Hakuna option ninayoiunga mkono hata moja hapo! Waendelee kujijenga taratibu japo wanapigwa vibaya mpaka Siku watanzania watakapochoshwa vilivyo na watawala. Haiwezekani wakajiteeesa hku watz wengine wakijilalia makwao kusubiri mafanikio ya wakipiganiacho. Tazama Kenya serikali inajua wananchi sio waoga lkn hapa tunatishwa kama watoto na tunanywea nywiiii. Wapinzani msibebe saaana mzigo nendeni mdogomdogo wananchi nao waamke. Kina mbowe wako jela watu hawapazi sauti unadhani wamejitakia bhana
Kila jambo lina risk yake ukiogopa risk hutafanikiwa, sawa siasa za hoja zinatakiwa kwa mtu anayekusikiliza.Kila option ni suicide mission.
Angalau kurudi kwenye siasa za hoja itapunguza madhara mabaya kwa upinzani.
Mkuu Quinine, kwanza naiunga mkono hoja hii, this is the best option, kwa sababu siku zote, haki haombwi, wala hailetwi kwenye kisahani cha chai, haki inadaiwa!, Chadema watangaze maandamano ya kifo, wamthibitishie rais Magufuli na polisi wake wote na jeshi lake lote kuwa siku hiyo, wataingia mitaani kuandamani na wote wako tayari kufa, ni heri kufa ukipigania haki, kuliko mtumwa anayelishwa makombo. Kama ni kweli polisi wetu na jeshi letu limegeuka gestapo na kutumia risasi za moto kama Soweto ile tarehe 16/6/1976, au Tiananmen Squire kule Uchina, then damu hiyo ndio itapanda mbegu ya ukombozi na amini usiamini, Karma itawashughulikia wauaji hao mmoja mmoja na hakuna hata mmoja wao ataondoka kwa amani, Malipo ni hapa hapa duniani.Option ya tatu: Kupita kamati kuu, chama kiamue kuunga mkono maandamano ya trh 26/4 yaliyoandaliwa na wananchi, kitendo hiki kitakaishitua serikali na kuilazimisha kuwaita kwa lengo la kukaa pamoja ili kuzungumza na kumaliza tofauti zilizopo. Hii option ina risk kubwa lakini ina faida nyingi na za haraka, the more the risk the more the profit.
Hiki ndicho kitu kinachokwenda kutokea 2020, Chadema inakwenda kupoteza majimbo yote hadi MBOWE mwenyewe hatorudi, hivyo mbunge au diwani yoyote wa Chadema, anayetaka kurudi Bungeni au kitini, ni ama aamue kupumzika siasa, ama ajiunge CCM!.Option ya Nne: Najua hii itaonekana kuwa ngumu kidogo lakini nyepesi. Hakika uchaguzi ujao utakuwa ngumu kwa Chadema, chama kisipobadili mbinu za ushindi karibu wabunge wote wa Chadema hawatarudi bungeni (fact). Bunge halitakuwa na Msigwa wala Lema wala Mdee wala Mnyika, wala Bulaya. Ili kujiweka salama aidha Chama au wabunge wote waamue kumuunga mkono Magufuli kama wenzenu wanavyofanya au wabunge wakae kimya kusubiri mafao yao yawasaidie kuanza maisha mpya ya uraiani baada ya uchaguzi wa 2020.
Ni ukweli mchungu.
Naisubiri 2020Hiki ndicho kitu kinachokwenda kutokea 2020, Chadema inakwenda kupoteza majimbo yote hadi MBOWE mwenyewe hatorudi, hivyo mbunge au diwani yoyote wa Chadema, anayetaka kurudi Bungeni au kitini, ni ama aamue kupumzika siasa, ama ajiunge CCM!.
CCM kubaki itabaki, hata ndoto ya Lema itatimia, kwa sababu pia iliwahi kutajwa na TB Joshua, ila walioambiwa walionywa wasiseme!. CCM itabaki kwasababu Tanzania, bado hatuna chama kingine chochote credible cha kukikabidhi Ikulu yetu!.Navyojua me!
Hakuna aliyeagana na Mungu!
Hivyo nadhan kabla 20 cdhan kama MCC itabaki
When faced in between the two devils, choose the lesser!, kwenye siasa zetu kuna kambi kuu mbili tuu, the wishful thinkers and the realists, the wishful thinkers kazi yao ni just to wish, just like gambling kwenye probability, the realist wako certain,Acha kupotosha watu, kuhamia ccm ni kuona mbali! Ukiona mcha Mungu anahamia kwa shetani jua ameangamia, kati ya vitu navojivunia hapa duniani ni kutokua ccm.
Bandiko linaonesha unaamini chama chako kipo nje ya msitari kimekosa mvutoIli kubaki salama lazima chama kiamue kuchagua option mojawapo vinginevyo kitaendelea kupukutika na pengine kubaki jina kama vyama vingine.
Hakuna chama cha upinzani kimejipanga kwenda ikulu. Na hakuna chenye ndoto hiyo pia kwa kipindi hiki.CCM kubaki itabaki, hata ndoto ya Lema itatimia, kwa sababu pia iliwahi kutajwa na TB Joshua, ila walioambiwa walionywa wasiseme!. CCM itabaki kwasababu Tanzania, bado hatuna chama kingine chochote credible cha kukikabidhi Ikulu yetu!.
Handling of Serious Security Issues: Kama CHADEMA Takes Things For Granted Kwa Uzembe Hivi!, Jee Ikulu Yetu Wangeiweza?!
Je, CHADEMA inaweza kushinda 2020? Is it serious, credible & mature enough opposition?!.
In 2015 Election, Tanzania had A Choice To Choose From. Jee Kwa 2020, Do We Still Have A Choice?.
Kwa Kasi hii ya Magufuli, kuna haja Kufanya Uchaguzi wa Rais 2020?
Na ndoto ya Lema isipotimia, Swali la Ukweli Mchungu: Je, 2020 Magufuli ana mpinzani au mshindani, au Ni Magufuli tu?!.
P.
Katika RankiNitaenda moja kwa moja kwenye msingi wa hoja yangu.
Option ya kwanza: Chadema ya leo inahitaji viongozi watakaokirudisha chama kwenye misingi yake ya zamani, misingi ya ujasiri, misingi ya hoja, misingi ya uanaharakati. Kuirudisha Chadema ya kina Slaa, Chadema ya kina Heche wakisema tukawatoe viongozi mahabusu vijana wanakwenda. Leo viongozi na wanachama wanauawa, wanatekwa, wanapotezwa, sijasikia tamko lolote la nguvu la chama zaidi ya press conference. Utawala huu sio wa press conférence, ni utawala wa kutunishiana misuli ni utawala wa Ukuta.
Option ya pili: Ili kukirudisha chama kwenye mstari, tangazeni maandamano ya amani kama yale ya Ukuta kushinikiza katiba mpya ninaimani taasisi mbalimbali na watanzania wengi watawaunga mkono na chama kitarudi kwenye hadhi yake.
Option ya tatu: Kupitia kamati kuu, chama kiamue kuunga mkono maandamano ya trh 26/4 yaliyoandaliwa na wananchi, kitendo hiki kitakaishitua serikali na kuilazimisha kuwaita kwa lengo la kukaa pamoja ili kuzungumza na kumaliza tofauti zilizopo. Hii option ina risk kubwa lakini ina faida nyingi na za haraka, the more the risk the more the profit.
Option ya Nne: Najua hii itaonekana kuwa ngumu kidogo lakini nyepesi. Hakika uchaguzi ujao utakuwa ngumu kwa Chadema, chama kisipobadili mbinu za ushindi karibu wabunge wote wa Chadema hawatarudi bungeni (fact). Bunge halitakuwa na Msigwa wala Lema wala Mdee wala Mnyika, wala Bulaya. Ili kujiweka salama aidha Chama au wabunge wote waamue kumuunga mkono Magufuli kama wenzenu wanavyofanya au wabunge wakae kimya kusubiri mafao yao yawasaidie kuanza maisha mpya ya uraiani baada ya uchaguzi wa 2020.
Ili kubaki salama lazima chama kiamue kuchagua option mojawapo vinginevyo kitaendelea kupukutika na pengine kubaki jina kama vyama vingine.
Kila kheri CHADEMA.Kila jambo lina risk yake ukiogopa risk hutafanikiwa, sawa siasa za hoja zinatakiwa kwa mtu anayekusikiliza.