Wanaohamia CHADEMA wananunuliwa na Mateso ya wananchi, wanaona ni heri wakateseke pamoja na wananchi,wadai haki pamoja na wananchi, ushindi utakaopatikana pamoja na matunda ya ushindi uwe ni wa manufaa kwa wananchi wote bila kubagua kanda waliyotoka viongozi.