Highlander
JF-Expert Member
- Feb 12, 2012
- 3,093
- 1,077
Mwenyekiti wa CHADEMA Mheshimiwa Freeman Mbowe amewasihi wanaChadema kuwapokea wanaCCM waadilifu wanaojiunga Chadema. Katika CCM kuna baadhi wa Watanzania waadilifu, alisema kwenye mkutano wa hadhara uliohusu Katiba siku chache zilizopita. Wakazi wa Tukuyu waliupokea ujumbe huu kwa vigelegele na shangwe.
Ifuatayo ni sehemu ya hotuba hiyo ambayo ilirekodiwa kwa simu. http://youtu.be/SxQvNrOi2VY
Ifuatayo ni sehemu ya hotuba hiyo ambayo ilirekodiwa kwa simu. http://youtu.be/SxQvNrOi2VY
Last edited by a moderator: