CHADEMA msiwatenge wanaCCM waadilifu - Mbowe

Vetting haifanywi kwa watu wa ndani pekee hata watu wa nje huwa wanafanyiwa vetting pengine bila wao kujua, kwa hiyo hao kina Lowassa, Mwakyembe na wengine public figures ambao matendo yao yanajulikana si lazima kwanza waingie Chadema ndipo wafanyiwe vetting wanaweza kukubaliwa au kukataliwa wangali wakiwa nje ya Chadema.

Mkuu Feedback mimi ninapata mashaka pia kuwamba Ng'wamapalala kaingiza issue ya vetting kwa nia ya kuhamishia somo kwenye hofu. Mbowe anataka kuwaondoa watu hofu, yeye Ng'wamapalala anaingiza hofu. A clever detraction it seems to me.
 
Mkuu, Hujaelewa point yangu.

Kwa mtu mwenye uelewa mzuri na good judgement sidhani kama anaweza kuanza kusafisha kwanza nje ya nyumba badala ya kuanzia ndani na huku akihakikisha kuwa hakuna vyanzo vya uchafu ndani ya nyumba yake.

Hii ndiyo hoja yangu ambayo najaribu kuiweka katika mtazamo wa political laymen kwa uelewa zaidi.
Nafikiri kuna kutoelewana, mimi nimejibu statement yako kuwa akina Lowassa, Magufuri, Mwakyembe wakigonga milango ya Chadema hawatafunguliwa? nikasema hao hawahitaji vetting maana matendo yao yanajulikana wazi, huwezi kuweka vikao vya vetting kwa mtu kama Mwigulu uone kama anafaa kuwa kiongozi wa Chadema ama la. Labda kama sielewi maana ya vetting unayoijua wewe, na kufanya vetting ya mtu wa nje anayetaka kuingia iwe kazini si kwamba unasafisha nje.
 
Mkuu Feedback mimi ninapata mashaka pia kuwamba Ng'wamapalala kaingiza issue ya vetting kwa nia ya kuhamishia somo kwenye hofu. Mbowe anataka kuwaondoa watu hofu, yeye Ng'wamapalala anaingiza hofu. A clever detraction it seems to me.
Highlander lengo la Ng'wamapalala ni kutaka kutuaminisha kuwa eti ndani ya Chadema hakuna vetting mechanism, kama hakuna vetting mechanism mbona wanahangaika na viongozi waliopo leo walioingia bila vetting?

Kwanza nimfahamishe Ng'wamapalala vetting processes hazifanani inategemea institute inataka mtu wa aina gani na watampata kwa njia gani, iwe kwa kumfuata kumshawishi au kwa kutangaza kwenye vyombo vya habari au kwa mtu mwenyewe ku-volunteer.
 
hilo ni A, Mkuu Feedback, kwamba vetting hazifanani. mtu unaweza ukaenda mbele kidogo ukafafanua kwamba recruitment mechanisms hazifanani. Katika uhalisia wa kutafuta watu wa kufanya kazi, unaweza hata ukafanya vetting akiwa ndani. It is risky, lakini inawezekana kabisa.

Huyu Ngosha nadhani anayo rigid formula fulani ya recruitment anaitumia kama standard. Sasa kwake Mbowe kashindwa kufit kwenye hiyo standard.

Kumbe, as you have very correctly observed, processes hazifanani! Au pengine tuseme processes SI lazima zifanane
 
Nafikiri kuna kutoelewana, mimi nimejibu statement yako kuwa akina Lowassa, Magufuri, Mwakyembe wakigonga milango ya Chadema hawatafunguliwa? nikasema hao hawahitaji vetting maana matendo yao yanajulikana wazi, huwezi kuweka vikao vya vetting kwa mtu kama Mwigulu uone kama anafaa kuwa kiongozi wa Chadema ama la. Labda kama sielewi maana ya vetting unayoijua wewe, na kufanya vetting ya mtu wa nje anayetaka kuingia iwe kazini si kwamba unasafisha nje.
Tatizo lako ninaloliona unajenga hoja kinadharia badala ya uharisia uliopo ndani ya vyama vya siasa Tanzania.

Kwa siasa za Tanzania, neno political vetting ni rahisi sana kulisema lakini kuliweka kwenye vitendo ni almost impossible kwa sababu vyama havijawa na mazingira ya mechanism inayofanya kazi firmly and fairness.

Matendo ya mwanasiasa ni sehemu ndogo sana katika process ya political vetting kwa faida ya chama leo, kesho na kesho kutwa.

Mfano halisi upo ambapo CHADEMA walijaribu political vetting kwenye viti maalum vya ubunge na matokeo yake wote wenye kufuatilia mambo ya siasa wanayafahamu. Hilo lilikuwa ni zoezi la section ya viongozi. Vipi kwenye uanachama na uongozi Tanzania yote wakati chama kiko kwenye political demand.

Matatizo ya makundi tunayoyaona kwa sasa ndani ya CCM yamesababishwa kwa kiasi kikubwa na political vetting.

Anyway, tukubali kutokubaliana.
 
swali hili ni kwa MH. MBOWE TU , KIONGOZI , HIVI KUNA MWANACCM MUADILIFU ? HEBU tutajie japo watano tu ili tuwajue ! Maana inasemekana kuitumikia ccm ni sawa na kumkiri SHETANI !
 
Let me get this right: Freeman Mbowe ndiye alisema hayo humu jamvini? Mbowe alisema humu jamvini kwamba eti magamba wooote ni wezi? alisema hivyo lini? weka link hapa nione....
Mbona hatujawahi kusoma humu jamvini mdau wa CHADEMA kapost thread ya Mbowe kuwakanusha wale waliokuwa wanawaita magamba wote wezi?! Leta ushahidi wa kauli ya Mbowe kuwaasa kuwa magamba wote si wezi
 
Tatizo lako ninaloliona unajenga hoja kinadharia badala ya uharisia uliopo ndani ya vyama vya siasa Tanzania.

Kwa siasa za Tanzania, neno political vetting ni rahisi sana kulisema lakini kuliweka kwenye vitendo ni almost impossible kwa sababu vyama havijawa na mazingira ya mechanism inayofanya kazi firmly and fairness.

Matendo ya mwanasiasa ni sehemu ndogo sana katika process ya political vetting kwa faida ya chama leo, kesho na kesho kutwa.

Mfano halisi upo ambapo CHADEMA walijaribu political vetting kwenye viti maalum vya ubunge na matokeo yake wote wenye kufuatilia mambo ya siasa wanayafahamu. Hilo lilikuwa ni zoezi la section ya viongozi. Vipi kwenye uanachama na uongozi Tanzania yote wakati chama kiko kwenye political demand.

Matatizo ya makundi tunayoyaona kwa sasa ndani ya CCM yamesababishwa kwa kiasi kikubwa na political vetting.

Anyway, tukubali kutokubaliana.
Ok i take your word tukubali kutokubaliana ila next time uwe unatoa mifano unayoijua vizuri ya Chadema huijui, tunataka utuambie vetting ya viti maalumu yenu ilikuwaje nasikia Sophia Simba aligeuka Matumla, pia muulize Salim A Salim ni muathirika wa vetting mechanism ya CCM.
 
Jaribu kuhama chama chako na uende chadema utajua ukweli au muulize Shibuda
Kwani kuna bango limewekwa kwenye nyuso za kila mtu anayetaka kujiunga CHADEMA kutokea CCM.

Kuna mechanism gani in place ndani ya CHADEMA kupima na kumfahamu kila anayependa kujiunga na kuwa mwanachama wa CHADEMA.

Kama chama mpaka sasa hakifahamu kina wanachama hai na wafu wangapi, wataweza vetting ya wanaotaka kujiunga na chama kuanzia vijijini mpaka mijini huku kila siku wanagawa kadi kama njugu kwenye mikutano ya hadhara.

Siasa za bongo bana. Why can't you stick to what you do best.

Ninawapongeza wanasiasa wa Tanzania katika uwezo wa political dotting and dabbing around ili kesho ukiwauliza wanakwambia "Nilisha tamka mapema. Nilifahamu hili jambo litatokea" wakati action ni zero.
 
Ok i take your word tukubali kutokubaliana ila next time uwe unatoa mifano unayoijua vizuri ya Chadema huijui, tunataka utuambie vetting ya viti maalumu yenu ilikuwaje nasikia Sophia Simba aligeuka Matumla, pia muulize Salim A Salim ni muathirika wa vetting mechanism ya CCM.

ehee, hapo sasa! eti salim ahmed salim vetting ilimkuta hafai. hee! si maajabu hayo? kumbe vetting inaweza kutumia either way, to build, to destroy mh!? ccm walimvet out of presidency salim ahmed salimu for what wrong now? maneno hayo....
 
Mbona hatujawahi kusoma humu jamvini mdau wa CHADEMA kapost thread ya Mbowe kuwakanusha wale waliokuwa wanawaita magamba wote wezi?! Leta ushahidi wa kauli ya Mbowe kuwaasa kuwa magamba wote si wezi

ha ha ha ha! ilooo!!!...nimekukamata. huna ushahidi. Weka ushahidi hapa....
 
Ikumbukwe kuwa huyuhuyu Mbowe ndiye alisema wahamiaji wasipewe madaraka, leo anasema wasitengwe. Maamuzi ndani ya briefcase ya Mbowe...

Ni ngumu sana kumpata mtu mwadilifu ndani ya magamba.
na akionekana ni wa kuchungwa sana.

that's how it looks !!!
Mbowe need to be exonerated from those accusation.
it's because of you gambaz and your stylish way of living in regard to your politics.
you always play dirty games in your political game theory.
 
Ikumbukwe kuwa huyuhuyu Mbowe ndiye alisema wahamiaji wasipewe madaraka, leo anasema wasitengwe. Maamuzi ndani ya briefcase ya Mbowe...
kunatofauti kubwa sana kati ya neno kuwapokea na neno kuwapa madaraka,tafakari mada kabla hujakurupuka kujibu
 
Ikumbukwe kuwa huyuhuyu Mbowe ndiye alisema wahamiaji wasipewe madaraka, leo anasema wasitengwe. Maamuzi ndani ya briefcase ya Mbowe...

Ze mako mbona unauliza halafu unajijibu mwenyewe au simu umempa housigeli nini?
 
Highlander lengo la Ng'wamapalala ni kutaka kutuaminisha kuwa eti ndani ya Chadema hakuna vetting mechanism, kama hakuna vetting mechanism mbona wanahangaika na viongozi waliopo leo walioingia bila vetting?

hii nimeipenda. imekaa vizuri sana hii.... kuna siku nilimsoma mmoja anaitisha kadi ya ccm ya Dr. Slaa. ha ha ha....
 
CCM wamebakiza pet politics za kujifurahisha mitandaoni.

Kuna B7 FC mmoja anadai eti Chadema ilitumia Miln.700,000,000, nikajiuliza huyu ana akili timamu kweli anajua hiyo figure ni trillion ngapi hata budget ya serikali haifiki.
 
Back
Top Bottom