SAGAI GALGANO
JF-Expert Member
- Nov 13, 2009
- 49,975
- 75,064
Wewe ni buku saba wa Lumumba huna hoja wala usiwahusishe walimu na huu upuuzi wako wa kiccmUnataka kusema nini kuhusu walimu wa chekechea? Hata hivo sio kilichonileta hapa; huna haja ya kujua kama mimi ni Mwalimu wa chuo ama wa chekechekea, jibu hoja kwa hoja
Sent from my Nokia 5.1 Plus using JamiiForums mobile app
tunaitwa Walimu, sikuwa nafahamu bro