Mlalahoi
JF-Expert Member
- Aug 31, 2006
- 2,182
- 883
Wasomi historia za nchi za kiarabu tangia enzi za manabii, ndio watakapo jiona Tanzania ni tofauti kabisa na nchi hizo, CHADEMA MMECHANGANYIKIWA VIBYA sana , Mungu awarehemu !
Angalau Mungu awarehemu Chadema kuliko wewe unayestahili Mungu akuhurumie kwani ni dhahiri sio tu hujui utendalo bali pia hujui kuwa hujui utendalo (you don't know that you don't know).
Kama hujui historia yako hiyo ya waarabu utajulia wapi?By the way,ni uhayawani wa daraja la kwanza kufikiria kinachotokea Tunisia,Misri,Libya,nk ni UARABU.Actually,mafisadi mnakesha mkiomba iwe hivyo-UARABU.Mnakesha mkiomba Waafrika kusini mwa jangwa la Sahara wadhani kuwa kinachojiri Libya,et al sio matokeo ya udhalimu wa tawala zizopo madarakani,sio matokeo ya kufinyangwa demokrasia,na sio matokeo ya wananchi kuamua liwalo na liwe baada ya kuchoshwa na mfumo dhalimu.
Endeleeni na hizo wishful thinking zenu.