CHADEMA mtafakari kauli zenu

Wewe ulishaiona hiyo CCTV camera au umesikia tu na kukariri!?? Je unajuaje kama wale wauaji walianza kuitoa hiyo camera then kikafuata hicho kitendo?? Msiwe washabiki wa upepo bila fact
Unapajua nyumbani kwa Lisu kuliko Lisu mwenyewe?we kweli ni ndezi
 
Povu la nini wakati kichwani ni zaidi ya kihiyo
Kihiyo ni mama yako maana alikuwa mwalimu wangu, lawama ni za mama yako, my teacher, primary school teacher! hakunifundisha maana naye alikuwa kihiyo. Mwalimu wangu kabisa
 
I think everyone in TZ, except himself TL, is a suspect! The only intelligent solution is to keep our fingers crossed! Greetings to my beloved toddler Retired
Toddler ni mama yako ambaye hakunifunza adabu nzuri maana alinilea yeye
 
Je, ni lazima polisi wamwambie Lissu na CHADEMA, kwa ujumla, hatua iliyofikiwa katika suala hili la kupigwa risasi 36/38/40/16/8/7?
 
Jikite kwenye hoja sio kumshambulia mleta hoja!
 
Africa highlights: Tanzania MP shooting an 'assassination bid', mercy for twin-selling mother
Kama hili hulijui bsi jua sasa. Athari zake ni kubwa kwa taifa lililokuwa linaheshimika duniani kwa amani na demokrasia
 
Hapana hapana siyo sawa kabisa tofauti yakimtazamo ikufanye umpoteze binadamu mwenzako, ivi kuna umuhimu gani wa mtu mzima na minguvu yake kumnyoga mtoto kisa kazomewa! Kiongozi siyo mtu wakulinda hadhi yake kwa wakosoaji wake kwa kumwaga damu...Yeye tiyari ni Raisi asimamie anayoyaamini akunjue moyo awe tiyari kuyapokea yote, aongoze nchi yetu kwa amani itokayo mioyoni asiwapake mikono damu wana wa ardhi hii kwa kulinda hadhi...km kweli yeye anaona inafaa kumwaga damu basi aamuru aletewe wakosoaji wake sirini na kwa mikono yake awamiminie risasi wakosoaji wake, vinginevyo unawapaka mikono damu wasiohusika kwa kuwalisha sumu ya #uzalendo_uchwara
 
Unaposema haliwezi kujikamatia tu mtu yeyote unamaanisha nini?

Yani wafanye uchunguzi halafu wajikamatie mtu yeyote? Nini maana ya uchunguzi?

Anamaanisha wanapotaka kumkamata dereva kutokana na uchunguzi wasizuie au kuleta vikwazo halafu walalamike eti hakamatwi mtu
 
Yeah! always ilogical when used against you,but logical when favouring your course. That is typically like you.
There will never be a reason that can justify the wrong use of scriptures, It does not matter if the application is in my favour or not. Both misinterpretation and misapplication of scriptures are wrong regardless of whom is being favoured, hata kaa ni mimi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…