utaifakwanza
JF-Expert Member
- Feb 1, 2013
- 14,193
- 2,815
mbowe hana jipya, juzi amekunywa juice ya ikulu kwa pupa hadi ikampalia
Ikumbukwe kuwa huyuhuyu Mbowe ndiye alisema wahamiaji wasipewe madaraka, leo anasema wasitengwe. Maamuzi ndani ya briefcase ya Mbowe...
Vetting ya new member siyo political strength ya CHADEMA na kama wanataka kuanza vetting, lazima kwanza waweke mechanism na leverage ili kuwa firm and fairness katika process. Huwezi kuanza kuongelea vetting ya new member wakati hata waliopo ambao wengi huwafahamu hawana vetting yoyote kwa sababu ya ukosefu wa foundation katika kukabiliana na changamoto kama hiyo. Hii ni kama talking shop.and what could that be? that 'they' do best? setting the national agenda? or getting beat on demonstrations!
Mkuu, Huku kwetu Kijijini Bariadi bado ni mchana.
Binadamu tunatofautiana, vilevile haya mashudu uliyosoma yasikufanye ukafikiria na wengine wako kwenye kundi lako.
Waachie hao wengine ambao wataelewa kama ilivyo Jf motto.
Mkuu, Huku kwetu Kijijini Bariadi bado ni mchana.
Binadamu tunatofautiana, vilevile haya mashudu uliyosoma yasikufanye ukafikiria na wengine wako kwenye kundi lako.
Waachie hao wengine ambao wataelewa kama ilivyo Jf motto.
Suala la Chadema kuwapa watu uongozi kama zawadi limeshakuwa la mazoea na hamuoni aibu kulizungumza hata mbele za watu.Madaraka hayatolewi ni chaguzi pekee ndio zinazotoa viongozi.hivi kutokuwatenga na kuwapa madaraka ni kitu kimoja? Jiheshimu!
...mingoi!! mingoi!! hadodo doX2Hili uamini katika Chadema lazima uwe na akili kama za kuku
Malizia na vigelegele mbeijing wewe...mingoi!! mingoi!! hadodo doX2
...watu wotee njooni tuwaone twanga pepetaaaa x 1
Chadema inataratibu zake za uchaguzi kamwe haziwezi kupangwa wala kufanana na za CCM,Suala la Chadema kuwapa watu uongozi kama zawadi limeshakuwa la mazoea na hamuoni aibu kulizungumza hata mbele za watu.Madaraka hayatolewi ni chaguzi pekee ndio zinazotoa viongozi.
Vetting ya new member siyo political strength ya CHADEMA na kama wanataka kuanza vetting, lazima kwanza waweke mechanism na leverage ili kuwa firm and fairness katika process. Huwezi kuanza kuongelea vetting ya new member wakati hata waliopo ambao wengi huwafahamu hawana vetting yoyote kwa sababu ya ukosefu wa foundation katika kukabiliana na changamoto kama hiyo. Hii ni kama talking shop.
Hivi unaamini kabisa Mh. Lowassa, Mh. Magufuri au Mh. Mwakyembe, Sumaye n.k, wakigonga mlango wa CHADEMA wakitaka kuingia ndani uongozi wa CHADEMA utakataa kuwafungulia?. Labda hili neno Waadilifu lina maana nyingine tofauti na ile ambayo CHADEMA huisema majukwaani.
Bhebe nhang'ho. Unene nale ngika.Umenikumbusha sabuni yangu, unafua shati jeupe linabadilika rangi na kuwa kama tope then ukisuuza linarudia rangi yake yani pure white, wabhenja sana ngalu
Vetting haifanywi kwa watu wa ndani pekee hata watu wa nje huwa wanafanyiwa vetting pengine bila wao kujua, kwa hiyo hao kina Lowassa, Mwakyembe na wengine public figures ambao matendo yao yanajulikana si lazima kwanza waingie Chadema ndipo wafanyiwe vetting wanaweza kukubaliwa au kukataliwa wangali wakiwa nje ya Chadema.Hivi unaamini kabisa Mh. Lowassa, Mh. Magufuri au Mh. Mwakyembe, Sumaye n.k, wakigonga mlango wa CHADEMA wakitaka kuingia ndani uongozi wa CHADEMA utakataa kuwafungulia?. Labda hili neno Waadilifu lina maana nyingine tofauti na ile ambayo CHADEMA huisema majukwaani.
Naleho ghete nkoyi....poti oleho!!! Kenehe odiwani wa CCm simiyu kotungwa ndani miaka mpungate .....bhebhe ole ccm?
Ndio kakosea. Humu humu jamvini mmekuwa mkisema magamba wote wezi, huyo mwadilifu katokea wapi hivi karibuni. Unafiki mtupu.ndugu zanguni ZeMarcopolo na mtunzasiri samahani.
Kati yenu wawili niulizie jambo. Mbowe kakosea wapi katika kuwakubali wanaCCM waadilifu kujiunga CHADEMA? Hebu tujadili hilo. kuna kosa gani katika wito huo?
Ndio kakosea. Humu humu jamvini mmekuwa mkisema magamba wote wezi, huyo mwadilifu katokea wapi hivi karibuni. Unafiki mtupu.
Come on mkuu. Hivi kunahitaji kuwambia wanaCHADEMA kama ndani ya CCM kuna watu waadilifu na wasio waadilifu wakati CHADEMA imejengwa na kufika hapa ilipofika na waliokuwa wanaCCM. Ukisoma between line, utagundua kuwa Mh. Mbowe alikuwa aaongelea "big fish" ndani ya CCM na siyo "hawavumi" kama unavyobainisha. "Big fish" demand special treatment and special treatment comes with cost. Mh. Mbowe anataka kuiondoa hii "cost" kwa kutumia hoja ya uadilifu through hoodwink vetting.You have raised a very important point here, hata kama haikuwa highlighted kwenye hoja ya msingi ya thread. nilivyolipokea hili mimi Chadema wanaaswa kujua CCM inao watu fulanifulani ambao wana mtizamo adilifu katika namna ya kuendesha nchi yetu. Watu hao ndani ya CCM wapo lakini hawavumi. Watu hawa hawawezi kuwa effective ndani ya chama kile. Watoke nje vipaji vitumike katika uadilifu.
Kuwakaribisha wana CCM ni non-issue. Kinachofanyika hapa ni kuwatayarisha wanaCHADEMA kisaikologia kwa political inevitability. Kesho atasema "Nilisema".Mbowe anawakaribisha wanaCCM hawa kuingia Chadema na kuwasihi WanaChadema Wenzake kumuelewa na kuwapokea watu wa aina hiyo.
Hivi kuna "big fish" kutoka CCM iliyokataliwa kupewa madaraka ndani ya CHADEMA achilia mbali kujiunga na CHADEMA. Kuna makumi na mamia ya "hawavumi" wanaojiunga CHADEMA kila siku. Kuna mechanism gani imefanyika katika hili ili kuwatambua achilia mbali vetting. Nothing.Vetting unayoizungumzia ni issue muhimu kuijadili, lakini siyo kwa expense ya kupoteza watu waadilifu kutoka CCM. Chadema unayoiona leo imejengwa na watangulizi wa hao. Tulikuwa wanachama wa CCM. Wengine kadi bado zipo kuwa kumbukumbu ya historia ya maisha yetu pamoja na penzi lile kufa. Dr. Slaa aliiacha CCM kwa sababu zake, Mzee Mtei aliiacha CCM kwa sababu zake, Shibuda aliiacha CCM kwa Sababu zake na wengi wengine waliiacha CCM kwa sababu tofauti-tofauti.
Mbinu zilizotumika kutambua uadilifu wa kina Dr. Slaa, kina Shibuda, na Mzee Mtei na kutambua udhaifu katika akina Nape Nnauye na wengine kadhaa ambao wamekataliwa kujiunga Chadema kwanini zishindwe kuwatambua hawa wapya? Vetting ni muhimu ndiyo, lakini napata wasiwasi ume-underestimate network ya hiki chama kutambua tofauti za mchele na chuya.
Ndiyo maana nikasemani bora CHADEMA waendelee kufanya kile wanachokifanya kila siku ambacho kimewafikisha hapa walipo. Put everyone ndani ya kapu moja na waache watu waamue wenyewe kama ni mwadilifu au la.Hivi kweli wewe unadhani Watanzania wote katika uwingi wetu hatujui tofauti kati ya Mh. Lowassa, Mh. Magufuri, Mh. Mwakyembe na Mh.Frederick Sumaye? Hatujui kweli? Au sijakuelewa unataka vetting ya namna gani?
Mkuu, Hujaelewa point yangu.Vetting haifanywi kwa watu wa ndani pekee hata watu wa nje huwa wanafanyiwa vetting pengine bila wao kujua, kwa hiyo hao kina Lowassa, Mwakyembe na wengine public figures ambao matendo yao yanajulikana si lazima kwanza waingie Chadema ndipo wafanyiwe vetting wanaweza kukubaliwa au kukataliwa wangali wakiwa nje ya Chadema.
Come on mkuu. Hivi kunahitaji kuwambia wanaCHADEMA kama ndani ya CCM kuna watu waadilifu na wasio waadilifu wakati CHADEMA imejengwa na kufika hapa ilipofika na waliokuwa wanaCCM. Ukisoma between line, utagundua kuwa Mh. Mbowe alikuwa aaongelea "big fish" ndani ya CCM na siyo "hawavumi" kama unavyobainisha. "Big fish" demand special treatment and special treatment comes with cost. Mh. Mbowe anataka kuiondoa hii "cost" kwa kutumia hoja ya uadilifu through hoodwink vetting.
Kuwakaribisha wana CCM ni non-issue. Kinachofanyika hapa ni kuwatayarisha wanaCHADEMA kisaikologia kwa political inevitability. Kesho atasema "Nilisema".
Hivi kuna "big fish" kutoka CCM iliyokataliwa kupewa madaraka ndani ya CHADEMA achilia mbali kujiunga na CHADEMA. Kuna makumi na mamia ya "hawavumi" wanaojiunga CHADEMA kila siku. Kuna mechanism gani imefanyika katika hili ili kuwatambua achilia mbali vetting. Nothing.
Ndiyo maana nikasemani bora CHADEMA waendelee kufanya kile wanachokifanya kila siku ambacho kimewafikisha hapa walipo. Put everyone ndani ya kapu moja na waache watu waamue wenyewe kama ni mwadilifu au la.
CCM walipoteza wanachama na majimbo mengi 2010 kwa sababu ya issue hii ya hoodwink vetting. Waliweka zoezi bila hata ya kuwa na mechanism imara, matokeo yake ikawa ni recipe for disaster. Hiki ni chama ambacho kilikuwa kwenye dola kikisaidiwa na government infrastructure kama secret service and PCCB. Vipi kwa chama ambacho hakina nguvu hizo. Kumbuka hili ni zoezi la Tanzania nzima.
Mh. Mbowe hata kama ana target "big fish" kutoka CCM lakini nadhani hajaangalia picha ya tamko lake kwa mapana.