CHADEMA mpeni nafasi Binamu Bananga awe Msemaji wa Chama

Kiukweli anajitahidi lakini lazima alinganishwe na wengine.

Of course hizi ni nyakati muhimu za kuonyesha vipaji na uwezo.
 
Unamuongelea Bananga Yule rafiki ake Mrisho Gambo na Msando wanaoshinda wanakunywa wote pale The Don sio?
 
Wakuu nawasalimu,

Naushauri uongozi wa CHADEMA wampe kazi ya usemaji wa chama taifa ndugu Binamu Bananga, eneo hili ni muhimu kujibu propaganda na kutengeneza propaganda za kisiasa. Kitengo hiki CHADEMA hakipo sawa kwa maoni yangu, naona Bananga ni mtu sahihi.
Huyo upeo wake ni Mdogo sana kashindwa kujua kuwa Samia alikosea kusema wapo wapinzani ambao tayari wamehukumiwa sembuse propaganda zingine?
 
Unamuongelea Bananga Yule rafiki ake Mrisho Gambo na Msando wanaoshinda wanakunywa wote pale The Don sio?
Ndiyo huyo Huyo mlevi hana anachokijua ni mtu asiyefaa chadema kwani ni mnafiki kupindukia
 
4 Reactions
Reply
Back
Top Bottom