Mifano iko mingi sana suala sio kuwa na ofisi na hivyo vitu vingine unavyosema suala ni wazo la nn unataka kufanya na malengo yako ni nn hii iko wazi kuwa entrepreneurial culture bado haijatuingia cc wabongo sikatai kuwa lazima uwe na start up capital lakini cha msingi zaidi ni kichwani unataka kufanya nn.Leo hii mtu anaweza kuwa na pesa lakini asijue nn anataka kufanya,kingine serikali iko na nafasi katika hili mazingira ya kujiajiri hayajakaa kiurafiki kwa mtu anayemaliza shule kuweza kuanzisha mradi wake pasipo kusubiri kuajiriwa.