CHADEMA mwendo mdundo KATA YA DARAJA MBILI- Arusha

SOKON 1

JF-Expert Member
Joined
Dec 28, 2010
Posts
1,134
Reaction score
331
hivi ndivyo pilika pilika za kisiasa za uchaguzi mdogo wa udiwani katika kata ya DARAJA MBILI Arusha hali ya mwitikio wa wananchi wa eneo hilo katika kuja kusikiliza sera za vyama hivi vitatu CHADEMA, CCM na CUF*
559493_367834246635047_806739415_n.jpg
Mkutano wa CHADEMA,
58377_367638759987929_1587513951_n.jpg
Mkutano wa CUF,
View attachment 68389
Mkutano wa CCM

Nawasilisha😛hoto:😛hoto:😛hoto:
 
Mwendo huo uendelee hadi kupiga na kulinda kura zisiibwe na magamba.
 
wa ccm ndo umenifurahisha utafikiri wanacheza cheusi chekundu.
 
Yana ukweli haya? Naona mpiga picha alipiga kwa kujificha, aliogopa watamwangosi?
 
hivi ndivyo pilika pilika za kisiasa za uchaguzi mdogo wa udiwani katika kata ya DARAJA MBILI Arusha hali ya mwitikio wa wananchi wa eneo hilo katika kuja kusikiliza sera za vyama hivi vitatu CHADEMA, CCM na CUF*
View attachment 68386
Mkutano wa CHADEMA,
View attachment 68388
Mkutano wa CUF,
View attachment 68389
Mkutano wa CCM

Nawasilisha😛hoto:😛hoto:😛hoto:

SOKON 1 hizo picha mbili ni za kweli ni za hapa Arusha????

Kama ni hivyo waamuni wanaweza kusema Haleluya au kwa Muslim Allah Akbar.
 
Last edited by a moderator:
Low hasa: " uchaguzi ukirudiwa Arusha lazima thithiem ishinde" wakati mwingine ukiwa umechoka ukapanda daladala unapitiwa usingizi wa mang'amng'am. ndoto zake ni kama hizo. kumbe masikini umepitiliza kituo cha kushukia!
 
Bado watasema, lazima CCM washinde. Dalili ya mvua ni mawingu.
 
Arusha sawa, kwingineko vipi? Au tukishinda Arusha ndio tumeshinda kata zote 29? Mwee, mie nimechoshwa na Daraja Mbili kila siku!
 
Mkuu Kashaijabutege, Kata ya Moyavizi jimbo la Mbozi Mashariki, kama ccm watapata kura 20 za udiwani tutakuwa na shaka na kura hizo, maana kwenye kampeni walikuwa wanatumia wacheza ngoma ya asili kutoka kijiji cha Ichesa kuvuta halaiki ya watu. Baada ya wananchi kuchoshwa na janja ya ccm, wananchi waliwacharaza bakora wachezangoma hao, nao kwa sasa wameapa kutotumiwa na ccm kwenye kampeni zao. Hata mbunge Zambi wa jimbo hilo kapigwa ban na wananchi kufika katika jimbo analoliwakirisha bungeni.
 
hiyo imenifurahisha mkuu yaani zambi mwenyekiti mpya wa ccm mbeya anapigwa ban! Hii ni kali.
 
Mkuu Kashaijabutege, Kata ya Moyavizi jimbo la Mbozi Mashariki, kama ccm watapata kura 20 za udiwani tutakuwa na shaka na kura hizo, maana kwenye kampeni walikuwa wanatumia wacheza ngoma ya asili kutoka kijiji cha Ichesa kuvuta halaiki ya watu. Baada ya wananchi kuchoshwa na janja ya ccm, wananchi waliwacharaza bakora wachezangoma hao, nao kwa sasa wameapa kutotumiwa na ccm kwenye kampeni zao. Hata mbunge Zambi wa jimbo hilo kapigwa ban na wananchi kufika katika jimbo analoliwakirisha bungeni.

Safi sana kamanda.
 
Nijulisheni jamani hali ya kamanda Msoffe baada ya kupigwa na kada wa nyinyiemu.
 
Back
Top Bottom