Petro, huwa nakushangaa sometimes! Wewe ni lawyer, inabidi uwe na wider vision kuliko sisi, utupanue! Platform ya kungelea iko wapi? Kila mmoja anakamatwa na polisi, kesi, rumende and the like! Nadhani ungeliongelea namna ya kupata uwanja wa kueleza sera ni upi katika mazingira ya sasa. Kinachofanywa sasa ni kutafuta wapi pa kuongelea. Chase the hyena first , then come to warn the hen about wandering into the forest!..... (chinua achebe) ...kitu kama hicho ingawa not that precise na context ya Chinua. Kama hyena anakula watoto wa kuku, lazima kazi kubwa ni kumfukuza hyena kabla ya kuanza sasa kuhubiri maendeleo ya kuwaokoa watoto. Let us discuss Learned Brother
Asante Mkuu kwa mchango wako mujarabu...another idiotic talk by a fake lawyer...hawa chadema wana hoja nzito ...Na Kati ya hizo hoja ndio zimelekea hon. Lissu, ambaye pia ni boss wako huko TLS kama we kweli ni member, kupigwa risasi ili kuuliwa.
....Kama we huoni kuwa chadema wanakosa jukwaa la kutolea hoja zao basi una shida kwenye akili yako mbovu...,Na wala hufai kujiita lawyer...hizi kiki unazotafta kila kukicha kwa watawala hutozipata kwa unafiki wako....yani chadema watoeje hoja zao wakati kila kukicha wanahaha huko kwenye mahakama na makesi yasiyoisha!!!ama hili nalo hulioni??...ama huoni kinachoendelea bungeni dhidi ya wapinzani???...wataftie jukwaa chadema huone kama hawana hoja....idiot...
Kama chama kikuu cha upinzani nchini, wapenda demokrasia tunawatetea na kuwategemea. Kama chama kikuu cha upinzani nchini,tunatarajia mjipange na kuwinda ushindi mwaka 2020. Lakini,mnazingua.
Kwasasa hamuainishi hoja mnazozisimamia kama ilivyokuwa wakati ule wa kupinga ufisadi. Kwasasa mmekuwa mkiibuka na hoja zinazotokana na yanayosemwa. Yaani,hoja za kudandia. Mnazingua.
Lengeni kuongeza Wabunge na Madiwani mwaka 2020 badala ya kukesha na vijembe twitter,youtube na facebook. Acheni kuyumbayumba na kudaka hoja zisizo na msingi. Mnazingua.
Jipambanueni kwa hoja. Jengeni chama chenu na kuwatumikia wananchi waliowaamini majimboni,katani,vijijini na vitongojini. Hakuna faida ya kubishana kila kukicha na vyombo vya dola na Serikali. Pigeni kimyakimya. Acheni kuzingua!
Yes ni lawyer, Learned Brother!huyu ni lawyer? aiseeeeeeeeeeeeeeeee.
Petro, huwa nakushangaa sometimes! Wewe ni lawyer, inabidi uwe na wider vision kuliko sisi, utupanue! Platform ya kungelea iko wapi? Kila mmoja anakamatwa na polisi, kesi, rumende and the like! Nadhani ungeliongelea namna ya kupata uwanja wa kueleza sera ni upi katika mazingira ya sasa. Kinachofanywa sasa ni kutafuta wapi pa kuongelea. Chase the hyena first , then come to warn the hen about wandering into the forest!..... (chinua achebe) ...kitu kama hicho ingawa not that precise na context ya Chinua. Kama hyena anakula watoto wa kuku, lazima kazi kubwa ni kumfukuza hyena kabla ya kuanza sasa kuhubiri maendeleo ya kuwaokoa watoto. Let us discuss Learned Brother
Sidhani kama anapata wateja huyu!Mwanasheria uchwara katika ubora wake. Hivi wewe hujui kama uchaguzi hauko uhuru na wala si wa haki!? Unadhani ni kwanini Serikali dhalimu haitaki katiba mpya na Tume huru ya uchaguzi?
Hoja zipi wewe ambazo huziamini? Wapi ungejua kwamba zero brain kachota trillions hazina bila idhini ya Bunge? Wapi ungejua kwamba ndege imeshikwa kutokana na deni la $38.7 million? Kama siyo kupitia Chadema?
Huku kukamatwa kamatwa kwa Wabunge wa Chadema na sasa kuwindwa maisha yao kwa mtutu wa bunduki.
Uanasheria wako unatia shaka kwa kuandika pumba bila kutilia hali halisi ya kisiasa nchini pamoja na hayo bado Chadema inaibua issues mbali mbali za kifisadi ndani ya Serikali hii dhalimu
2015 ndo ilikuwa anguko rasmi la chadema, na mageuzi makubwa ya CCM. wakabadilishana kwa chama tawala kuanza kusimamia agenda ambazo zilikuwa zikiimbwa na vyama vya upinzani, na vyama vya upinzani vikazikana agenda zilzofikisha hapo vilipo. Watu huwa wanakataa lakini ukweli uliowazi demokrasia inayoliliwa na vyama hivi inapaswa kuanzia katika vyama vyao kwanza, laiti kama ubabe na mabavu yasingetumika ninaamini leo hii CUF ingekuwa imara, Chadema ingekuwa imara
KAMA 2015 ILIKUWA NDIO ANGUKO LAO, MBONA MNATAKA KUWAPUNGUZA KWA RISASI HUKU MKIWA MMEWAZUIA KUONGEA NA WANANCHI2015 ndo ilikuwa anguko rasmi la chadema, na mageuzi makubwa ya CCM. wakabadilishana kwa chama tawala kuanza kusimamia agenda ambazo zilikuwa zikiimbwa na vyama vya upinzani, na vyama vya upinzani vikazikana agenda zilzofikisha hapo vilipo. Watu huwa wanakataa lakini ukweli uliowazi demokrasia inayoliliwa na vyama hivi inapaswa kuanzia katika vyama vyao kwanza, laiti kama ubabe na mabavu yasingetumika ninaamini leo hii CUF ingekuwa imara, Chadema ingekuwa imara
Petro, utakosa wateja, nina mashaka na uwakili wako! Training yako etc...... take time to read and think before posting!Asante Mkuu kwa mchango wako mujarabu.
aiseee.... huu uandishi tu mimi hoi. lugha hubadilika kuendana na muktadha kwa huku tulitegemea watu wenye kujielewa watumie lugha stahiki. sasa hayo maneno mengine unapoweka hata kama ulikuwa umepata sehemu point sasa unataka nawe upost inakuwa una haribu katika english tunaita diction. yaani choice of words. it is very important kuzingatia hilo katika uwasilishaji wa jambo lolote lile isipokuwa kama ume lenga watu wa aina yako..
One expects a highly reasoned argument from a lawyer since a lawyer is a philosopher!Kwani mtu kuwa lawyer anapaswa aweje?
Anapaswa awe na mawazo na mitazamo kama yenu kwa asilimia 100?
Watu wa ajabu sana nyie.
Wateja wa nini? Sema sitakuwa na marafiki walio tayari kusikia ukweli. Hatuna muda wa kupindisha mambo,CHADEMA inazinguaPetro, utakosa wateja, nina mashaka na uwakili wako! Training yako etc...... take time to read and think before posting!