leo nataka tukumbushana wana JF. Hivi mnakumbukua chadema waliamua kuondoka bungeni na kumuacha mhe. Rais akilihutubia bunge? Wakadai hawamtambui!! Siku chache baadae wakarudi bungeni kuendelea kujadili hotuba ya rais. Majuzi walitoka nje ya bunge kususia muswada wa katiba. Siku chache baadae wakaenda ikulu kuongea na rais kuhusu mswada huohuo walioukimbia bungeni. Hivi, hawa wenzetu na tabia zao za kususa, tukiwapa nchi wataweza ? CDM jifunzeni kuwa wavumilivu
akili yako na ccm ni saawa hawakusema hamtambui ebu jaribi kuwa makini na mfuatiliaji wa mambo pumbafuleo nataka tukumbushana wana JF. Hivi mnakumbukua chadema waliamua kuondoka bungeni na kumuacha mhe. Rais akilihutubia bunge? Wakadai hawamtambui!! Siku chache baadae wakarudi bungeni kuendelea kujadili hotuba ya rais. Majuzi walitoka nje ya bunge kususia muswada wa katiba. Siku chache baadae wakaenda ikulu kuongea na rais kuhusu mswada huohuo walioukimbia bungeni. Hivi, hawa wenzetu na tabia zao za kususa, tukiwapa nchi wataweza ? CDM jifunzeni kuwa wavumilivu
leo nataka tukumbushana wana JF. Hivi mnakumbukua chadema waliamua kuondoka bungeni na kumuacha mhe. Rais akilihutubia bunge? Wakadai hawamtambui!! Siku chache baadae wakarudi bungeni kuendelea kujadili hotuba ya rais. Majuzi walitoka nje ya bunge kususia muswada wa katiba. Siku chache baadae wakaenda ikulu kuongea na rais kuhusu mswada huohuo walioukimbia bungeni. Hivi, hawa wenzetu na tabia zao za kususa, tukiwapa nchi wataweza ? CDM jifunzeni kuwa wavumilivu
leo nataka tukumbushana wana JF. Hivi mnakumbukua chadema waliamua kuondoka bungeni na kumuacha mhe. Rais akilihutubia bunge? Wakadai hawamtambui!! Siku chache baadae wakarudi bungeni kuendelea kujadili hotuba ya rais. Majuzi walitoka nje ya bunge kususia muswada wa katiba. Siku chache baadae wakaenda ikulu kuongea na rais kuhusu mswada huohuo walioukimbia bungeni. Hivi, hawa wenzetu na tabia zao za kususa, tukiwapa nchi wataweza ? CDM jifunzeni kuwa wavumilivu
leo nataka tukumbushana wana JF. Hivi mnakumbukua chadema waliamua kuondoka bungeni na kumuacha mhe. Rais akilihutubia bunge? Wakadai hawamtambui!! Siku chache baadae wakarudi bungeni kuendelea kujadili hotuba ya rais. Majuzi walitoka nje ya bunge kususia
muswada wa katiba. Siku chache baadae
wakaenda ikulu kuongea na rais kuhusu
mswada huohuo walioukimbia bungeni. Hivi,
hawa wenzetu na tabia zao za kususa, tuki
wapa
nchi wataweza ? CDM jifunzeni kuwa wavumilivu
Cha kushangaza posho hawasusi,ila kwa vile wafuasi wao ni vipofu juu yao wanadanganyika.
Ndugu upo Bonde lipi, Msasani, kwa mtogole, kigogo au kwa Tumbo? Inaonekana akili imechanganyika na maji ya kinyesi.
Ha ha haa nisingejali kabisa kuwa huko kwa kuwa wanaishi watanzania kama mimi,ambao wakati
wa campaign huwa mnawafuata na kwenye hayo
maandamano yenu ndio wanaotoka.
Lakini hii haiondoi ukweli kwamba jamaa wako kimaslahi na posho zinaingia kwenye account kama kawa,
kifupi wale watu ni matajiri na kwenye hili itikadi za vyama zinawekwa pembeni wanakua wamoja
ila kwa upofu wenu mnadanganywa eti hawapokei sijui hawasaign sijui bla bla gani ujinga mtupu he he heee! Hii ndio BONGO!!!
wanapokea posho ambayo nani kaitoa! thubutu kum-analaiz anayetoa hii posho ambayo inaonekana nawe inakukera.