CHADEMA Monduli yafunika

CHADEMA Monduli yafunika

Licha chama cha Mapinduzi kuwa na timu nzima ya uongozi wa mkoa wa Arusha akiwemo yule muuaji Mary Chitanda wamekosa watu kabisa kwenye kampeni za mwisho Engototo wilaya ya Monduli wakati mkutano wa chadema ulikuwa na watu wengi sana ukiwa chini ya kamanda Kombe, Doita na Maganga(Mgombea)...lakini katika hali ya kushangaza kabisa wamejitapa watatangazwa washindi kesho....Mungu ibariki CHADEMA, Mungu ibariki Tanzania, Mungu wazoofishe mafisadi...

Wakuu hii speed ya CDM is very encouraging....well done CDM na wanaharakati wote!!
 
CHADEMA √√√√√√√√√√√√
Ushindi nchi nzima 75%
 
Licha chama cha Mapinduzi kuwa na timu nzima ya uongozi wa mkoa wa Arusha akiwemo yule muuaji Mary Chitanda wamekosa watu kabisa kwenye kampeni za mwisho Engototo wilaya ya Monduli wakati mkutano wa chadema ulikuwa na watu wengi sana ukiwa chini ya kamanda Kombe, Doita na Maganga(Mgombea)...lakini katika hali ya kushangaza kabisa wamejitapa watatangazwa washindi kesho....Mungu ibariki CHADEMA, Mungu ibariki Tanzania, Mungu wazoofishe mafisadi...

Chadema watashinda na Lowasa atahamia Chadema tayari kwa 2015 kugombea urais
 
Wajameni! Kuwepo mbali na mazingira ya mji ni mbaya sometimes! Mwenye hbr ya huko Monduli a2juze wajameni. Mapapa hatuwataki hata kuwasikia ktk ulimwengu wa kuwadanganya Watanzania kwa miaka 50 ya Uhuru.
 
Mzee Lowassa yupo nigeria kwenye ibada.... watu wanakamuwa, anawaonyesha ccm kwamba awakubaliki kokote bila yeye!!!
 
Ulimaanisha tumeshinda Monduli ama unataka kujua kama tutashinda Monduli
 
Licha chama cha Mapinduzi kuwa na timu nzima ya uongozi wa mkoa wa Arusha akiwemo yule muuaji Mary Chitanda wamekosa watu kabisa kwenye kampeni za mwisho Engototo wilaya ya Monduli wakati mkutano wa chadema ulikuwa na watu wengi sana ukiwa chini ya kamanda Kombe, Doita na Maganga(Mgombea)...lakini katika hali ya kushangaza kabisa wamejitapa watatangazwa washindi kesho....Mungu ibariki CHADEMA, Mungu ibariki Tanzania, Mungu wazoofishe mafisadi...

Mkuu tuambie matokeo ya huo uchaguzi wa udiwani
 
Chadema watashinda na Lowasa atahamia Chadema tayari kwa 2015 kugombea urais

Noma dada, umeongea vizuri ila hilo la lowassa kugombea upresidaa kupitia cdm ,ndo umeharibu kabisaaaaaaaaaa!
 
Nina tetesi toka kwa mshikaji wa karibu nami anadai ya kwa EL ametembeza mshiko wa kufa m2 kuhamasisha wa2 wachague mapapa. Kweli nimesikitika vibaya ila ngoja 2subirie kama wa2 wameshindwa kusoma alama za nyakati.
 
Back
Top Bottom