technically
JF-Expert Member
- Jul 3, 2016
- 13,553
- 57,842
Naongea kwa experience ya Lowassa,Sumaye na Nyarandu.
Haya mambo ya kuwachukua watu wakati wa uchaguzi hapana Kama wanakuja wakae benchi kwanza hata nafasi ya kugombea nafasi yeyote wasipewe.
Kwanini kwa sababu baada ya uchaguzi uwa wanaanza kashifa za kijinga na kukigawa chama!! Na mwisho kukimbilia CCM.
Mkiwapokea msiwape nafasi kamati kuu, kugombea ubunge, udiwani au urais!!
Wakae watagombea 2030 wengi wao ni mamluki tu na matapeli.!