Hayo ni mawazo ya Mtanzania anaejisifu kuwa na upeo, amakweli kunufaika kwako na UFISADI Kumekutia kiwi cha macho, unadhani kama hali ya klisiasa ikiharibika utaona thamani ya hako kaposho kako, siasa inaathiri kila nyanja, waulize Zimbabwe kama kuna mtu wa ZANU PF aliefaidi wakati wa crisis, mimi ni mwanachama wa chama cha siasa maana sio kosa, wewe unategeme mshahara mwisho wa mwezi sio kosa, ila tambua siasa inaathiri mifumo yote ya maisha.Mimi ndugu ije chadema, CCM or CUF i don't care niko huru, na nina uwezo nina kula na kuishi from halal income since I was born (get your record right) wewe unayekula kwa kutumia migongo ya wanasiasa in the name of upinzani utaishia kupiga kelele...
Dr. Slaa ndio kifo cha chadema, nimefaidi/onja utamu wa matunda ufisadi ni maneno ya wakosa hoja..kwakuwa huna uwezo wa ku-proof argument zako...mmepata kuonja utamu wa matunda ya UFISADI TZ, ndo maana unajenga chuki na chama hiki, kwa taarifa yako CHADEMA inajipanga vyema, huku ikiendelea na kazi yakupanga upya safu makini ya Watendaji pale makao makuu, kung'oa mizizi ya upupu ni kazi tuliyompa Dr . Slaa maana yeye ndio tuliempa jukumu la kuwaajili na kuwafukuza kazi ikibidi kwa niaba yetu.
Waberoya
Zamu yangu kufanya nini mkubwa?
JJ
Waberoya utasubiri sana kuuona mwisho wa CHADEMA lakini kamwe hautafika, vita inaendele ya ukombozi wA raslimali zetu.......hakuna zamu ya mtu kuvuliwa madaraka CHADEMA, nidhamu kwanza hiyo Ni sera yetu, hatujali wewe unawadhifa gani ama ulileta wanachama wangapi CHADEMA.
Hili bomu jingine lisilojitambua. Alikuwa Mtanzania aliyejidai kutetea utawala bora. Ikaja kudhihirika ni mganga njaa tu wa CCM. Anataka ubunge huko Mbeya.
Nawe hauko tofauti sana na George Mwakalinga.
We dogo,
Usithubutu kusema mzee mtei ameondoka maana unafurahisha baraza..lol mzee ndio kichwa cha chadema na bado anaendesha hiyo taasisi yenu (call family club) kwa remote control...
In BTWN hujaniambia concern yangu kuhusu uwezo wenu kichama wa kupata viongozi kupata viongozi kutoka zanzibar kama sehemu ya nchi..au ndio sera yenu majimbo (a.k.a ukabila)
Slaa na wengi wa viongozi wa chadema ni wababe kwa wanachama wao na hawatoi fursa na haki sawa leo wakiwa taasisi ndogo tu wenye kujulikana na kukubalika katika wilaya chache..je siku mnapewa dola (jeshi,polisi) si mtaanza kuita watu viroboto..huyu slaa wenu ni sawa na sumaye...tabia zake za dharau kwa wananchi na wanachama
sikio la kufa halisikii dawa..tutaendelea kupiga kelele..
ndiyo siasa inaathiri mifumo yote ya maisha..ndio maana nashiriki kupiga kura na kuchagua wanasiasa wenye upeo na akili kila uchaguzi unapofika na ninashawishi walioko kwenye mamlaka yangu kufanya hivyo...Hayo ni mawazo ya Mtanzania anaejisifu kuwa na upeo, amakweli kunufaika kwako na UFISADI Kumekutia kiwi cha macho, unadhani kama hali ya klisiasa ikiharibika utaona thamani ya hako kaposho kako, siasa inaathiri kila nyanja, waulize Zimbabwe kama kuna mtu wa ZANU PF aliefaidi wakati wa crisis, mimi ni mwanachama wa chama cha siasa maana sio kosa, wewe unategeme mshahara mwisho wa mwezi sio kosa, ila tambua siasa inaathiri mifumo yote ya maisha.
Sijajua kwa credibility yako kama kweli ulifurahia ubakwaji wa demokrasia ndani ya chama chenu, na hii ndio imetushtua wengi..ndugu yangu Mnyika kubali, kataa.Kutotangaza matokeo haraka haraka kunaleta picha viongozi wetu sio foreseer, hamkutakiwa kufanya uchaguzi basi kama hali si shwari!
Ukiona hili la uchaguzi huwezi kujibu, acha tu, wewe si mmoja wao! we all know that
Haunifahamu, kwa taarifa yako naipenda mno, ila warekebishe makosa yao! akina Kafulila,Dandu wanaacha makovu sana unless hajujajua athari zake kichama!
Huyu siyo invicible ninayemfahamu, labda kama ulikuwa na maana nyingine
Mkuu mimi niko Canada naramba degree zingine,kituo changu cha kazi ni UDSM, professionally ni engineer.Ukitaka kujua uhandisi gani we chora majengo niletee nikuwekee nondo!
Invicible wewe ni Chadema najua, what we do ni kiwe bora na ndoto ya kila mtu, lile swali ni la uchokozi tu nione Mnyika atajibu vipi.Mnyika kajibu kistaarabu, maana angejibu kwa hasira ni alama ya kuwa anajidefend! simple saikoloji waulize wanasheria!! wewe mzee umeharibu!
wengine hatuna vyama humu, kila mtu anapokea kulingana na haki yake! nyie wenye vyama ndio mnapata sana shida, kila post mnajibu harsh...
Kamuulize FMES atakuuliza..I hate CCM, ila sitaki chadema na hali na tabia yao ya kubaka demokrasia tuiangalie kama wote mazezeta!
Ulivyojibu mzee umeniacha hoi...kumbe unamjua kila mtu humu!
Unataka nichague chama?? it can not be a forum for great thinker bali washabiki, ila siamini katika hao wewe humo!!
lazima kulinda maadili, sisi ssio CCM inayo waogopa mafisadi bingwa, Sofia Simba kamtusi Rais, Waziri mkuu, Mawaziri na wanaCCM wote kua ni mafisadi, Rais kaogopa hata kusign barua yakumuonya, hizo ni dalili kua Chama kimemezwa na mlioonja matunda ya Ufisadi, kua akimfukuza Simba atamtazamaje RA, akiwatosa kina RA atatazamanaje na Lowasa, akiwatosa kina Kingunge atatazamanaje na Makamba, ni chain ya Ulaji, ni chama cha mafisadi hasa......lakini yanamwisho haya.Kuchagua chadema ni kuingiza giza nene na ubabe,ukabila, kunyimwa demokrasia na citizen freedom ambao tunau-enjoy japo kidogo kwa sasa na tuliupigania muda mrefu.
Asante. Hayo ni maoni yako, wakati wote tunaendelea kujifunza kutoka kwa michango ya aina zote na kutafakari mustakabali mwema wa chama. CHADEMA ni zaidi ya Mbowe na Zitto; ni wanachama na wote wanaoitazama kuwa tumaini jipya la watanzania
JJ
mimi sio tu naipenda ila mwanachama hai wa CHADEMA.Haunifahamu, kwa taarifa yako naipenda mno, ila warekebishe makosa yao! akina Kafulila,Dandu wanaacha makovu sana unless hajujajua athari zake kichama!
!!
hakuna jamii isio na mgogoro, labda kama jamii hiyo ni mfu. hivyo CHADEMA kama taasisi yenye watu hatutegemei ikakosa migogoro kwa maana yakutoafikiana katika mambo ya msingi......tofauti ya CHADEMA na vyama vingine ni mfumo wake wakupeana adhabu pale mtu anapovuruga ustawi wa chama.....hicho ndicho mawakala waufisadi wanachoeneza kuwa CHADEMA hakukaliki, aaah kisa Kafulila kavuliwa cheo na aliempa.....sasa mlitaka avuliwe madaraka na mwenyekiti wa shina wa CHADEMA.
unajua kuna maneno mengine unayasema ni kama una waambia watu ambao hawajuhi siasa za Tanzania au hawakijuhi chama chenu, kuna watu wako nje ya Chadema lakini wanakijua vizuri sana hicho chama na wengine ni zaidi ya wewe unavyokijua.
mimi binafsii nasema Zitto ni zaidi ya Chadema na sitabadilisha huo msimamo mpaka unieleze ni kwa nini mlimforce ajitoe kwenye kinyanganyiro cha uenyekiti ili "mkinusuru chama"
Maadili hayalindwi kwa mkono wa chuma unless chadema ni chama cha kikomuinist cha uchina...lazima kulinda maadili, sisi ssio CCM inayo waogopa mafisadi bingwa, Sofia Simba kamtusi Rais, Waziri mkuu, Mawaziri na wanaCCM wote kua ni mafisadi, Rais kaogopa hata kusign barua yakumuonya, hizo ni dalili kua Chama kimemezwa na mlioonja matunda ya Ufisadi, kua akimfukuza Simba atamtazamaje RA, akiwatosa kina RA atatazamanaje na Lowasa, akiwatosa kina Kingunge atatazamanaje na Makamba, ni chain ya Ulaji, ni chama cha mafisadi hasa......lakini yanamwisho haya.
sasa siubakie na huo msimamo wako tu ..
Mimi binafsii nasema zitto ni zaidi ya chadema na sitabadilisha huo msimamo
mimi sio tu naipenda ila mwanachama hai wa CHADEMA.
SASA KAMA Kafulila na Dando wamekwenda kinyume na kanuni zinazoongoza chama ulitaraji tufanyaje, lazima uwajibike.
Tabia hii ya kubembelezana ndio imetufikisha hapa. kama tangu zama za mzee Mwinyi mafisadi kina Kighoma Malima wangefungwa hali isingefikia hapa, lazima kila jambo ufanyalo ubebe ghalama zake.
ni heri kuacha makovu nyuma kuliko kuacha jeneza lenye mwili wa CHADEMA NYUMA.
Wewe acha kuzungumzia marehemu,mimi sio tu naipenda ila mwanachama hai wa CHADEMA.
SASA KAMA Kafulila na Dando wamekwenda kinyume na kanuni zinazoongoza chama ulitaraji tufanyaje, lazima uwajibike.
Tabia hii ya kubembelezana ndio imetufikisha hapa. kama tangu zama za mzee Mwinyi mafisadi kina Kighoma Malima wangefungwa hali isingefikia hapa, lazima kila jambo ufanyalo ubebe ghalama zake.
ni heri kuacha makovu nyuma kuliko kuacha jeneza lenye mwili wa CHADEMA NYUMA.
Waberoya utasubiri sana kuuona mwisho wa CHADEMA lakini kamwe hautafika, vita inaendele ya ukombozi wA raslimali zetu.......hakuna zamu ya mtu kuvuliwa madaraka CHADEMA, nidhamu kwanza hiyo Ni sera yetu, hatujali wewe unawadhifa gani ama ulileta wanachama wangapi CHADEMA.
ukianza na Wangwe,Kafulila hakuna hata mmoja ambae alifukuzwa nnje ya utaratibu uliopo ndani ya katiba ya CHADEMA, sema shida yako umelelewa kwenye mfumo wa kubembelezana na kuamini kua bila mtu fulani hakuna maisha.Maadili hayalindwi kwa mkono wa chuma unless chadema ni chama cha kikomuinist cha uchina...
..
Beef zote hizi chanzo chake ni mshiko.
Hakuna cha chama mbadala wala upuuzi wa kupinga ufisadi.
Watanzania wengi njaa kali na siasa ni deal kama deal nyingine yoyote.
Upuuzi wa chama hiki uko wazi, chama gani chenye msururu wa wanafamilia kwenye safu zote za uongozi? Tena nafasi nyingi za kuteuliwa.
Kwani Zitto hakuona kilichomtokea alipojaribu kugombea Uenyekiti? Unafikiri u-CEO kwenye kampuni ya CHADEMA unapatikana kwa kura?