hakika kama mwendo wa CHADEMA utaendelea tukazidi kuungana zaidi nchi hii siku si nyingi itakuwa chini ya CHADEMA.....This is good news for everyone who loves this country!! Hizo ni salamu tosha kuwa TUMECHOSHWA NA MFUMO WANAOTUMIA CCM NA SERA ZAO.
Licha chama cha Mapinduzi kuwa na timu nzima ya uongozi wa mkoa wa Arusha akiwemo yule muuaji Mary Chitanda wamekosa watu kabisa kwenye kampeni za mwisho Engototo wilaya ya Monduli wakati mkutano wa chadema ulikuwa na watu wengi sana ukiwa chini ya kamanda Kombe, Doita na Maganga(Mgombea)...lakini katika hali ya kushangaza kabisa wamejitapa watatangazwa washindi kesho....Mungu ibariki CHADEMA, Mungu ibariki Tanzania, Mungu wazoofishe mafisadi...
nina rafiki yangu ni mwanajeshi monduli akaniambia ameshangaa watu wa monduli walivyobadilika wanaishabikia cdm live
Naona habari kama hizi zinazidi kumpa Nape wakati mgumu. Kazi inazidi kuwa nzito.
Lowasa naye anapiga kampeni?