CHADEMA na CCM wote wanachosha na hawaaminiki

Ningependa kujua kama kuna watu wengine wana share belief yangu hii nchi bado inahitaji chama kingine au wagombea binafsi kuleta mageuzi ya kweli Tanzania.

Badala ya kuongelea deni la taifa ambalo mtalilipa nyinyi mpaka mnazeeka na vijukuu vyenu mnaongelea nosense issues! Ukiona mti unarushiwa mawe mengi ujue unamatunda mazuri mengi! Na inawezekana wewe ni mototo wa fisadi wa meno ya tembo au madawa yakulevya au rushwa hivyo unaona mtu mzima akikamata nchi mmekwsha! Kwa nini usimchukie?
 
unamaana CCM iliongza then ikaja CHADEMA na hujaona mabadiriko! utakuwa mwana CCM and unatafuta pivot, you wont get one, CHADEMA inachafuliwq ati ili onekane sawa na CCM, suala la Mbowe na Dubai katibu wa bunge aliliongelea kiunagaubaga lakini habari yake haikupewa kipaumbele for some reasons, najua ni kwa ajiri ya watu kama wewe ili mje na hoja kama uliyoiandika hapa, ila umechemka na hoja yako haina mashiko kwani mpaka sasa chama unchoeza kukifanyia tathmini ni CCM tuu!

Mkipingwa kidogo mnamzushia mtu ni CCM, babu kwasasa sina chama japo last election nilikuwa shabiki wa Slaa. Plus msijidanganye, Chadema mna wabunge na madiwani ambao mwaka 2015 tutawatadhimini,kwa mfano Mnyika watu walikesha kuhakikisha kura zake haziibiwi lakini hadi sasa sio mabadiliko aliyoleta hapa mtaani kwetu Ubungo. Mtaa (kitaa) kuna matatizo yale yale ..barabara mbovu, maji mgogoro, idadi ya shule ni ile ile...nk
 
Mabadiliko huyaoni wewe tu labda ulitaka akuletee wewe na mkeo maji chumbani ndio uone mabadiliko!
 
Badala ya kuongelea deni la taifa ambalo mtalilipa nyinyi mpaka mnazeeka na vijukuu vyenu mnaongelea nosense issues! Ukiona mti unarushiwa mawe mengi ujue unamatunda mazuri mengi! Na inawezekana wewe ni mototo wa fisadi wa meno ya tembo au madawa yakulevya au rushwa hivyo unaona mtu mzima akikamata nchi mmekwsha! Kwa nini usimchukie?[/QUOTE

Nitajadili nini sasa hapo Mr. No nonsense wakati wabunge wote CCM na Chadema wamejiongezea send off package ambayo itatoka kwenye kodi zetu. They both don't care wakati we elected them kujadili na kutusemea on our behalf.
 
Badala ya kuongelea deni la taifa ambalo mtalilipa nyinyi mpaka mnazeeka na vijukuu vyenu mnaongelea nosense issues! Ukiona mti unarushiwa mawe mengi ujue unamatunda mazuri mengi! Na inawezekana wewe ni mototo wa fisadi wa meno ya tembo au madawa yakulevya au rushwa hivyo unaona mtu mzima akikamata nchi mmekwsha! Kwa nini usimchukie?

Nitajadili nini sasa hapo Mr. No nonsense wakati wabunge wote CCM na Chadema wamejiongezea (kimya kimya) send off package ambayo itatoka kwenye kodi zetu. They both don't care wakati we elected them kujadili na kutusemea on our behalf.
 
Mabadiliko huyaoni wewe tu labda ulitaka akuletee wewe na mkeo maji chumbani ndio uone mabadiliko!

Labda na upofu, hebu nifungue kwa kunijulisha japo kidogo mabadiliko ya Chadema unayoyaona mtaani au kijijini kwako.
 
Ningependa kujua kama kuna watu wengine wana share belief yangu hii nchi bado inahitaji chama kingine au wagombea binafsi kuleta mageuzi ya kweli Tanzania.
WILE, naomba uwe mkweli kwa nafsi yako;

  • CCM ndiyo chama tawala na imekaa madarakani kwa miaka 37, utailinganishaje na Chadema ambayo haijawahi kukamata madaraka ya nchi hii?
  • CCM ni kama timu iliyoko uwanjani na matokeo tayari yako dhahiri, utailinganishaje na Chadema ambayo hata kuingia uwanjani bado?
  • CCM na Chadema ni vyama viwili tu kati ya vyama vingi vilivyosajiliwa rasmi kuendesha shughuli za siasa, inakuaje hivyo vyama vingine huvioni?
  • Unajua wazi kuwa ni CCM ndio sera zake zimelifikisha taifa hapa lilipo, kwa nini unaiweka kundi moja na Chadema ambayo sera zake hazijapewa nafasi?
  • Hivi sasa tunashuhudia tofauti kubwa kati ya vyama hivi viwili vinavyoshughulikia tuhuma za usaliti ndani ya chama, je hapo napo unasemaje?
WILE, jaribu kuwa mkweli; ama wewe ni mmoja kati ya watu walioingiwa hofu ya CCM kukataliwa na wananchi mwaka 2015 baada ya kuuona moto wa M$C: OPD au wewe ni mmoja kati ya watu waliokata tamaa baada ya kuona ndani ya Chadema hakuna kusita kuchukua maamuzi magumu bila kuoneana haya. Hakuna namna mwenye akili timamu anaweza akadai kuwa vyama vya CCM na Chadema vinafanana labda awe na makengeza, yaani hii hii CCM ambayo kila siku inaituhumu Chadema na kila aina ubaguzi; mara ukanda, mara udini, mara ukabila! CCM imechanganyikiwa na hapo ndipo wanapotafutwa watu kama wewe kujaribu kuuaminisha umma kuwa CCM na Chadema ni wale wale! Hii mbinu imekufa kabla hata ya kuanza safari.
 
ni kweli kwa mfano wabunge wote wamekubaliana kupitisha mamilioni ya hela kwa lengo la kujilipa wakati wanapo staafu si chadema wala ccm waliopinga hilo swala kwa kuwa ni swala la pesa wote walikuwa kitu kimoja;;;;;;;;ukombozi uko mikononi mwetu sisi wananchi wala si chadema wala ccm wote ni yaleyale cha msingi wananchi tuamue,
 
Nashangaa huvioni vyama vingine kama CUF(Doto) wa CCM, NCCR, UDP, na TLP vyenye wabunge bungen unapambana na CDM

Sent from my BlackBerry 8520 using JamiiForums
 
Ningependa kujua kama kuna watu wengine wana share belief yangu hii nchi bado inahitaji chama kingine au wagombea binafsi kuleta mageuzi ya kweli Tanzania.

You are not serious! how do you believe that something which is non existential will help you? you are not creative and you probably think naively.this is interesting,you think of an imaginary political party?
 
Nadhani Watanzania tunatatizo la Kutoelewa majukumu ya diwani, mbunge na serikali. Kama mbunge akijenga shule, Barabara, Kusambaza maji, Je serikali itafanya kazi gani na pesa za Kodi?
 
Ningependa kujua kama kuna watu wengine wana share belief yangu hii nchi bado inahitaji chama kingine au wagombea binafsi kuleta mageuzi ya kweli Tanzania.

Masikini WILEWILE
Unajuaje kuwa CHADEMA wananchi wamewachoka wakati Wanahudhuria MIKUTANO yao kwa MAELFU? na kwa CCM ni Mpaka waGawe Pesa za Mafuta na Chakula kwa Waendesha BODABODA; Khanga; Kofia; Mashati kwa pembeni WALI na Maharagwe ...

Sasa Inakuwaje Unaona CHADEMA wamechokwa? Sasa kwasababu Unaonekana Unaupeo wa kujua sasa Vipi kuhusu NCCR; CUF; au CCJ?

Mimi ninavyojua kama chama kimechosha sidhani CHADEMA kingepata MAELFU ya Wananchi kwenye MIKUTANO yake... AU VIPI ? Wewe Unaonaje????

Au Unaandika Habari bila hata kufikiria na kujua UPEO na Uwezo wa VYAMA vya SIASA NCHINI?

HATARI... EH !!!!
 
Kama chadema hawatatoa tamko kupinga mafao ya wabunge kwa miaka mitano tu anapewa milion 160. Basi wao ni wamoja hakuna tofauti kati ya cdm na ccm hata licard lao narudisha.

Tamko halitoshi, hatutaki mineno mingi
 
Nadhani Watanzania tunatatizo la Kutoelewa majukumu ya diwani, mbunge na serikali. Kama mbunge akijenga shule, Barabara, Kusambaza maji, Je serikali itafanya kazi gani na pesa za Kodi?

Kwa ufahamu wangu mdogo najua hivi

*Halmashauri zinapewa fedha za maendeleo na kama eneo husika mkiwa na diwani makini na mfwatiliaji hizo fedha/miradi itafika kwenye kata zenu. Kwa mfano zile lami za temeke hazijajegwa na serikali kuu bali Halmashauri.

*Wabunge kupitia kamati zao wana nguvu za kutosha kulazimisha wizara kuwapa kipaumbele majimbo yao kupelekewa miradi acha hilo pia wakijizatiti kutafuta wahisani kutoka nje wana uwezo mkubwa kuleta miradi na ajira kwenye majimbo yao lakini sioni juhudi zozote kwa Wabunge wetu zaidi ya kujiongezea posho na kukubali majibu mepesi ya mawaziri eti tusubiri hadi bajeti ijayo.

Kama nimekosea ningependa unisahishe.
 
You are not serious! how do you believe that something which is non existential will help you? you are not creative and you probably think naively.this is interesting,you think of an imaginary political party?

Finding ways for alternatives, what's so imaginary or naive about that? And yes am very serious and convinced our current political parties don't have what it takes (will and vision) to bring tangible development for this country.
 
Masikini WILEWILE
Unajuaje kuwa CHADEMA wananchi wamewachoka wakati Wanahudhuria MIKUTANO yao kwa MAELFU? na kwa CCM ni Mpaka waGawe Pesa za Mafuta na Chakula kwa Waendesha BODABODA; Khanga; Kofia; Mashati kwa pembeni WALI na Maharagwe ...

Sasa Inakuwaje Unaona CHADEMA wamechokwa? Sasa kwasababu Unaonekana Unaupeo wa kujua sasa Vipi kuhusu NCCR; CUF; au CCJ?

Mimi ninavyojua kama chama kimechosha sidhani CHADEMA kingepata MAELFU ya Wananchi kwenye MIKUTANO yake... AU VIPI ? Wewe Unaonaje????

Au Unaandika Habari bila hata kufikiria na kujua UPEO na Uwezo wa VYAMA vya SIASA NCHINI?

HATARI... EH !!!!

Hamna haja ya kulinganisha CDM na CCM Kwasababu sio siri CCM imechokwa to the extent hata wanaCCM wanajua.
My concern ni tabia ya CDM mlioanza karibuni ya kutokuwa accountable,transparent na kuanza nepotisim ndani ya chama.

* Mwenyeketi Mbowe amekubali kuchukua pesa kutoka kwa Fisadi Rostam (huyu anaetutesa na gharama kubwa ya umeme) sasa kwanini asiachie ngazi kama mfano pale CDM watakapo shika madaraka watakuwa wapo accountable whenever wakikosea?

*Suala la matumizi ya ruzuku na jinsi mnavyowaadabisha Zitto n co. limekaa kishabiki zaidi na lina lack transparency.

*Jinsi Wabunge wa CDM (kimya kimya) wanavyokubali kujiongezea send off package huku wakifahamu mzigo wetu wa madeni.

*La mwisho ni ajabu pale watu wanapokubali nepotisim ndani ya chama. Mwanzilishi Mtei na Mbowe ni wakwe hivi kwa simple logic unadhani akishika madaraka kutokuwa kuna tofauti gani kati yake na Kikwete n his son.

Hivi vitu vina bother sana na inakuwa ngumu kuwaamini.

Kwa kumalizia kama ushindi ungekuwa upo judged na crowd then kila siku upinzani tungekuwa tunashinda.
 
Kuongelea CHAMA positively haimaanishi mimi niko chama hicho == kwahiyo Jaribu kutambua DEMOKRASIA ya kweli YOU CAN BE A POSITIVE or NEGATIVE CRITIQUE bila ya kuwa Mwanachama wa Hicho chama

--- Mbowe na Mtei ni WAKWE lakini MBOWE kuwa Mwenyekiti hana TICKETI ya kugombea URAIS; Mbona Serikali ya CCM imesha ruhusu Abeid Karume Rais wa Zanzibar na Mtoto wake wote kuweza kuwa Marais wa Zanzibar huko hamkuona ni Matatizo???

--- Au Moses Nnauye Katibu Mwenezi wa CHAMA chama cha MAPINDUZI kumpandikiza kumtetea pamoja na kupata DIVISION 0 form Four sasa na yeye ni Katibu Mwenezi wa CHAMA

--- Au Kighoma Malima hata pamoja na kuwa na Ugomvi na CHAMA CHA MAPINDUZI sababu ya DINI; Mwanae sasa amekwenda kwenye WIZARA ambayo baba yake pia aliiwakilisha WIZARA ya FEDHA

*** KUHUSU ZITTO KABWE; Ni Shida kumtetea kwasababu na yeye anaishi kwa Manufaa yake Mwenyewe Hafanyi SIASA za kujali Wananch Bali Siasa za kujijali yeye Mwenyewe... NI MLAFI PESA NDIO ziko MAWAZONI MWAKE; Kwahiyo He Terrorize his FUN BASE... HARD to EMBRACE this Person...

&&& BUNGE ni chombo cha kupitisha SHERIA kama CHAMA TAWALA kina WAJUMBE 3 times zaidi ya wa kwenu sijui mtafanyaje kuzuia those packages zisiwafikie hao MAFISADI;; WALAFI;; Wachoyo ndani ya SERIKALI TAWALA

Na ENZI za MWL. NYERERE kulikuwa na AZIMIO LA ARUSHA na NGUZO 5 za VIONGOZI hivyo basi zilikuwa zinalinda UFANISI na kuwapiga chini walafi na mafisadi kuchota pesa za kozi za walala hoi

Sasa hivi Rais wa NCHI hana chochote cha kumlinda kupinga chochote toka kwa hao WABUNGE isipokuwa kusema NDIO NDIO NDIO... Angalia sasa anajiunga nao MKE MTOTO wake wooote wanakimbilia UBUNGE... wana nguvu hawawezi kuguswa

--- Na SIJUI Unapata wapi NEPOTISM ndani ya CHADEMA... Lakini Hauoni NDANI ya CCM; CUF; TLP; NCCR

Inaonyesha JINSI gani unavyoshindwa kuendelea kisiasa; Unafuata UPEPO... Hauko HURU... Na Unajua HIVYO

So try to be FREE FIRST THEN you can be able to view the WORLD DIFFERENTLY... Hapo ndipo utaona AH MKAPA na KIKWETE through CENTRAL COMMITTEE ya CCM it was not a FAIR GAME at all...

NI USWAHIBA... Wote hao kiuhalali NDANI ya NEC ya CCM wasingechaguliwa kuwa Wajumbe kugombea URAIS yaani zaidi hata ya Salim Ahmed Salim.... ????

VITUKO HIVYO
 
WILE utapingwa sana tu kwa uzi huu sababu ni kuwa hawataki kuambiwa ukweli ambao hata wao wanaujua wazi kabisa!!!!!!!!

Watakuja kukutukana kabisa ili kukukatisha tamaa usiseme mapungufu ya pande zote yanayowaweka kundi moja wakiwa na lengo moja ila kwa njia na.wakati tofauti!!!!!!

Sababu kubwa watakuambia hawajashika dola!!!!!!
Wanapokea msaada kwa mtu binafsi na michango ya wanachama mikiutanoni achilia mbali fund rising galas lakini hata kuonesha kuwa hiki kitio cha basi tumejenga kwa pesa yenu wananchi so mkitupa dola tutajenga vingi hawataki kisa hawajashika dola,watuchangishe hata tujenge maternity wing kijiji kimoja ya mfano hawataki kisa hawajashika dola!!!!!!!!

Ukweli ni kuwa wote lao moja ila wanailia nchi timing tofauti wafanye yao!!!!!!
 
Last edited by a moderator:
CHADEMA wanywa viroba, wanaotaka kuigeuza Tanzania kuwa nchi ya viwanda ndani ya mwaka mmoja? wanaotaka kuhalalisha gongo? hahahaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa. Kazi ipo. Hawa jamaaaa hawana shule ya kufanya lolote katika nchi hii. Watu kwa kutaka umaarufu eti wanakwenda kuungana na wamachinga kuuza soksi eti ikiwa ni njia ya kuonesha kuwa wanangana na wanyonge? wanaokusanya pesa kwenye mikutano ya kampeni huku wakiruka angani na helikopta tatu kila siku? bado sijaona usanii wa aina hii kwenye siasa.

Sawa ss ni wanywa viroba, kwenye kuikomboa nchi najua mtatutukana sn ila tunajua tunachokifanya, mm nakuona kma hunaakili kbs, kwasasa babu gn nakwambia hunaakili? Serikal yako ndo imeruhusu hvy viroba na rais wako tena avisifia sn kwa kuindizia serikal pato kubwa, sasa huone kama ccm hawana akili???
 
Back
Top Bottom