CHADEMA, msiidharau ADC... Take it from me!

uoga wa kijinga sana huu, kwanini tuwe wanasiasa wenye kutegemea siasa za upepo na vijisababu visivyo na sababu? Hebu acha hoja zifanye kazi, ikiwa watakua na mtazamo zaidi ya chadema watachukua nafasi ila wakiwa na hoja mfu na ubunifu zindifu na utawala kama walioukana, hata wawe na akina zito na akina mbowe 30 hawataweza kushinda kuchukua nchi eti kwa kigezo cha rangi za bendera tu...jikite kutafakari nini kifanyike kuwaingia watu akilini na damuni mwao waamini chama sio rangi za bendera
Post zako za jana zote ulikuwa na hasira sana.
 
Mi nafikiri watu wanampigia kura mgombea kwenye karatasi ya kura. Sidhani kama inatangulia bendera ya chama ndio inafuata picha ya mgombea!
 
Back
Top Bottom