Petro E. Mselewa
JF-Expert Member
- Dec 27, 2012
- 10,280
- 25,859
Ni swali la kinadharia lakini lenye lengo la kupata hatua na taratibu ambazo CHADEMA/UKAWA mngezifuata katika kulinda rasilimali zetu za Tanzania kama madini, wanyama na kadhalika. Nini hasa kingefanywa nanyi na kwa namna gani katika kufikia dhima ya kulinda maliasili/utajiri wetu kama nchi?
Maswali ya nyongeza, Rais Magufuli na Serikali yake wamepatia au wamekosea wapi hadi sasa katika kulinda maliasili za Tanzania? Nini kifanyike katika kuboresha au kurekebisha kilichofanyika hadi sasa katika kulinda rasilimali zetu kama Taifa?
Nakala:
Tumaini Makene