CHADEMA mnakosea wapi, mbona mnayumba kimsimamo?


Kwa hiyo wakati ule madai ya kusema waliibiwa kura yalikuwa danganya toto?
 
Hivyo ni vitu viwili tofauti. Kutomtambua Rais na kutoridhika na matokeo ya uchaguzi

Nashukuru kwa Uzalendo wenu

Tushirikiane kuinusuru Znz dhidi ya kurudishwa utumwani kupitia ACT 2020
 
Mbona ccm wanaumia Chadema kwenda kwenye sherehe Mwanza? Tena Chadema na nyie vaeni sare zenu kama wao wanavyovaa mi sare yao ya kijani! Uhuru ni wetu sote!
Hawa vibaka wa Chakubanga ndiyo wanaumia kwani yakiwepo maridhiano watakufa njaa kitengo kitafutwa .
 
Watanzania tunachezewa Sana kutokana na kuyumba misimamo, tuna tamka tusicho kiweza kukisimamia hili ni tatizo kubwa sana
Umewasemea na wa Tz wengine ambao sio uwafikiriavyo...ni baadhi ya wa Tz ndo huyumbishwa na misimamo sio wote.,
 
NI UTOTO KUTOKUSHIRIKI MASUALA MUHIMU YA KITAIFA.

Sherehe za Uhuru ni jambo muhimu la kitaifa. Siyo suala la kichama. Vivyo hivyo shughuli za maendeleo ya Nchi. Unapogomea shughuli muhimu za kitaifa kama hizo unamkomoa nani kama sio utoto?
Mnashangaa kususiwa sherehe, hamshangai kuahirishwa kwake!!?
 
Wewe mleta mada unasaidia vipi chama, au upo upande gani??
Ukiwa field utaelewa kinachoendelea.
Wananchi ni wale wale kwa hiyo kuwepo kwenye events za Uhuru ni fursa kisiasa sio disadvantage!!
Uhuru ni wa Watanzania wote bila kujali chama!!
Hoja hujibiwa kwa hoja, ukiona unaponda badala ya kutembelea ndani ya hoja ujuwe kuna tatizo upstairs
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…