Uchaguzi 2020 Zitto: Ni muhimu na ni lazima vyama makini vya upinzani kuweka Mgombea mmoja katika ngazi zote Bara na visiwani

Salary Slip

JF-Expert Member
Apr 3, 2012
47,014
144,372
Kwa vyovyote vile itakuwa, kwa mazingira yeyote yale yatakuwa, ni muhimu na lazima Vyama makini vya Upinzani kuweka Mgombea mmoja wa Urais wa Muungano, Urais wa Zanzibar, Kila Jimbo la Uchaguzi la Ubunge na Uwakilishi na kila Kata ya Udiwani. Nimezunguka Vijijini, CCM INANG’OKEKA-Zitto Kabwe on twitter.
 
Ili kuepuka kuzigawa kura za upinzani ambazo zitakwenda kuinufaisha CCM, hii ni hoja muhimu sana. Lazima wapinzani wakumbuke kuwa adui wa adui wako ni lazima awe rafiki yako.
 
Kwa vyovyote vile itakuwa, kwa mazingira yeyote yale yatakuwa, ni muhimu na lazima Vyama makini vya Upinzani kuweka Mgombea mmoja wa Urais wa Muungano, Urais wa Zanzibar, Kila Jimbo la Uchaguzi la Ubunge na Uwakilishi na kila Kata ya Udiwani. Nimezunguka Vijijini, CCM INANG’OKEKA-Zitto Kabwe on twitter.
granted, lakini siyo Membe please.

kama siyo Lissu basi awe hata Zitto aisee.

cc Zitto John Mnyika CHADEMA ACT Wazalendo
 
itakapofika 2025, Membe atafanya kama alivyofanya leo huyu wa UKAWA...

20200712_191903.jpg

John Mnyika Zitto CHADEMA ACT Wazalendo
 
Na huyo mgombea mmoja lazima atoke ACT-Wazalendo I guess, as per Zitto’s point of view
Akirudi Kissu atasimama kama mgombea
Tofauti na hapo acha Membe asimame tu tunataka uchaguzi wenye hamasa na changamototusikilize sera za wagombea wote na vyama vyote.
 
Kwa vyovyote vile itakuwa, kwa mazingira yeyote yale yatakuwa, ni muhimu na lazima Vyama makini vya Upinzani kuweka Mgombea mmoja wa Urais wa Muungano, Urais wa Zanzibar, Kila Jimbo la Uchaguzi la Ubunge na Uwakilishi na kila Kata ya Udiwani. Nimezunguka Vijijini, CCM INANG’OKEKA-Zitto Kabwe on twitter.

Kuna watu wanajiita wapinzani, lakini wazo kama hili wanalipinga.
 
Back
Top Bottom