CHADEMA mpuuzeni Mwigulu Nchemba..!

Ukimwona kobe juu ya mti ujue kapandishwa...mwigulu 0 %%%%%%%%%%%%%%%
 
yeye mwenyewe mwigulu anavaa kiremba shingoni, wanaomjua kwa karibu wanasema nae ni wa david cameroon, we mwangalie vizuri bungeni huwa anavaa mtandio wa rangi ya bendera ya taifa shingoni!
 
​mwigulu ndani ya bunge ulitangaza kuwa chadema hawajaenda kumuona mbunge mwenzao joseph selasini leo kakuumbua kwa kuwataja hata mwenyekiti wako akiwemo .rudi shule ukajifunze somo la kuongea uongo
 
​mwigulu ndani ya bunge ulitangaza kuwa chadema hawajaenda kumuona mbunge mwenzao joseph selasini leo kakuumbua kwa kuwataja hata mwenyekiti wako akiwemo .rudi shule ukajifunze somo la kuongea uongo
Wewe hakuna somo la uongo wala hawafundishi jinsi ya kuwa muongo! Labda pale ofisi za Jembe na Nyundo mtaa wa Lumuba wanawafundisha somo hilo!
 
Mwigulu sasa tutakosa ushahidi kuhusu tukio baya kuhusu wewe maana uliyakoroga sana ndani ya chama igunga na ukaharibu mno kwa jimbo alilochukua Nassari ukawa umeimarisha makundi ndani ya CCM. Na sasa umeanza kuleta ujuaji wa kitoto kwa wapinzani na sisi tusiokuwa na chama. Kwa kifupi mimi sina chama ila nafuatilia kwa karibu sana mambo yanaendaje na najua tupo wengi. Sasa Mwigulu unakwaza wengi kaa utulie haya maisha yanapita bwana.
 
Kaka nakubali, mkazi ni kubwa CDM wasiingie huko wakaacha kusimamia rasilimali za nchi, huyu jamaa ni special ili wasihangaike na mambo ya maana, ni kuachana naye tu kwa sasa.
 
Chemba limeshaanza kufumuka tujihadhari kwa harufu na kipindupindu Mwigulu Lameck
 
tunashukuru sana lakini kumbuka boga hata likikomaa haliwezi kuwa nazi wape pole sana
 
KAZI YA MBWA NI KUBWEKA NA NJIWA HUPITA ANGANI AKITAWANYA MBEGU PAZURI HAPOUOTE=Ritz;4254054]Mkuu si ndio vizuri ili nyie Chadema mchukue nchi...ukiona adui yako anakupa ushauri achana nao, na ukiona adui yako anakipinga kitu chako basi usikiache...CCM msimuache Mwigulu ni mwiba kwa Chadema.[/QUOTE]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…