Umeandika makala ndefu ukiwa hujui lolote bali habari za kuokoteza.
2015 wabunge hawakutoka bungeni kwa kutomtambua Magufuli Bali walifukuzwa bungeni kwa kupiga kwao kelele kupinga Dr Shein kuingia Bungeni kutokana na utata wa uchaguzi wa Zanzibar.
Rejea vizuri hadithi yako hii
Kwa hiyo wakati ule madai ya kusema waliibiwa kura yalikuwa danganya toto?