CHADEMA msiishie kugoma kutoa maoni ya maboresho ya Sheria za Uchaguzi, susieni hadi Uchaguzi Mkuu wa 2025

The Sunk Cost Fallacy 2

JF-Expert Member
Nov 8, 2022
7,382
8,437
Msajili ametoa bango kitita Kwa vyama kutoa maoni kuhusu maboresho ya sheria za Uchaguzi. Sasa inasemekana CHADEMA wamegoma na kususa.
F04t9qpWIAANS1h.jpg

My Take: Tunawaomba CHADEMA msusie na Uchaguzi Mkuu wa 2025 harafu mkashitaki kwa mabeberu tutawashukuru sana.
 
Hawathubutu kususia.Wana njaa kali sana.Magufuli aliwadhoofisha sana.Huoni ruzuku wanachukua na kuifanyia anasa.Lakini wanatutaka tuwachangie kwa ajili ya kugharamia mikutano yao ya hadhara.
 
Msajili ametoa bangi.kitita Kwa Vyama kutoa maoni kuhusu maboresho ya sheria za Uchaguzi,Sasa inasemekana Chadema wamegoma na kususa.

My Take
Tunawaomba Chadema msusie na Uchaguzi Mkuu wa 2025 harafu mkashitaki Kwa mabeberu tutawashukuru sana.

Kwanini chadema na sio wenyenchi ni wananchi tutoe maoni, kwani tume huru ni mali ya chadema au wanasiasa?akili zenu zinawaza chadema wananchi unachukuliaje?
 
Msajili ametoa bango kitita Kwa vyama kutoa maoni kuhusu maboresho ya sheria za Uchaguzi. Sasa inasemekana CHADEMA wamegoma na kususa.

My Take: Tunawaomba CHADEMA msusie na Uchaguzi Mkuu wa 2025 harafu mkashitaki kwa mabeberu tutawashukuru sana.

Hiki chama nacho ni susa susa tatizo na huyu bibi anataka kuwafanya last born ndo maana wanavimba vichwa. Walisema hawakitambui kikosi kazi na mambo yake yote leo wanasema maoni yalishatolewa na kikosi kazi.
 
Msajili ametoa bango kitita Kwa vyama kutoa maoni kuhusu maboresho ya sheria za Uchaguzi. Sasa inasemekana CHADEMA wamegoma na kususa.

My Take: Tunawaomba CHADEMA msusie na Uchaguzi Mkuu wa 2025 harafu mkashitaki kwa mabeberu tutawashukuru sana.
Kuna vyama vingi vya siasa.Kwanini CHADEMA wakigoma unaumia?
 
Back
Top Bottom