CHADEMA: Mzozo Taasisi vs Wanaharakati

Zack Abdul

JF-Expert Member
Joined
Mar 9, 2026
Posts
783
Reaction score
695
Kinachowatesa wafuasi wa CHADEMA wale wanaodhani wana ushawishi ni kuingia kwenye mfumo wa Wanaharakati, hivyo kuna mambo yanapaswa kwenda kitaasisi ila wanajikuta wanaogopa kupoteza support ya Wanaharakati. Watakuja kustuka kumekucha. Jana mmembeza na kumtukana Freeman Mbowe, Leo huyu mmemuandalia kombola gani?
Your browser is not able to display this video.
 
..Wamekosea uandishi.

..walipaswa kum-address kama Mwenyekiti wa Ccm.
Hivi vyama na hata taasisi za serikali vinakosaga PR experts, ilipaswa kuwekwa ambigous message na fupi sana hakukuwa na haja ya paragraph zote hizo kwa mtu tusiyemtambua kama Rais.
 
Hizo Salaam zilitolewa siku ileile aliyofiwa, narua ndiyo imeandikwa leo baada ya kukumbushia. Hizo habari zako za Mbowe kaa nazo
 
Hii barua ipo kwenye kurasa rasmi za Chadema?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…