mungu yu pamoja nasi...
Na kwa taarifa tu ya magamba, ubunge wamechukua sehemu kubwa, ila urais tayali upo ukawa kwa bara na visiwani.
Hujui unaloongea. We unasikia kova kakamata kompyuta na vijana karibia 200 wa chadema halafu unaleta ujinga hapa
kUMBUKA MATOKEO YALIYOTANGAZWA HAYAJAFIKIA HATA KURA 100,000, NA TUNATEGEMEA ZAIDI YA KURA 15,000,000++. nA YALIYOTANGAZWA HAYAJAGUSA SHEHEMU KAMA MBAGALA, MBEYA, IRINGA NK. sUBIRA NI MUHIMUNimekosa imani kabisa na haya matokeo.Inamana Lowasa alikuja kuua upinzani? Je,kashfa zote za ufisadi ni Lowasa kazififisha kwa kujiunga UKAWA?Ama haya matokeo ni ya kupikwa? Kuna maana gani ya uchaguzi kama matokeo yako katika mrengo mmoja?Kama kweli Watanzania wanaimani na ccm kuna haja gani sasa ya upinzani? Si bora tuvunje upinzani na tuendelee na chama kimoja? Haiwezekani UKAWA mkakosa watu wakufuatilia kura zenu.Haya maswali yananiumiza sana kwakweli.
Aisee KOVA kawaweza kina MUSSA ALLAN ingekuwa ni vurugu tupu humu kumbe wanalipwa na FISADI LOWASSA
Hawa jamaa walifikiri ukawa wangeshinda kwa uongo uongo, wapi yericko nyerere!
Sina imani na NEC.
Mbowe na timu yake imezubaa sana.
Sina imani na NEC.
Mbowe na timu yake imezubaa sana.