Smart-brain
Senior Member
- Mar 17, 2014
- 101
- 62
Wewe ndo uwaze, utaiweka sura yako wapi pindi UKAWA utakapochukua nchi! Mlipompoka Urais Maalim Seif kule Znz kwani tuliweka wapi sura zetu? Imeonesha wazi kuwa Mahakama ya Kenya haina uamuzi wa "kutegeshea", haina "amri kutoka juu"!
Sasa hv CCem mnawoga wa "mbuni ". Mnaona HATARI inakuja, mnaficha kichwa shimoni huku "minofu yote(kiwiliwili) iko nje, UKAWA hatuwaachi, tunaondoka na "minofu "! Subirini muone!!!!
Sasa hv CCem mnawoga wa "mbuni ". Mnaona HATARI inakuja, mnaficha kichwa shimoni huku "minofu yote(kiwiliwili) iko nje, UKAWA hatuwaachi, tunaondoka na "minofu "! Subirini muone!!!!