CHADEMA mtafakari kauli zenu

Zile cctv kwanini mmezing'oa.
...mbaffff sana nyie
Mmepoteza ushahidi
 
Uwe mkweli,wewe na lisu nani kachanganyikiwa??
 
Kihiyo ni mama yako maana alikuwa mwalimu wangu, lawama ni za mama yako, my teacher, primary school teacher! hakunifundisha maana naye alikuwa kihiyo. Mwalimu wangu kabisa
Mama yangu hakuwahi kua mwalim ni mwanamke wa tano kupata CPA nafasi ya NNE baada ya Anna Makinda
 
Mama yangu hakuwahi kua mwalim ni mwanamke wa tano kupata CPA nafasi ya NNE baada ya Anna Makinda
Nimekupata, jiepushe maneno ya matusi, kejeli unapomjibu mtu. Just hit the point. Hakuna haja ya vilaza, jinga, mpumbavu etc. Avoid those derogatory terms!
By the way, CPA ni vitu vidogo, ila fani ya uhasibu waliamua kuwa restrict watu wasijazane. Kuna ugumu gani huko wa kuwashinda watu. Ni ukiritimba wa ngozi nyeusi na roho mbaya. Haya mambo ya arts huwa ni marais, there is no difficult concept to defeat a determined student to grasp! Kuna vitu vigumu, very difficult concept to comprehend by a student, mpaka leo watu, wanasayansi wakubwa wanabishana... Warping of spacetime, by Albert Einstein alileta science ya Special theory of relativity... vitu mpaka leo vinawachanganya watu. ... Have a nice day anyway. Enjoy your day!
 
Kwa hiyo unamaanisha wao kumficha dereva wa lissu ni kosa kisheria sio?
 
Kwa nn cctv camera ziliondolewa siku kashambuliwa lissu ?
Kwa siku hiyo hakukuwa na police hata mmoja while siku zote huwa wanalinda hizo nyumba ?

Acha ushabiki kwenye sensitive issues

Idiot
 
Kwa nn cctv camera ziliondolewa siku kashambuliwa lissu ?
Kwa siku hiyo hakukuwa na police hata mmoja while siku zote huwa wanalinda hizo nyumba ?

Acha ushabiki kwenye sensitive issues

Idiot
Sasa unaniuliza mimi kwani nilikuwepo? Nenda kawaulize polisi watakujibu. Idiot.
 
Kumbe akili unazo,sasa kwanini unajitoa ufahamu,wakati unaonekana ni MTU mwenye maono na hoja ila kwa LA Lisu umeamua tu kuvuruga akili zako kwa makusudi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…