Kamanda naona umeamua kujifariji baada ya msongo wa mawazo.
endelea kuota. 2015 utaamshwa na matokeo.
Mrema kwani hakushinda? Acha hizo wewe
Endelea kuota. 2015 utaamshwa na matokeo.
Kuna mtu alikuwa anajaza nyomi kwenye mikutano kama mrema? Kama lipumba? Acha kuota ww. Hakuna mtanzania mjinga wa kuunga mkono magaidi
Kuna mtu alikuwa anajaza nyomi kwenye mikutano kama mrema? Kama lipumba? Acha kuota ww. Hakuna mtanzania mjinga wa kuunga mkono magaidi
mkuu sumu, hebu rekebisha pale, ni popoooooozzzzz bawaaaaa sio pipoz powa... Halafu utaanzaje na mungu wakati unatembea na sumu mfukoni unataka kwenda kulisha watu? Huyo atakuwa mungu wa kuchora chini
kuna mtu aliyekuwa mwizi wa kuku pale kijijini kwetu kama wewe?.Watu wengine walishindwa kabisa kukukama na kukupeleka polsi na ilionekana kuwa wewe ulikuwa umeshindikana lakini ulipoiba tu kuku wa mzee KAZILAHABI mara moja alikukamata na kukupeleka polisi.SASA MBONA MZEE KAZILAHABI ALIWEZA KUKUTOA WEWE PALE KIJIJINI? NA IWEJE CHADEMA KISIWEZE KUKITOA CCM chama cha wezi MADARAKANI?.Kuna mtu alikuwa anajaza nyomi kwenye mikutano kama mrema? Kama lipumba? Acha kuota ww. Hakuna mtanzania mjinga wa kuunga mkono magaidi
mawazo mazuri tupo pamoja kamanda chadema inonga mbele acha magamba yaweweseke.kwa sasa kweli mabadiliko yanakaribia tanzania kupitia kwa chadema,nimesema hayo baada ya kufanya simple analysis.kwa propaganda ambazo chadema wemetupiwa mwaka huu ni wazi kwamba ingekuwa enzi zile usingepata hata mtu mmoja kwenye mikutano ya chadema,lakini hali imekuwa ni tofauti pamoja na kuambiwa kwamba ni magaidi,wadini,wakabila na hata tbc kutorusha habari zao,lakini ukweli unabaki kuwa chadema wanapata sana sapoti kwa watanzania kuanzia watoto hadi wazee na watu wanajaa sana kwenye mikutano yao,ndo maana nikadiriki kusema kuwa chadema mnako elekea ni kuzuri
Sifa kubwa ya mfuasi wa CHADEMA ni;
1. Kuvaa magwanda ya mgambo.
2. Kukunja uso huku unapiga kelele "popoooooooz bawaaaaa", hakuna kulala mpaka kieleweke, tulianza na Mungu na tunamaliza na Mungu.
Na kwa jinsi hawa vijana walivyofanywa misukule, siwezi kushangaa kama wataacha wosia wazikwe na magwanda yao.