Mwita Maranya
JF-Expert Member
- Jul 1, 2008
- 10,565
- 7,993
Mwl.Nyerere watu kama wewe aliwaita ZUZU au mazuzu.
hivi huoni huko Gavana wa kwanza wa nchi hii Mtei, humwoni Prof.Baregu, Dr.Kitila,Prof.Abdalah Safari,Marando,Suzan Lyimo,Antony Komu, Regia, Mrema,Kigaila,Lwakatare,Waitara,Daffi Ester et al.
Wapo wengi mno tatizo unaowajua ni wale unaotaka kuwajua .
I think that is one of the most great issues that would solve this crisis. lakini CCM si wanapata chao ngoja sisi tufe na njaa zetu!!Kuuza madini kupita BOT yaani madini yote kabla ya kuuzwa lazima yaizinishwe na BOT ili kumonitor mapato hilo moja lakini pili kupunguza importation ya vitu substandard na vitu ambavyo tungeweza kuzalisha wenyewe kama office furniture haina haja kuagiza hivi kutoka nje wakati kuna vijana wengi wanajishughulisha na uselemala kwahiyo ni kuwawezesha vijana hawa ili watengeneze vitu vyenye viwango tunavyo taka.
Pia kuongeza uzalishaji wa ndani kwa vitu tunavyoweza kuunda wenyewe sio kila kitu tuimport hata pamba za masikio,viberiti,mswaki hii itapunguza ile negative balance ya Exportation minus Importation.
Mwl.Nyerere watu kama wewe aliwaita ZUZU au mazuzu.
hivi huoni huko Gavana wa kwanza wa nchi hii Mtei, humwoni Prof.Baregu, Dr.Kitila,Prof.Abdalah Safari,Marando,Suzan Lyimo,Antony Komu, Regia, Mrema,Kigaila,Lwakatare,Waitara,Daffi Ester et al.
Wapo wengi mno tatizo unaowajua ni wale unaotaka kuwajua .
Kama kawaida Mzee wa Pumba umeingia tehe...tehe...tehee....!Mambo ya kiuchumi CDM hawawezi kutoa kauli yoyote wao wana subiri maandamano tu..
Wewe unadhani mtu kama Heche ataongea nini kwenye uchumi wa nchi hii.
Yeye anachojua ni kufoka na kuvaa magwanda tu
sasa unadhani heche au lema, wanaweza kutoa assistance economic? au unaleta magwanda tu!
Acha kukurupuka nimekuambia uongozi wa juu CDM wenye elimu ya chuo kikuu ni Tindu Lissu, Zitto Kabwe.
Sasa wewe unatajia wabunge wa kupewa? Nitajie basi elimu ya hawa...
John Mnyika
Freeman Mbowe
Hawa ni viongozi wa juu wa CDM
Wewe mwenyewe hilo neno nililo bold hapo juu hulijui, nenda kwa mwalimu wako kamuulize tena sio kutuletea upupu humu ndani. Umelisikia kwenye mikutano ya hadhara bila kujua nn maana yake
Kwa kawaida wanawake ndio wana tabia za kupenda kutaja majina ya wanaume wanaowatamani hasa wanapokuwa si waume zao.
Kwa namna usivyoacha kumtaja heche hapa jf ni dhahiri kwamba wewe ni wakike na unamtamani heche na bila shaka hutojali kuwa kimada wake. Ni bora umfuate umweleze shida yako kuliko kukesha hapa jf ukimtaja!
Mimi nataja CDM wote, nashangaa wewe wengine uwasemei wewe na Heche tu...lol.. au kwa sababu ni Mshashi mwenzako
wee babu...acha kuchezea lugha za watu
Mimi nataja CDM wote, nashangaa wewe wengine uwasemei wewe na Heche tu...lol.. au kwa sababu ni Mshashi mwenzako
Acha kukurupuka nimekuambia uongozi wa juu CDM wenye elimu ya chuo kikuu ni Tindu Lissu, Zitto Kabwe.
Sasa wewe unatajia wabunge wa kupewa? Nitajie basi elimu ya hawa...
John Mnyika
Freeman Mbowe
Hawa ni viongozi wa juu wa CDM
Wewe mwenyewe hilo neno nililo bold hapo juu hulijui, nenda kwa mwalimu wako kamuulize tena sio kutuletea upupu humu ndani. Umelisikia kwenye mikutano ya hadhara bila kujua nn maana yake
Bwahahaaaa! Ritz magamba wamekuharibia maisha sasa umebaki kutanga na njia.
Wamekusmesha shule za kata zisizo na walimu, vitabu wala vitendea kazi vya muhimu. Baada ya hapo wamekuajiri kwa malipo ya buku mbili kwa siku, hali yako imezidi kuwa ngumu.
Ukisoma post yako ya mwanzo utaona ulivyomtaja Heche, baada ya hapo ndo ukaanza kutaja na wengine. Lakini ni ukweli kwamba hata pale heche asipohusika huachi kumtaja, ndo maana nikahoji kulikoni?
100% umemalizaKuuza madini kupita BOT yaani madini yote kabla ya kuuzwa lazima yaizinishwe na BOT ili kumonitor mapato hilo moja lakini pili kupunguza importation ya vitu substandard na vitu ambavyo tungeweza kuzalisha wenyewe kama office furniture haina haja kuagiza hivi kutoka nje wakati kuna vijana wengi wanajishughulisha na uselemala kwahiyo ni kuwawezesha vijana hawa ili watengeneze vitu vyenye viwango tunavyo taka.
Pia kuongeza uzalishaji wa ndani kwa vitu tunavyoweza kuunda wenyewe sio kila kitu tuimport hata pamba za masikio,viberiti,mswaki hii itapunguza ile negative balance ya Exportation minus Importation.
I think that is one of the most great issues that would solve this crisis. lakini CCM si wanapata chao ngoja sisi tufe na njaa zetu!!