Wacha kashfa wewe. Kama ni wajinga kiasi hicho mbona wanawagaraza sehemu tele. Kama mtaa unaongozwa na ukawa halafu wajumbe wa ccm wanatumika hapo nani mjanja nani mjinga.Unawezaje kuwatumia wasiotambulika kikatiba ?
Kazi kubwa ya mjumbe wa nyumba 10 wa ccm ni kushiriki wizi wa kura na kugawa rushwa ya kilo za sukari kwenye eneo lake , 90% hawajui kusona wala kuandika , hivi ni msaada gani watatoa watu wa hivi ?
Ingawa hawatambuliki kikatiba lakini ccm inafanyanao kazi bega kwa bega na hauwezi kuandikiwa barua ya kukutambulisha kwenye taasisi yoyote bila kwenda na barua ya mjumbe kwenye ofisi ya serikali ya mtaa.Unawezaje kuwatumia wasiotambulika kikatiba ?
Kazi kubwa ya mjumbe wa nyumba 10 wa ccm ni kushiriki wizi wa kura na kugawa rushwa ya kilo za sukari kwenye eneo lake , 90% hawajui kusona wala kuandika , hivi ni msaada gani watatoa watu wa hivi ?
Barua inayotakiwa ni ya serikali za mitaa , siyo ujinga wa mjumbe wa nyumba kumi , labda kama hiyo ofisi unayoisena inahusiana na mambo ya kimila , jaribu kufanya utafiti 90% ya hao wajumbe hawajui kusoma , how can i trust them ?Ingawa hawatambuliki kikatiba lakini ccm inafanyanao kazi bega kwa bega na hauwezi kuandikiwa barua ya kukutambulisha kwenye taasisi yoyote bila kwenda na barua ya mjumbe kwenye ofisi ya serikali ya mtaa.
Umesahau ile operesheni Chadema ni msingi iliyohamasishwa nchi nzima? mimi ni mwenyekiti wa msingi (mjumbe) mtaa wa pugu station DSM kwa hiyo nafahamu umuhimu wa hicho nilichoshauriBarua inayotakiwa ni ya serikali za mitaa , siyo ujinga wa mjumbe wa nyumba kumi , labda kama hiyo ofisi unayoisena inahusiana na mambo ya kimila , jaribu kufanya utafiti 90% ya hao wajumbe hawajui kusoma , how can i trust them ?
This is Africa jombaa, ndiyo maana maendeleo tutasubiri miaka kama 500 hivi. Sisi vyama kwanza nchi baadaye.Sasa kwanini ccm haizingatii utawala bora kwa kuwatumia wajumbe wa ccm pekee badala ya kuwatumia wa vyama vyote?