CHADEMA mnataka kutuambia waliokuja huko mmewanunua?

Gangongine

JF-Expert Member
Dec 31, 2015
3,854
1,776
Jana nilimsikia Mwandishi mmoja wa Habari ambaye pia ni Mbunge wa Jimbo moja la Dar es Salaam kuwa yeye hawezi kununuliwa na CCM kwa kuwa anajua thamani yake. Alisema hivyo baada ya uvumi kuwa anajiandaa kuhamia CCM.

Nimetafakari sana manaeno yake nikajiuliza swali la "kijinga" kuwa Nyalandu aliyehamia CHADEMA hivi majuzi naye amenunuliwa? Au wanaonunuliwa ni wale wanaohamia CCM pekee? Ni busara CHADEMA na UKIWA kwa ujumla wakatafakari kwa nini kuna wimbi la watu kuhamia CCM kipindi hiki. Pia wajiulize kama Nyalandu aliachia Ubunge na Marupurupu yake akahamia CHADEMA ina maana amepewa pesa? Nasema hivyo kwa kuwa Mtulia kaachia Ubunge sawa na alivyofanya Nyalandu.

Acheni fikra potofu za kuwaona wanaokwenda CCM wamenunuliwa ila wanaokwenda CHADEMA na UKIWA ni Wazalendo. Muda si mrefu tutawaona Viongozi wengi wanakuja CCM kwa hiyari na utashi wao na siyo kwamba wamenunuliwa. Muhimu ni CHADEMA na UKIWA kujitafakari WAMEKOSEA WAPI?
 
Una hela ya kumpa nyalandu? Ushahidi wa ccm kutoa hela mnyeti alikubali na nyie pelelezeni na takukuru yenu wakina nyalandu kama walipewa mabilion wazikimbie posho za ubunge.
 
Nasikia mnawapigia watu simu kuwataka wataje dau lao, mbona mimi hamnipigii?
Ccm acheni ubaguzi nipigieni jamani!!
 
Jana nilimsikia Mwandishi mmoja wa Habari ambaye pia ni Mbunge wa Jimbo moja la Dar es Salaam kuwa yeye hawezi kununuliwa na CCM kwa kuwa anajua thamani yake. Alisema hivyo baada ya uvumi kuwa anajiandaa kuhamia CCM.

Nimetafakari sana manaeno yake nikajiuliza swali la "kijinga" kuwa Nyalandu aliyehamia CHADEMA hivi majuzi naye amenunuliwa? Au wanaonunuliwa ni wale wanaohamia CCM pekee? Ni busara CHADEMA na UKIWA kwa ujumla wakatafakari kwa nini kuna wimbi la watu kuhamia CCM kipindi hiki. Pia wajiulize kama Nyalandu aliachia Ubunge na Marupurupu yake akahamia CHADEMA ina maana amepewa pesa? Nasema hivyo kwa kuwa Mtulia kaachia Ubunge sawa na alivyofanya Nyalandu.

Acheni fikra potofu za kuwaona wanaokwenda CCM wamenunuliwa ila wanaokwenda CHADEMA na UKIWA ni Wazalendo. Muda si mrefu tutawaona Viongozi wengi wanakuja CCM kwa hiyari na utashi wao na siyo kwamba wamenunuliwa. Muhimu ni CHADEMA na UKIWA kujitafakari WAMEKOSEA WAPI?
Hivyo vya kutafakari bwana sisi hatuwezi. Tunalo jawabu moja tu kwa topiki zote,
1: mbili.
2: mbili
3: mbili
4: mbili
5: mbili
.
Na ole wako utukoseshe,utakuwa na double standard.
 
Jana nilimsikia Mwandishi mmoja wa Habari ambaye pia ni Mbunge wa Jimbo moja la Dar es Salaam kuwa yeye hawezi kununuliwa na CCM kwa kuwa anajua thamani yake. Alisema hivyo baada ya uvumi kuwa anajiandaa kuhamia CCM.

Nimetafakari sana manaeno yake nikajiuliza swali la "kijinga" kuwa Nyalandu aliyehamia CHADEMA hivi majuzi naye amenunuliwa? Au wanaonunuliwa ni wale wanaohamia CCM pekee? Ni busara CHADEMA na UKIWA kwa ujumla wakatafakari kwa nini kuna wimbi la watu kuhamia CCM kipindi hiki. Pia wajiulize kama Nyalandu aliachia Ubunge na Marupurupu yake akahamia CHADEMA ina maana amepewa pesa? Nasema hivyo kwa kuwa Mtulia kaachia Ubunge sawa na alivyofanya Nyalandu.

Acheni fikra potofu za kuwaona wanaokwenda CCM wamenunuliwa ila wanaokwenda CHADEMA na UKIWA ni Wazalendo. Muda si mrefu tutawaona Viongozi wengi wanakuja CCM kwa hiyari na utashi wao na siyo kwamba wamenunuliwa. Muhimu ni CHADEMA na UKIWA kujitafakari WAMEKOSEA WAPI?
tumewanunua kwa instalment
 
Wanaohamia CHADEMA wananunuliwa na Mateso ya wananchi, wanaona ni heri wakateseke pamoja na wananchi,wadai haki pamoja na wananchi, ushindi utakaopatikana pamoja na matunda ya ushindi uwe ni wa manufaa kwa wananchi wote bila kubagua kanda waliyotoka viongozi.
 
WEWE NI MPUMBAVU SANA. AKINA SUMAYE, KINGUNGE, LOWASSA WANAKERWA LEO NA MATESO YA WANACHI WAKATI NI SEHEMU YA WASABABISHAJI KAMA KWELI KUNA MATESO YA WANANCHI? WAO WALIKWENDA KWA TAMAA ZA VYEO WALIPODANGANYWA KUWA BWANA FULANI ATAKUWA RAIS JAMBO AMBALO HALIKUTOKEA NA HALITATOKEA KAMWE. WENGINE WANAOKWENDA CHADEMA WANA TUHUMA ZAO ZIKO JIKONI
 
Nasikia mnawapigia watu simu kuwataka wataje dau lao, mbona mimi hamnipigii?
Ccm acheni ubaguzi nipigieni jamani!!
HAKUNA PESA YA KUMWAGA KIJINGA NAMNA HIYO. MWENYE MACHO HAAMBIWI ONA. CHADEMA NA UKIWA IMESHAKUFA. SUBIRINI KUGAWANA MADENI TU
 
Kama chadema imekufa mbona mnahangaika na kununua watu ? Ninavyojua ccm imekufa imebaki polis tu.
 
1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom