CHADEMA mnapanda upepo, mtavuna tufani

sixgates

JF-Expert Member
Mar 19, 2011
3,979
1,662
Siku za karibuni tumeshuhudia ushindani, kuchachafiana katika hatua ya kura za maoni katika ngazi ya Ubunge na Udiwani kupitia CCM. Tanzania nzima imekuwa ikifuatilia mchakato huu kupitia vyombo vya habari na mitandaoni hadi sasa “Wajumbe” wamejizolea umaarufu kutokana na mchakato mzima. Binafsi nimegundua mapungufu kadhaa katika mchakato wa kura za maoni kwa CCM, lakini ni details ndogo na zina nafasi ya kurekebishwa kwa sababu bado mchakato unaendelea.

Kwa upande wa CHADEMA, hata tukiuliza hapa hivi kuna aliejua mchakato ulivyoenda, haki tutapata wale ambao ni wanachadema ambao nao walikuwa na interest, ila kura za maoni za CCM hadi mtoto mdogo anajua kwa sababu kwanza umekuwa wa wazi sana, pili kupitia ofisi ya mwenezi wamewazidi maarifa Chadema kwa kutengeneza umaarufu na momentum kwa zoezi lao na kwa hakika wamejinadi hata kabla ya octoba wakati chadema wanajifungia hawaoni umuhimu wa kuwekeza kwenye (publicity). Wanatumia muda mwingi kutengeneza matukio ili kupata free public stunt.

CHADEMA mmekubali kujifungia na kuzuia haki ya watanzania kuona namna mchakato wa kura za maoni katika nafasi za ubunge na udiwani ndani ya Chadema zinaendaje.. hakuna uwazi na ni hatari, mmepanda upepo mtavuna tufani. Ujanja ujanja uliotokea kwa Meya Boniface Jacob kuwa mgombea ubunge hapo Ubungo, Chadema imepasuka, hatashinda. Viongozi wa chadema wekeni miguu chini, sikilizeni wanachama. Haiwezekani chama kichanga kama cha ACT wazalendo kimefanikiwa kutengeneza mchakato wa kura za maoni katika chama chao ziwe wazi nyie wenye miongo zaidi ya miwili mnaogopa kuuweka mchakato wazi. Ni ushauri, mwenye masikio na asikie.
 
Mchakato wa chadema ulikuwa wazi Ila vyombo vya habari haviruhusiwi kutangaza au kuonesha na zaidi gazeti linalo tumiwa na chama limefungiwa,ni tofauti na ccm wapo huru kufanya chochote,ni Jambo la ajabu hadi polisi wanataka chadema iwape majina ya watia nia na kura walizo pata,ni aibu kubwa Sana na ni ukandamizaji wa kiwango Cha juu Sana.
 
Hyu naye sijui kaibuka wapi, naona spidi si ya kawaida. over 100 threads a day! na zote ni CHADEMA. Shetani mkubwa kuliko wote! Salary Slip
 
Chadema walikuwa serious na mambo yao mwisho 2015, baada ya hapo limegeuka genge la masela tu wasijua wanataka nini katika ulimwengu wa siasa Tanzania
 
Siku za karibuni tumeshuhudia ushindani, kuchachafiana katika hatua ya kura za maoni katika ngazi ya Ubunge na Udiwani kupitia CCM. Tanzania nzima imekuwa ikifuatilia mchakato huu kupitia vyombo vya habari na mitandaoni hadi sasa “Wajumbe” wamejizolea umaarufu kutokana na mchakato mzima. Binafsi nimegundua mapungufu kadhaa katika mchakato wa kura za maoni kwa CCM, lakini ni details ndogo na zina nafasi ya kurekebishwa kwa sababu bado mchakato unaendelea.

Kwa upande wa CHADEMA, hata tukiuliza hapa hivi kuna aliejua mchakato ulivyoenda, haki tutapata wale ambao ni wanachadema ambao nao walikuwa na interest, ila kura za maoni za CCM hadi mtoto mdogo anajua kwa sababu kwanza umekuwa wa wazi sana, pili kupitia ofisi ya mwenezi wamewazidi maarifa Chadema kwa kutengeneza umaarufu na momentum kwa zoezi lao na kwa hakika wamejinadi hata kabla ya octoba wakati chadema wanajifungia hawaoni umuhimu wa kuwekeza kwenye (publicity). Wanatumia muda mwingi kutengeneza matukio ili kupata free public stunt.

CHADEMA mmekubali kujifungia na kuzuia haki ya watanzania kuona namna mchakato wa kura za maoni katika nafasi za ubunge na udiwani ndani ya Chadema zinaendaje.. hakuna uwazi na ni hatari, mmepanda upepo mtavuna tufani. Ujanja ujanja uliotokea kwa Meya Boniface Jacob kuwa mgombea ubunge hapo Ubungo, Chadema imepasuka, hatashinda. Viongozi wa chadema wekeni miguu chini, sikilizeni wanachama. Haiwezekani chama kichanga kama cha ACT wazalendo kimefanikiwa kutengeneza mchakato wa kura za maoni katika chama chao ziwe wazi nyie wenye miongo zaidi ya miwili mnaogopa kuuweka mchakato wazi. Ni ushauri, mwenye masikio na asikie.
Tbc ili wabeba
 
Ile ya Ubungo ni aibu kweupe kabisa. Hii janja janja hawana dola! Wakipewa dola itakuwa bora CCM...
 
Wewe sijui unaishi nchi gani, hujui kwamba habari za vyama vya upinzani hazitangazwi tangu 2015? Mambo mengi tu hayatangazwi hata ujio wa Lissu hakukuwa na ruhusa ya kutangazwa na mambo mengine tele. Vyombo vya habari vipo kwenye hofu kubwa kwani kosi kidogo unafungiwa miaka kadhaa. Tumeacha demokrasia yetu mahali fulani 2015 tuifate tena 2020.
 
Nilisikoa rais kipenzi cha watz amerejea

Sijui kajifungia sehem anasuka nondo??
 
Hivi si huwa kila siku mnatuaminisha kuwa chadem imeshakufa, sasa hiyo inayoiulizia ni chadema ya wapi tena?
 
Mchakato wa chadema ulikuwa wazi Ila vyombo vya habari haviruhusiwi kutangaza au kuonesha na zaidi gazeti linalo tumiwa na chama limefungiwa,ni tofauti na ccm wapo huru kufanya chochote,ni Jambo la ajabu hadi polisi wanataka chadema iwape majina ya watia nia na kura walizo pata,ni aibu kubwa Sana na ni ukandamizaji wa kiwango Cha juu Sana.

Mkuu CCM wanalipa for publicity , ni budget ipo kabisa. Tulichanga fedha nyingi m4c zimeenda wapi?
 
Nilisikoa rais kipenzi cha watz amerejea

Sijui kajifungia sehem anasuka nondo??

Ana kesi za kujibu

Ile ya Ubungo ni aibu kweupe kabisa. Hii janja janja hawana dola! Wakipewa dola itakuwa bora CCM...
Aibu kubwa, yule Boniface alishavuliwa uanachama na umeya, karudi vipi?? Ni swali ambalo ukiuliza utafukuzwa
 
Back
Top Bottom