CHADEMA mpeni nafasi Binamu Bananga awe Msemaji wa Chama

Kiukweli anajitahidi lakini lazima alinganishwe na wengine.

Of course hizi ni nyakati muhimu za kuonyesha vipaji na uwezo.
 
Unamuongelea Bananga Yule rafiki ake Mrisho Gambo na Msando wanaoshinda wanakunywa wote pale The Don sio?
 
Huyo upeo wake ni Mdogo sana kashindwa kujua kuwa Samia alikosea kusema wapo wapinzani ambao tayari wamehukumiwa sembuse propaganda zingine?
 
Unamuongelea Bananga Yule rafiki ake Mrisho Gambo na Msando wanaoshinda wanakunywa wote pale The Don sio?
Ndiyo huyo Huyo mlevi hana anachokijua ni mtu asiyefaa chadema kwani ni mnafiki kupindukia
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…