CHADEMA 'mnazingua'

Petro si wa kiwanho hicho. Ukifuatilia hoja zake huwa ni hovyo na unreasoned
 
What's a highly reasoned argument?

What's the metric to it?

And who decides that metric to be the metric and why?

A lawyer is a philosopher? Per who?
Maswali ya namna hii ni ya mtu wa kushindwa kujibu hoja. Tunayajua sana , unamwambia say mwanamke yule ni mrembo, kwa vile hataki kushindwa anajibu eti whose standard are the standards? Unamkumbusha kuwa sawa, though beauty is not a concept, but a beautiful thing is always appreciated by many, ndicho kipimo. Sasa hayo mambo ya metric walikudanganya, not always applicable. Kuna tacit knowledge kama kwenye makocha wa mpira
 

Ungekuwa na majibu ungejibu.

Or it could be they are above and beyond your pay grade and pooh-pooing them is a cop-out method.

Which is which?
 
Chadema wanafanyakazi kulingana na utawala uliyopo, huu utawala siyo wa kujengeaa hoja ni wa kusoma matukio na siyo kutumia akili nyingi.
Sijawahi kuona ccm nyepesi kama hii , bila polisi ccm hii haiwezi kusimama hata kwa nusu saa ! hata hivyo hawa inahitajika mikutano ya siku 7 tu kuwang'oa , wala si masiku mengi , ni chopa 3 tu kwisha kazi !
 
Petro E. Mselewa unazingua,, utawala wa kujengea hoja uko wapi?
 
Petro E. Mselewa, pole sana...naona na wewe wamekufikia na ndio maana tunamlilia Mh. Tundu Lissu, watu wenye msimamo kama wake na wasio na bei wanatokea kwa kudra ya Mwenyezi Mungu. Kumbuka pamoja na Chadema kupewa mamlaka na wananchi kulisimamia na kuliongoza jiji la Dar es Salaam na wakazi wake, mamlaka hayo yameporwa.

Viongozi wake wa kuchaguliwa hawana sauti katika uongozi wa jiji na kibaya zaidi hata vyanzo vya mapato yako mikononi mwa viongozi wa kuteuliwa. Kuanzia sasa nitakusoma kwa tahadhari kubwa, kwani naona hata siasa unayoijua ni ya kukariri kwani haiendani na hali halisi.

For heaven's sake try to go with the times, don't live in the past...wengine ni wazee lakini tunajikongoja hivyo hivyo, wake up son. Remember, no taxation without representation...does that ring a bell?
 
Inaweza kuwa wala sio kufikiwa, ni uwezo wake tu wa kuelewa mambo!
 
Unafahamu kwa sasa wananchi wanahitaji kuambiwa nini katika mazingira ambayo taifa limo, na katika mazingira ambayo ufanyaji siasa kwa upande wa upinzani ulivyo? Nadhani wewe na huyo "learned brother" mwenzako hamuelewi wala hamuwezi kuitofautisha leo na jana. Kama Chadema wasingekuwa na hoja zinazogusa wananchi Lissu asingemiminiwa risasi 38, wala akina Katambi wasingehamishia jeshi zima la polisi kwenye uwanja wa Sinza jana! Kalaghabaho...
 

Mkuu, ninavyojua, vyama vya siasa vipo kutuongoza ili tuweke sawa mustakabali wetu nchi yetu kijamii na kimaendeleo. Wote tuna wajibu wa kufanya kazi hiyo tukiongozwa na wenzetu wenye vipaji vya uongozi walioko kwenye vyama hivyo. Hatuna ulazima wa kung'ang'ania chama chochote. Kama mtu utaona chama kama CHADEMA "kinazingua" hakifanyi unavyotarajia ni kiasi cha kuachana nacho na kujiunga na wale unaoona wanaokufanyia kazi nzuri.

Na kama kweli unaona CHADEMA wanaweza kufanya kazi nzuri ya kisiasa enzi hizi bila kukwaruzana na vyombo vya dola - kwa kupiga kimyakimya, basi ni fikra ya ajabu sana. CHADEMA haikupata umaarufu kwa "kupiga kimyakimya". Lakini ni mtu hamnazo tu ndiye anaweza kuamini kuwa siasa za enzi za Dr. Slaa Mwembe Yanga zinawezekana tena leo hii.

Kwa mawazo ya aina hiyo, ushauri bora hasa unaoweza kuwapa CHADEMA hapa ni kuwaasa wafunge virago vyao na kutoweka kabisa kwenye uwanja wa siasa mapema kabisa. Kwani hizi ni enzi za "hapa kazi tu", "maendeleo hayana vyama", "mfumo wa vyama vingi hauna nafasi tena Tanzania - unatucheleweshea maendeleo", That's the hard reality they have to grasp - the earlier the better before more limbs are broken! What happended to Lissu is just a portend of what's on the way!
 
Lengeni kuongeza Wabunge na Madiwani mwaka 2020 badala ya kukesha na vijembe twitter,youtube na facebook. Acheni kuyumbayumba na kudaka hoja zisizo na msingi. Mnazingua.
Chadema kilijengeka kwenye misingi ghilba,chuki na uongo,kwa sasa nafasi ni finyu mno kuwezesha kutengeneza uongo,wamebaki mitandaoni tu kana kwamba huko ndiko kwenye wapiga kura
 
Point of corrections Mr speaker sir, "All foxes must be first chased away then hens might be warns against wondering into the bush" by Chinuo Achebe. Correct quote
 
Jamaa si kapiga stop, hataki siasa kisa atashindwa kuongoza kama CDM wakiwa majukwaani.
 
Point of corrections Mr speaker sir, "All foxes must be first chased away then hens might be warns against wondering into the bush" by Chinuo Achebe. Correct quote
Ok, nitackeki, nimeisoma miaka ya 70! asante.. ingawa umekosea kidogo grammar! haina shida
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…