Niko tayari kujifunza practical ambazo sio academic mkuu!!!!!
Nachoelewa academic inawezekana kuwa practical given one is kean on context!!!!!
CCM wamebakiza pet politics za kujifurahisha mitandaoni.
Kuna B7 FC mmoja anadai eti Chadema ilitumia Miln.700,000,000, nikajiuliza huyu ana akili timamu kweli anajua hiyo figure ni trillion ngapi hata budget ya serikali haifiki.
swali hili ni kwa MH. MBOWE TU , KIONGOZI , HIVI KUNA MWANACCM MUADILIFU ? HEBU tutajie japo watano tu ili tuwajue ! Maana inasemekana kuitumikia ccm ni sawa na kumkiri SHETANI !