Crimea
JF-Expert Member
- Mar 25, 2014
- 25,477
- 35,130
Huwa nawashangaa sana CHADEMA kila kitu wao utasikia tususie, hivi hii ni akili gani?
Kipindi cha kampeni walikuja na kioja cha kususia nyimbo za Diamond eti kisa anaiunga mkono CCM. What a shame!
Juzi hapa wakaja na kioja kingine eti kampeni choma kadi za CCM, kisa wameona video ya mange akichoma kadi ya CCM Mange Kimambi.
Sasa hivi kuna hili la kususia laini ya Vodacom ambayo pia boss wao Lowassa ana hisa huko. Hapa ndio unaishia kuona dalili za kukata tamaa kwa hawa jamaa.
Kipindi Kubenea anaandika ufisadi wa Lowassa kuhusu Richmond walikuwa wanaweka mawasiliano yote kwenye gazeti, bila shaka kuna sehemu huko kwenye mitandao walikuwa wanapata taarifa hizo! Hilo hawakuona kama mitandao ina makosa bali la Lema tu.
Kususia ni tabia ya ajabu badilikeni mnatia aibu kila kitu mnazira ebo!