sifa kubwa ya mfuasi wa chadema ni;
1. Kuvaa magwanda ya mgambo.
2. Kukunja uso huku unapiga kelele "popoooooooz bawaaaaa", hakuna kulala mpaka kieleweke, tulianza na mungu na tunamaliza na mungu.
Sasa wee msukule ukiniona nina akili ndio itakuwaje.ningekuona una akili kama ungeowaongelea magamba!
Mimi ninachoogopa ni idadi kubwa ya vijana wataka commit suicide baada ya 2015 kwani ndio utakuwa mwisho wa ndoto
nimesharekebisha mkuu bungeni.
Hawa chadema ni watu wa ajabu sana, wanawakaririsha wafuasi wao maneno bila hata ya kuelewa maana yake. Sasa sijui huyo mungu anayewatuma wakafanye ugaidi, kuteka wananchi na kuwawekea watu sumu ni mungu gani!
Mungu wao atakuwa ni wa kuchora chini.
Nimesharekebisha mkuu bungeni.
Hawa CHADEMA ni watu wa ajabu sana, wanawakaririsha wafuasi wao maneno bila hata ya kuelewa maana yake. Sasa sijui huyo Mungu anayewatuma wakafanye ugaidi, kuteka wananchi na kuwawekea watu sumu ni Mungu gani!
Mungu wao atakuwa ni wa kuchora chini.
Sumu anajuwa ubaya wa ccm? soma hapa chini.
wakafanye ugaidi, kuteka wananchi
1. Gaid namba moja ni Ramadhani Ighondu aliyemtesa ulimboka yupo pale magogo analelewa na Mtukufu Kikwete bosi wa ccm
2. Gaid wa pili ni Kamuhanda aliamteketeza Daud mwangosi kulee Nyororo Iringa, kwa amri yake mwangosi aliteketezwa
3. Gaid namba tatu na mpanga ugaid ni Mwigulu Nchemba - ccm, Igunga, Usa river nk
4. Gaid namba nne ni ni ni ni .......ccm kupnga na kutesa wapinzani wao
kuwawekea watu sumu
Wanaowekea sumu wenzao ni ccm
1. Horace kolimba alipata kichapo cha sumu dodoma na kuishia
2. Mwakyembe mpaka leo inajuwa kilichomtokea
3. Profesa mwandonsya kamtafute umuulize vipi afya yake kwanini mgogoro
4.
5.
Kama hamfahamu historia ya chama chenu cha ccm basi mkaage kimya maana katika kutoa kwenu kommenti mnasababisha tukiweke wazi katika ubaya na matendo yake.
Na kwa jinsi hawa vijana walivyofanywa misukule, siwezi kushangaa kama wataacha wosia wazikwe na magwanda yao.
Sumu anajuwa ubaya wa ccm? soma hapa chini.
1. Gaid namba moja ni Ramadhani Ighondu aliyemtesa ulimboka yupo pale magogo analelewa na Mtukufu Kikwete bosi wa ccm
2. Gaid wa pili ni Kamuhanda aliamteketeza Daud mwangosi kulee Nyororo Iringa, kwa amri yake mwangosi aliteketezwa
3. Gaid namba tatu na mpanga ugaid ni Mwigulu Nchemba - ccm, Igunga, Usa river nk
4. Gaid namba nne ni ni ni ni .......ccm kupnga na kutesa wapinzani wao
Wanaowekea sumu wenzao ni ccm
1. Horace kolimba alipata kichapo cha sumu dodoma na kuishia
2. Mwakyembe mpaka leo inajuwa kilichomtokea
3. Profesa mwandonsya kamtafute umuulize vipi afya yake kwanini mgogoro
4.
5.
Kama hamfahamu historia ya chama chenu cha ccm basi mkaage kimya maana katika kutoa kwenu kommenti mnasababisha tukiweke wazi katika ubaya na matendo yake.
Nikuulize tu ilikuwa mwaka gani, na imepita miaka mingapi. Na tuko katika ditali ipi. Jidanganye na mambo ya miaka io. Kumbukumbu nzuri tu ni nani aliejua kuwa Gadafi atauwawa tena na wananchi wa nchi yake. Mawazo bdo hata kuchangia humu ufai bora ukae kimyaKuna mtu alikuwa anajaza nyomi kwenye mikutano kama mrema? Kama lipumba? Acha kuota ww. Hakuna mtanzania mjinga wa kuunga mkono magaidi
hizi habari zako ni habari za vijiweni.
mkuu sumu, hebu rekebisha pale, ni popoooooozzzzz bawaaaaa sio pipoz powa... Halafu utaanzaje na mungu wakati unatembea na sumu mfukoni unataka kwenda kulisha watu? Huyo atakuwa mungu wa kuchora chini
1. Kwani mwangosi aliuliwa na nani vile? na aliyetoa amri serikali ya ccm chini ya kikwete imemchukulia hatua gani?
2. Kule Arusha Kamanda andengenye aliuwa watatu, je serikali ya ccm unaisikia kusema lolote? kama haisemi kitu lete mtazamo wako mkuu Sumu
Kusanya ushahidi uende mahakamani. Kwenye Dunia ya leo propaganda za namna hii hazina nafasi.
CHADEMA ni magaidi na kesi ipo mahakamani.
Kamalize shule UDOM unashindwa kujitegemea kwa ajili ya kujoongo shule no wonder unashinda JF kujipatia vibook 7, maana hata hujui Jaji Kaduri amesema Gaidi ni DPP na serikali ya KIkwete