CHADEMA mpuuzeni Mwigulu Nchemba..!

Chadema wanatakiwa Kuachana na Nchemba and his nonsense,why give him such coverage he does't deserve? Mud wa kupambana na Nchemba ni October,2015 but now lets forget that he exist.

mkakati wa chadema kuua viongozi wa ccm wagundulika,wamtumia mbunge wa iramba meseji za matusi na vitisho.
 
Mwigulu ni jembe,anafaa kwa siasa za sasa.tumuunge mkono,ni kijana,mtu wa watu na anajua kujenga hoja.wanaomchukia ni wenye gubu
 
CDM,

Nendeni jimboni kwake,
waambieni wananchi,
ukweli wa uwezo wa Mwigulu,
na jinsi ashindwavyo,
kuwawakirisha ipasavyo.

si wameenda huko kina mnyika na waitara wakarudi na damu ya mwananchi?au unataka wakaue mwingine nini,
 

kama mmeweza kuua katibu wa vijana wa kata,mtashindwa nini kwa nchemba?acheni uroho wa madaraka.
 
Nchemba hapaswi Kupuuzwa kwa Kukaa Kimya

nadhani haitakuwa busara kumwacha bila kumwambia kwamba taarifa ya kutumiwa sms za kumtishia maisha anatakiwa apeleke polisi na kuzipeleka bungeni hazitamsaidia chochote!
 
chadema hawawezi kutaka kumuua mchemba kwani yeye ni sehemu ya mtaji wa chadema kuingia ikulu madudu anayofanya ndio yanaipandisha chati cdm
 
CCM watapata shida sana na siasa za Nchemba. Atakipeleka hicho chama kaburini.

Mkuu si ndio vizuri ili nyie Chadema mchukue nchi...ukiona adui yako anakupa ushauri achana nao, na ukiona adui yako anakipinga kitu chako basi usikiache...CCM msimuache Mwigulu ni mwiba kwa Chadema.
 
Hata hili la kutumiwa sms ya vitisho (kama ni kweli) ni fabricated na yeye mwenyewe.

Hivi unapotaka kumuua mtu kuna umuhimu wa kumtaarifu? angeniambia amepata taarifa za ndani ya chadema kwamba wanataka kumuua ningemuelewa ila hii ishu ya sms amekuwa kituko, Ukitaka kumuua mtu hakuna haja ya kumtaarifu ni suala la kumteka na kumfanyizia kwa kificho na kumtupa Mabwepande au kujifanya umemchanganya na Majambazi, baada ya hapo unaweza kujikuta hata wewe muhusika upo kwenye tume ya uchunguzi wa hayo mauaji
 

Spot on comrade......
 
Mwigulu nchemba ana teswa na laana!
 
CDM,

Nendeni jimboni kwake,
waambieni wananchi,
ukweli wa uwezo wa Mwigulu,
na jinsi ashindwavyo,
kuwawakirisha ipasavyo.

I can bet my life, CDM wakienda huko watazomewa na wataishia kuuwa watu kwa kuwa piga mawe.
 
Mkuu si ndio vizuri ili nyie Chadema mchukue nchi...ukiona adui yako anakupa ushauri achana nao, na ukiona adui yako anakipinga kitu chako basi usikiache...CCM msimuache Mwigulu ni mwiba kwa Chadema.

Kuchukua nchi si hoja sana Ritz, hoja watakuwa wamebakia raia wangapi wakati utawala unabadilika kama kasi ya kuuwa ndio hii? Kenya walitumia mbinu hizi anazotumia Nchemba, kuwanunulia vijana pombe na bangi. Ni vigumu kuamini Tanzania tunaweza kurudia makosa (tulidhani makosa) kama hayo na mbaya zaidi nguvu ya vijana inatumiwa kuangamiza nchi. CCM imekosa wazee wanaona hii hatari inayonyemelea taifa?
 

mkuu hatari iliyo kubwa kwa ccm ni yenyewe kufa, kwa hiyo nayo haioni hatari kuua. Mfa maji hutafuta chochote kimuokoe, akimkuta muokoaji anamkaba akidhani anajiokoa na wote wawili wanazama!!!! UMAKINI UONGEZEKE TAFADHALI.
 
Mbunge Mwigulu NCHEMBA akiwa mjini Sumbawanga alisema kuwa sera za Chama cha Demokrasia na Maendeleo ni za kukubaliana na ushoga na hata kauli mbiu yao ya sasa ya MOVEMENT FOR CHANGE ni mabadiliko toka hali ya sasa ya jinsi ya kiume kuoa ya kike na kukubaliana na ushoga.

Hivi kauli za namna hii ni za mtu kabisa ambaye ni kiongozi au ni za muuza mitumba aliyevuta bagi? Ametoa kauli hii akiwepo katibu mwenezi Nape NNauye na viongozi wengine wa CCM na hakuna aliyekanusha.

Kauli ,za namna hii zinzashiria nini nje ya muuonekano wa ccm?
 
Achana nao wasikuumize kichwa. Wamekwisha maana mimi naona kilometa nyingi kisiasa. CDM has a bright future!
 

Isikutishe wananchi si wajinga kama wanafikiri na propaganda uchwara kama hizo.
 

Kipi kibaya sasa alicho kisema hapo ili hali CDM wao wenyewe wanajigamba kuwa ni marafiki wa chama cha Camerun? wanajiharibia wao wenyewe na mahusiano waliyo yaanzisha na sasa yanawagharimu. Jirekebisheni watanzania wawaamini kuwa kweli hamtaki kuleta ushoga TZ

 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…