Kwanini?Dodoma tumewaachia CCM
mlikofanya maandamano yaliyodorora na hayakua na tija 🐒Salaam, Shalom!!
Tumeona maandamano katika majiji ya Dar es Salaam, Mbeya, Arusha na Mwanza.
Nia ya maandamano ni kuamsha umma kudai HAKI zao na kushinikiza Serikali kupunguza Kodi Ili kuondoa mfumuko wa bidhaa, Kupata Tume huru ya Uchaguzi na KATIBA mpya kabla ya Uchaguzi wowote, nk nk
Na mwitikio umeonekana kuwa mzuri,
Swali LANGU ni je, lini CHADEMA itapeleka mwamko huo Dodoma na maneno ya Jirani ambako CCM wanadai ni ngome Yao?
Ni Kweli watu wa huko mfumuko wa Bei za bidhaa na gharama za Maisha hazijawaumiza vya kutosha kuikataa CCM?
Kwa jinsi chama hiki kinavyotesa Watanzania, hakipasi kuwa na ng'ombe yoyote Nchi hii.
Muda haujawahi kutosha.
Karibuni 🙏
Ulijuaje yamedorora au yamefana bila kuyafuatilia?mlikofanya maandamano yaliyodorora na hayakua na tija 🐒
kwa uchovu ule, kibaraka hawez tena kutamani hiyo jogging ambayo haina maana yoyote zaidi ya kuhatarisha afya yake ambayo inaweza kusababisha mambo mengine 🐒
kwani yalikua yanafanyika mafichoni ndio nisijue 🐒Ulijuaje yamedorora bila kuyafuatilia?
Jikite kwenye mada.
Dodoma hakuna machali wa CDM ,wanapaogopa kama UKOMASalaam, Shalom!!
Tumeona maandamano katika majiji ya Dar es Salaam, Mbeya, Arusha na Mwanza.
Nia ya maandamano ni kuamsha umma kudai HAKI zao na kushinikiza Serikali kupunguza Kodi Ili kuondoa mfumuko wa bidhaa, Kupata Tume huru ya Uchaguzi na KATIBA mpya kabla ya Uchaguzi wowote, nk nk
Na mwitikio umeonekana kuwa mzuri,
Swali LANGU ni je, lini CHADEMA itapeleka mwamko huo Dodoma na maneno ya Jirani ambako CCM wanadai ni ngome Yao?
Ni Kweli watu wa huko mfumuko wa Bei za bidhaa na gharama za Maisha hazijawaumiza vya kutosha kuikataa CCM?
Kwa jinsi chama hiki kinavyotesa Watanzania, hakipasi kuwa na ngome yoyote Nchi hii.
Muda haujawahi kutosha.
Karibuni 🙏
Usituletee nuksi hapa Capital City yetu, upuuzi wa maandamano peleka huko Kwa wavuta bangi na walalamishi wa Arusha na Mbeya.Salaam, Shalom!!
Tumeona maandamano katika majiji ya Dar es Salaam, Mbeya, Arusha na Mwanza.
Nia ya maandamano ni kuamsha umma kudai HAKI zao na kushinikiza Serikali kupunguza Kodi Ili kuondoa mfumuko wa bidhaa, Kupata Tume huru ya Uchaguzi na KATIBA mpya kabla ya Uchaguzi wowote, nk nk
Na mwitikio umeonekana kuwa mzuri,
Swali LANGU ni je, lini CHADEMA itapeleka mwamko huo Dodoma na maneno ya Jirani ambako CCM wanadai ni ngome Yao?
Ni Kweli watu wa huko mfumuko wa Bei za bidhaa na gharama za Maisha hazijawaumiza vya kutosha kuikataa CCM?
Kwa jinsi chama hiki kinavyotesa Watanzania, hakipasi kuwa na ngome yoyote Nchi hii.
Muda haujawahi kutosha.
Karibuni 🙏
Hata Udom wakose vijana wenye chachu ya mabadiliko?Dodoma hakuna machali wa CDM ,wanapaogopa kama UKOMA
Wakiisha ombaomba Dodoma, Dunia nayo ndo itakuwa imefika mwisho.Wameanza mikoa ya wapambanaji!
Vp huko lakini ombaomba wameisha?
Huko kwingine ilikwenda bahati mbaya lakini shabaha kubwa ilikuwa ni kanda ya kaskazini kule kinapotoka chama!Salaam, Shalom!!
Tumeona maandamano katika majiji ya Dar es Salaam, Mbeya, Arusha na Mwanza.
Nia ya maandamano ni kuamsha umma kudai HAKI zao na kushinikiza Serikali kupunguza Kodi Ili kuondoa mfumuko wa bidhaa, Kupata Tume huru ya Uchaguzi na KATIBA mpya kabla ya Uchaguzi wowote, nk nk
Na mwitikio umeonekana kuwa mzuri,
Swali LANGU ni je, lini CHADEMA itapeleka mwamko huo Dodoma na maneno ya Jirani ambako CCM wanadai ni ngome Yao?
Ni Kweli watu wa huko mfumuko wa Bei za bidhaa na gharama za Maisha hazijawaumiza vya kutosha kuikataa CCM?
Kwa jinsi chama hiki kinavyotesa Watanzania, hakipasi kuwa na ngome yoyote Nchi hii.
Muda haujawahi kutosha.
NB: Tanga na Dodoma ni majiji pia, lisisahaulike Hilo.
Karibuni 🙏
Mkoa wa kimaskini kuanzia umaskini wa Kipato hadi umaskini wa kifikra.......Na wao wanahitaji ukomboziNi Kweli Dodoma Wana mahaba ya dhati na CCM, kwamba hawasikii chochote?
HahahaaWameanza mikoa ya wapambanaji!
Vp huko lakini ombaomba wameisha?
Subiri wanakuja na Tanga.Huko kwingine ilikwenda bahati mbaya lakini shabaha kubwa ilikuwa ni kanda ya kaskazini kule kinapotoka chama!
Unafeli pakubwa mnoHuko kwingine ilikwenda bahati mbaya lakini shabaha kubwa ilikuwa ni kanda ya kaskazini kule kinapotoka chama!