ndivyo ilivyo au vipi are you missing this rudi hukuua utapokelewa tuSifa kubwa ya mfuasi wa CHADEMA ni;
1. Kuvaa magwanda ya mgambo.
2. Kukunja uso huku unapiga kelele "pipoz pawaa", hakuna kulala mpaka kieleweke, tulianza na Mungu na tunamaliza na Mungu.
Kuna mtu alikuwa anajaza nyomi kwenye mikutano kama mrema? Kama lipumba? Acha kuota ww. Hakuna mtanzania mjinga wa kuunga mkono magaidi
Sifa kubwa ya mfuasi wa CHADEMA ni;
1. Kuvaa magwanda ya mgambo.
2. Kukunja uso huku unapiga kelele "pipoz pawaa", hakuna kulala mpaka kieleweke, tulianza na Mungu na tunamaliza na Mungu.
Mimi ninachoogopa ni idadi kubwa ya vijana wataka commit suicide baada ya 2015 kwani ndio utakuwa mwisho wa ndotoEndelea kuota. 2015 utaamshwa na matokeo.
Hawa watu wanapenda sana vya kuchora.mkuu sumu, hebu rekebisha pale, ni popoooooozzzzz bawaaaaa sio pipoz powa... Halafu utaanzaje na mungu wakati unatembea na sumu mfukoni unataka kwenda kulisha watu? Huyo atakuwa mungu wa kuchora chini
Kuna mtu alikuwa anajaza nyomi kwenye mikutano kama mrema? Kama lipumba? Acha kuota ww. Hakuna mtanzania mjinga wa kuunga mkono magaidi
Endelea kuota. 2015 utaamshwa na matokeo.
Kwa hili umesema kweli,Kuna watu walikuwa wanaishi na mifugo (ng'ombe,mbuzi nk) polini kama wamasai? je leo wapo wapi kama sio tunabanana nao mijini!
Kulinganisha mambo ya nyakati za zama za mawe na sasa nikujiabisha na kutoona mbele.
Kuna mtu alikuwa anajaza nyomi kwenye mikutano kama mrema? Kama lipumba? Acha kuota ww. Hakuna mtanzania mjinga wa kuunga mkono magaidi
mkuu sumu, hebu rekebisha pale, ni popoooooozzzzz bawaaaaa sio pipoz powa... Halafu utaanzaje na mungu wakati unatembea na sumu mfukoni unataka kwenda kulisha watu? Huyo atakuwa mungu wa kuchora chini
Endelea kuota. 2015 utaamshwa na matokeo.
Sifa kubwa ya mfuasi wa CHADEMA ni;
1. Kuvaa magwanda ya mgambo.
2. Kukunja uso huku unapiga kelele "popoooooooz bawaaaaa", hakuna kulala mpaka kieleweke, tulianza na Mungu na tunamaliza na Mungu.
Kwa hili umesema kweli,
Wamasai sio wapori pori tena. I hope na makamanda iko siku watakuwa sio misukule tena
mkuu sumu, hebu rekebisha pale, ni popoooooozzzzz bawaaaaa sio pipoz powa... Halafu utaanzaje na mungu wakati unatembea na sumu mfukoni unataka kwenda kulisha watu? Huyo atakuwa mungu wa kuchora chini
Just simple culculation mrema alikuwa anajaza mikutano wakati huo wananchi walikuwa hawazomei MACCM lakini sasa ni mwendo wa kuzika CCM