CHADEMA mpuuzeni Mwigulu Nchemba..!

Ukimwona kobe juu ya mti ujue kapandishwa...mwigulu 0 %%%%%%%%%%%%%%%
 
yeye mwenyewe mwigulu anavaa kiremba shingoni, wanaomjua kwa karibu wanasema nae ni wa david cameroon, we mwangalie vizuri bungeni huwa anavaa mtandio wa rangi ya bendera ya taifa shingoni!
 
​mwigulu ndani ya bunge ulitangaza kuwa chadema hawajaenda kumuona mbunge mwenzao joseph selasini leo kakuumbua kwa kuwataja hata mwenyekiti wako akiwemo .rudi shule ukajifunze somo la kuongea uongo
 
​mwigulu ndani ya bunge ulitangaza kuwa chadema hawajaenda kumuona mbunge mwenzao joseph selasini leo kakuumbua kwa kuwataja hata mwenyekiti wako akiwemo .rudi shule ukajifunze somo la kuongea uongo
Wewe hakuna somo la uongo wala hawafundishi jinsi ya kuwa muongo! Labda pale ofisi za Jembe na Nyundo mtaa wa Lumuba wanawafundisha somo hilo!
 
Mwigulu sasa tutakosa ushahidi kuhusu tukio baya kuhusu wewe maana uliyakoroga sana ndani ya chama igunga na ukaharibu mno kwa jimbo alilochukua Nassari ukawa umeimarisha makundi ndani ya CCM. Na sasa umeanza kuleta ujuaji wa kitoto kwa wapinzani na sisi tusiokuwa na chama. Kwa kifupi mimi sina chama ila nafuatilia kwa karibu sana mambo yanaendaje na najua tupo wengi. Sasa Mwigulu unakwaza wengi kaa utulie haya maisha yanapita bwana.
 
Kaka nakubali, mkazi ni kubwa CDM wasiingie huko wakaacha kusimamia rasilimali za nchi, huyu jamaa ni special ili wasihangaike na mambo ya maana, ni kuachana naye tu kwa sasa.
Kuna usemi unaosema hivi:

'Do not wrestle with a pig, you will both get dirty and the pig likes it'

Na;
'..Dont argue with a fool, he will bring you down to his level and beat you with experience..'

Kwa mwenye akili timamu anajua ajenda ya Nchemba ndani ya Bunge-kupotosha na kukipaka matope CHADEMA kwa hoja dhaifu,michango yake bungeni imeonesha hivyo na pia imeonesha jinsi gani ni huyu jamaa ni bongolala-matokeo ya mfumo uliomkuza wa CCM. Hana uwezo wa kujenga hoja makini kama Mnyika!

Hata hili la kutumiwa sms ya vitisho (kama ni kweli) ni fabricated na yeye mwenyewe. Hakuna mtu CHADEMA anaeza kutaka kumuua Nchemba! No motive! Nchemba ana nini hata watu makini ndani ya CHADEMA watake auawe? Hana lolote! Angekua mjenga hoja makini labda watu wangedhani ni kwa vile ni mwiba,ila kwa upuuzi ule?

C'mon, CHADEMA has more important matters to attend to! Nawaasa wana CHADEMA, this good-for-nothing Nchemba should not become an agenda in your matters!
 
Chemba limeshaanza kufumuka tujihadhari kwa harufu na kipindupindu Mwigulu Lameck
 
tunashukuru sana lakini kumbuka boga hata likikomaa haliwezi kuwa nazi wape pole sana
kuna usemi unaosema hivi:

'do not wrestle with a pig, you will both get dirty and the pig likes it'

na;
'..dont argue with a fool, he will bring you down to his level and beat you with experience..'

kwa mwenye akili timamu anajua ajenda ya nchemba ndani ya bunge-kupotosha na kukipaka matope chadema kwa hoja dhaifu,michango yake bungeni imeonesha hivyo na pia imeonesha jinsi gani ni huyu jamaa ni bongolala-matokeo ya mfumo uliomkuza wa ccm. Hana uwezo wa kujenga hoja makini kama mnyika!

Hata hili la kutumiwa sms ya vitisho (kama ni kweli) ni fabricated na yeye mwenyewe. Hakuna mtu chadema anaeza kutaka kumuua nchemba! No motive! Nchemba ana nini hata watu makini ndani ya chadema watake auawe? Hana lolote! Angekua mjenga hoja makini labda watu wangedhani ni kwa vile ni mwiba,ila kwa upuuzi ule?

C'mon, chadema has more important matters to attend to! Nawaasa wana chadema, this good-for-nothing nchemba should not become an agenda in your matters!
 
KAZI YA MBWA NI KUBWEKA NA NJIWA HUPITA ANGANI AKITAWANYA MBEGU PAZURI HAPOUOTE=Ritz;4254054]Mkuu si ndio vizuri ili nyie Chadema mchukue nchi...ukiona adui yako anakupa ushauri achana nao, na ukiona adui yako anakipinga kitu chako basi usikiache...CCM msimuache Mwigulu ni mwiba kwa Chadema.[/QUOTE]
 
15 Reactions
Reply
Back
Top Bottom