yasokuwa na tija!
   
 9. SG8

  SG8 JF-Expert Member

  #9
  Feb 23, 2011
  Joined: Dec 12, 2009
  Messages: 3,201
  Likes Received: 248
  Trophy Points: 160
  Kazi ipo. Haya Profesa basi tuambie kama mfumuko unasbabishwa na tatizo la mvua, mgao wa umeme unasababishwa na nani? Dowans nani kaileta? Uchaguzi wa Meya Arusha uliharibika kutokana na tatizo la mvua? Migomo ya wanafunzi je? Kama huna hakika na mambo unayoyaleta hapa ni vizuri ukawa muungwana kwa kukaa kimya. Kwenye bold kunadhihirish pia uwezo wako
   
 10. SG8

  SG8 JF-Expert Member

  #10
  Feb 23, 2011
  Joined: Dec 12, 2009
  Messages: 3,201
  Likes Received: 248
  Trophy Points: 160

  Lakini ni home of Great Thinkers. Kama hana point atafute sehemu nyingine ambako watu hawachambui mambo. Atuletee point tumwelewe kisha tuchangie sio bla bla
   
 11. Quinine

  Quinine JF-Expert Member

  #11
  Feb 23, 2011
  Joined: Jul 26, 2010
  Messages: 10,908
  Likes Received: 12,066
  Trophy Points: 280
  Humu si sehemu ya kujifunzia kiswahili cha chekechea mwambie anatupotezea muda tufikirie mwarabu feki wa Dowans halafu sijui tena tuanze kufikiria alichoandika emma 26 kina maana gani hatuna muda huo lazima awe short and precise.
   
 12. Henge

  Henge JF-Expert Member

  #12
  Feb 23, 2011
  Joined: May 14, 2009
  Messages: 6,765
  Likes Received: 78
  Trophy Points: 145
  kupanda kwa gharama za maisha ni tatizo la MVUA! duu pole sana na mbona hujasema serikali yako ifanyeje sasa!?
  Umrii wako mdogo sana wewe au ndo IQ yako ndogo!
  Tumewapa nchi mataahila lazima tuwapresharize ili wasitupeleke kubaya zaidi,
  Madudu waliyofanya yanatosha TUNAHITAJI UKOMBOZI WA KWELI!
   
 13. jino kwa jino

  jino kwa jino JF-Expert Member

  #13
  Feb 23, 2011
  Joined: Nov 3, 2010
  Messages: 769
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 0
  true
   
 14. Quinine

  Quinine JF-Expert Member

  #14
  Feb 23, 2011
  Joined: Jul 26, 2010
  Messages: 10,908
  Likes Received: 12,066
  Trophy Points: 280
  Sure aende kwa Michuzi akangalie picha za ma miss.
   
 15. Chona

  Chona JF-Expert Member

  #15
  Feb 23, 2011
  Joined: Mar 8, 2010
  Messages: 513
  Likes Received: 87
  Trophy Points: 45
  Mkuu siamini kama uwezo wako wa kufikiri umegota hapa na ukaona kuwa hiyo ndo sababu kuu ya kupanda kwa gharama za maisha. Miaka 50 ya uhuru bado watu wetu wanafikiri hivi kwa matatizo yanayozunguka jamii zetu. Kweli si kila aliyesoma ameelimika.
   
 16. Halfcaste

  Halfcaste JF-Expert Member

  #16
  Feb 23, 2011
  Joined: Nov 28, 2010
  Messages: 973
  Likes Received: 51
  Trophy Points: 45
  Kwa taarifa mpya nilizonazo kesho mwanza watajitokeza waaandamanaji wengi sana,naendelea kudodosa Mitaa ya sahara.
  Peoooooooooooooooooooooooplez poweeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeer
   
 17. N

  Nanu JF-Expert Member

  #17
  Feb 23, 2011
  Joined: May 29, 2009
  Messages: 1,224
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 135
  Nadhani kuandamana ni kupeleka ujumbe kwa kile ambacho either unakiunga mkono au haikurithishi na unataka ifanyiwe kazi na wahusika. Nadhani maandamano yakiwa ya amani bila polisi kuingilia kati na kuanzisha vurugu zitapeleka ujumbe na hatimaye watu wenye macho na masikio watayaona na kuyasikia au kulazimishwa kusikia na wakoloni wetu ambao tunawaita marafiki wa kuchangia kapu la budget!!!!

  Jana kuna tuhuma nyingi kuwa kulikuwa na maandamano Arusha kwenda manispaa kumbe ilikuwa uzushi mtupi kwani watu walitawanyika kabla hata ya kufika barabara ya Kijenga-Mjini wakitoke mahakamani. Hivyo yule mwana JF aliyesema walikuwa wanakaribia ofisi za manispaa ya Arusha, nathubutu kusema ni mzushi, mchonganishi na mwongo. Ukitaka kujua ukweli soma habari iliyoandikwa kwa muchuzi yenye taarifa nzima.
  Tujifunze kuwa wakweli na tusipost vitu ambavyo havina uhakika au hauna uhakika na chanzo (source) yake.
   
 18. M

  Mr.Mak JF-Expert Member

  #18
  Feb 23, 2011
  Joined: Feb 23, 2011
  Messages: 2,635
  Likes Received: 496
  Trophy Points: 180
  Kaka Nanu nakuunga mkono for that meaning of kuandamana. But hear as home of great Thinkers je alichokiwakilisha mdau emma 26 kina tatizo gani?. Hapa la msingi nadhani mchangiaji bora ni wa kumweleza bwana emma kuwa chadema ina ona maandamano haya ni dili kwa sababu abc na siyo kuanza kumshambulia kwa mitusi.Great thinker hajadili mambo kwa mitusi bali kwa hoja.
   
 19. Mallaba

  Mallaba JF-Expert Member

  #19
  Feb 23, 2011
  Joined: Jan 30, 2008
  Messages: 2,560
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 133
  are u also coward?
  mtazame jamaa yenu hapo anajiandaa tu
  [​IMG]
   
 20. s

  seniorita JF-Expert Member

  #20
  Feb 23, 2011
  Joined: Nov 1, 2010
  Messages: 674
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 0
  Ndugu yangu kama wewe unafaidi na mfumo huo wa utawala uliopo, bora uftate mdomo wako. Watu wamechoka kwa kuumia kila kukicha, ukali ambao wewe na vibaraka wengine wachache hamuuoni au kuusikia kwa sababu na vijizawadi mnazofaidi hata kuwafumba midomo. Ndio maana hata hujui kuandika wala unachoandika....watu watandamana tu whatever the cost; the cost that can bring our humanity back...whatever that can redeem our resources, our dignity, and our country....angalia the signs of time....bado unalala?
   
Loading...