Hivi mpaka Leo wako wajinga wanaodanganywa kuwa Kuna mabeberu, kweli elimu yetu tunayopewa haitoshi kabisa. Siku hizi hata China wanaitegemea Ulaya na Marekani. Ndiyo maana Trump anamyumbisha mchina anapopandisha ushuru wa bidhaa kutoka China.Chadema wanapigia chapuo uraia pacha ili wakatuuze kwa Mabeberu