CHADEMA mmevuna mlichopanda

CHADEMA mmevuna mlichopanda

Kabla ya Julai 2015, nilikuwa miongoni mwa Watanzania waliokuwa wakiiunga mkono Chadema. Sio kama mwanachama bali nilikuwa naafikiana nao katika harakati zao za kisiasa hususan vita dhidi ya ufisadi.

Lakini ghafla wakampokea Lowassa, mwanasiasa ambaye Chadema hao hao walimwandama kwa takriban miaka tisa mfululizo (tangu mwaka 2006 hadi 2015) wakimuita fisadi.

Na wala sikutafakari mara mbili, nikaamua kuacha kuiunga mkono Chadema. Bahati nzuri Katibu Mkuu wa chama hicho, Dkt Slaa ambaye pia alikuwa mgombea urais mwaka 2010, nae aliamua kuachana na chama hicho. Niliandika haya kumpongeza

Dear Dkt Slaa,asante kwa kufanya maamuzi magumu kwa kujiuzulu. Tutakuenzi milele ~ Kulikoni Ughaibuni

Na niliwananga Chadema na makala hii

Siasa mchezo mchafu au baadhi ya wanasiasa ndo wachafu? USALITI: Chadema/Ukawa na Lowassa ~ Kulikoni Ughaibuni

Na baada ya Chadema kulamba matapishi yao na kumkumbatia Lowassa, chama hicho kiligeuka kuwa "chama cha mtu mmoja" kama nilivyotanabaisha katika makala hii

Makala yangu RAIA MWEMA la 05/08/15: "Chama kimoja ➡Vyama Vingi➡ Chama cha Mtu Mmoja" ~ Kulikoni Ughaibuni

Na the latest ni tahadhari niliyotoa baada ya Lowassa kukutana na Magufuli Ikulu mwaka jana

Uchambuzi Wa Kina Lowassa Kukutana Na JPM Na Kumpongeza: Mkakati Au Anarudi CCM?: ~ Kulikoni Ughaibuni

Sidhani kama Chadema wanahitaji kupewa pole kwa sababu kila aliyejaribu kuwatahadharisha kuhusu Lowassa aliishia kutukanwa.

Uamuzi wa Lowassa kurejea CCM si jambo la kushangaza kwa sababu (a) alihama CCM kwa ajili tu ya kusaka urais huko Chadema (b) kwa kugombea urais kupitia Chadema, Lowassa aliweza kukihenyesha chama hicho kilichomuita fisadi huko nyuma, lakini kikalazimika kuzunguka nchi nzima kumsafisha Waziri Mkuu huyo wa zamani.

Kwa kifupi, Chadema mmevuna mlichopanda. Hatma ya chama hiki sasa itategemea sana jinsi kitakavyoweza kuhimili kipigo hiki kikubwa kabisa kwao. As it stands, kuna uwezekano mkubwa kabisa kwa chama hicho kutoambulia japo jimbo moja katika uchaguzi mkuu ujao, sio kwa kushindwa bali sio siri kuwa kuna wabunge kadhaa wa chama hicho wapo njiani kwenda CCM.

Na liwalo na liwe, wabunge wawili wasiotarajiwa kabisa kuwa ipo siku wataikimbia Chadema ni Kubenea na Bulaya.

Sent using Jamii Forums mobile app
Kwanza ni mzee bora amerudi CCM. Hana hata impact
 
TL njia nyeupeeeeeee 2020 patachimbika, watu hawataki tena pombe.

Kwa Lissu CCM watashinda mapema sana. Hana wafuasi wengi kama Mamvi. Jimbo lake tu amekuwa akipita kwa taabu, vipi kwa nchi nzima.
 
Kabla ya Julai 2015, nilikuwa miongoni mwa Watanzania waliokuwa wakiiunga mkono Chadema. Sio kama mwanachama bali nilikuwa naafikiana nao katika harakati zao za kisiasa hususan vita dhidi ya ufisadi.

Lakini ghafla wakampokea Lowassa, mwanasiasa ambaye Chadema hao hao walimwandama kwa takriban miaka tisa mfululizo (tangu mwaka 2006 hadi 2015) wakimuita fisadi.

Na wala sikutafakari mara mbili, nikaamua kuacha kuiunga mkono Chadema. Bahati nzuri Katibu Mkuu wa chama hicho, Dkt Slaa ambaye pia alikuwa mgombea urais mwaka 2010, nae aliamua kuachana na chama hicho. Niliandika haya kumpongeza

Dear Dkt Slaa,asante kwa kufanya maamuzi magumu kwa kujiuzulu. Tutakuenzi milele ~ Kulikoni Ughaibuni

Na niliwananga Chadema na makala hii

Siasa mchezo mchafu au baadhi ya wanasiasa ndo wachafu? USALITI: Chadema/Ukawa na Lowassa ~ Kulikoni Ughaibuni

Na baada ya Chadema kulamba matapishi yao na kumkumbatia Lowassa, chama hicho kiligeuka kuwa "chama cha mtu mmoja" kama nilivyotanabaisha katika makala hii

Makala yangu RAIA MWEMA la 05/08/15: "Chama kimoja Vyama Vingi Chama cha Mtu Mmoja" ~ Kulikoni Ughaibuni

Na the latest ni tahadhari niliyotoa baada ya Lowassa kukutana na Magufuli Ikulu mwaka jana

Uchambuzi Wa Kina Lowassa Kukutana Na JPM Na Kumpongeza: Mkakati Au Anarudi CCM?: ~ Kulikoni Ughaibuni

Sidhani kama Chadema wanahitaji kupewa pole kwa sababu kila aliyejaribu kuwatahadharisha kuhusu Lowassa aliishia kutukanwa.

Uamuzi wa Lowassa kurejea CCM si jambo la kushangaza kwa sababu (a) alihama CCM kwa ajili tu ya kusaka urais huko Chadema (b) kwa kugombea urais kupitia Chadema, Lowassa aliweza kukihenyesha chama hicho kilichomuita fisadi huko nyuma, lakini kikalazimika kuzunguka nchi nzima kumsafisha Waziri Mkuu huyo wa zamani.

Kwa kifupi, Chadema mmevuna mlichopanda. Hatma ya chama hiki sasa itategemea sana jinsi kitakavyoweza kuhimili kipigo hiki kikubwa kabisa kwao. As it stands, kuna uwezekano mkubwa kabisa kwa chama hicho kutoambulia japo jimbo moja katika uchaguzi mkuu ujao, sio kwa kushindwa bali sio siri kuwa kuna wabunge kadhaa wa chama hicho wapo njiani kwenda CCM.

Na liwalo na liwe, wabunge wawili wasiotarajiwa kabisa kuwa ipo siku wataikimbia Chadema ni Kubenea na Bulaya.

Sent using Jamii Forums mobile app
kubenea??????..... huyu alie kwenye matazamio?........

et unamtaja na bulaya,,, nani hajui bulaya yupo cdm kwa sababu ya lowassa?....

tabiri wengine, hao wawili ni ccm ndani ya cdm!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Siasa ndiyo ilivyo.
2020 haitafanana na 2015..
Upinzani umezidi kuimarika,
Upinzani unajengwa na hii hali ya Uchumi ktk jamii kubana/kuyumba.

Siasa zetu zinaelekea kuimarika, Wapiga kura kufuata Sera badala ya kumwangalia mtu/watu.

Mzee EL, be blessed there!
 
Kabla ya Julai 2015, nilikuwa miongoni mwa Watanzania waliokuwa wakiiunga mkono Chadema. Sio kama mwanachama bali nilikuwa naafikiana nao katika harakati zao za kisiasa hususan vita dhidi ya ufisadi.
Hivi Sasa Je! Upo Upande Gani?
 
Mbona Lowasa kasaidia upinzani kupata wabunhe wengi sana 2015 labda uwe mfu ndio uwezi kuliona hilo.
Cdm walilamba dume.

Sent using Jamii Forums mobile app

Cdm hata ingesimamisha jiwe 2015 bado ingepata wabunge wengi. Kama kura zililetwa na Lowassa akiwa na miezi miwili, leo alikuwa na miaka mitatu alileta nguvu gani?
 
Sasa ndo mtaona unafiki wa dr slaa,kilichomuudhi slaa ni kuona lowasa amempokonya nafasi yake ya kugombea urais,kumbuka mwanzo siku lowasa anahamia cdm kina slaa ndo walimpokea usiku,na alionekana slaa akikenua kwa furaha,then zikapita siku mbili tatu,nadhani slaa alidhani lowasa kaja tu kuongeza nguvu,then ilipodhihirika kuwa mbowe kaamua lowasa agombee,slaa akaona kasalitiwa,
kama slaa kweli alimkimbia lowasa kwa ajili ni fisadi sasa ndo wakati wa kujua mbivu na mbichi
 
Lowasa amewakomesha Chadema maana amewaingiza gharama ya kununua dodoki na sabuni kusafisha matope waliyompaka kwa miaka 8.
 
Mimi binafsi sioni shida sana katika hili . Kisiasa ana haki ya kurudi CCM . Kule Kenya wameshazoea hali hii. Wanasiasa wa Kenya wanahama kila siku kutoka chama kimoja kwenda kingine na hali hiyo imechangia kukomaa kwa demokrasia katika nchi ya Kenya.

Tatizo ninaloliona hapa kwetu ni aina ya siasa tunàzozifanya . Tumekuwa na siasa za chuki na kubaguana sana . Ndio maana ikitokea mwanasiasa akahama kutoka upinzani na kujiunga chama kilichopo madarakani hali hii inaleta mshangao mkubwa sana.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kabla ya Julai 2015, nilikuwa miongoni mwa Watanzania waliokuwa wakiiunga mkono Chadema. Sio kama mwanachama bali nilikuwa naafikiana nao katika harakati zao za kisiasa hususan vita dhidi ya ufisadi.

Lakini ghafla wakampokea Lowassa, mwanasiasa ambaye Chadema hao hao walimwandama kwa takriban miaka tisa mfululizo (tangu mwaka 2006 hadi 2015) wakimuita fisadi.

Na wala sikutafakari mara mbili, nikaamua kuacha kuiunga mkono Chadema. Bahati nzuri Katibu Mkuu wa chama hicho, Dkt Slaa ambaye pia alikuwa mgombea urais mwaka 2010, nae aliamua kuachana na chama hicho. Niliandika haya kumpongeza

Dear Dkt Slaa,asante kwa kufanya maamuzi magumu kwa kujiuzulu. Tutakuenzi milele ~ Kulikoni Ughaibuni

Na niliwananga Chadema na makala hii

Siasa mchezo mchafu au baadhi ya wanasiasa ndo wachafu? USALITI: Chadema/Ukawa na Lowassa ~ Kulikoni Ughaibuni

Na baada ya Chadema kulamba matapishi yao na kumkumbatia Lowassa, chama hicho kiligeuka kuwa "chama cha mtu mmoja" kama nilivyotanabaisha katika makala hii

Makala yangu RAIA MWEMA la 05/08/15: "Chama kimoja Vyama Vingi Chama cha Mtu Mmoja" ~ Kulikoni Ughaibuni

Na the latest ni tahadhari niliyotoa baada ya Lowassa kukutana na Magufuli Ikulu mwaka jana

Uchambuzi Wa Kina Lowassa Kukutana Na JPM Na Kumpongeza: Mkakati Au Anarudi CCM?: ~ Kulikoni Ughaibuni

Sidhani kama Chadema wanahitaji kupewa pole kwa sababu kila aliyejaribu kuwatahadharisha kuhusu Lowassa aliishia kutukanwa.

Uamuzi wa Lowassa kurejea CCM si jambo la kushangaza kwa sababu (a) alihama CCM kwa ajili tu ya kusaka urais huko Chadema (b) kwa kugombea urais kupitia Chadema, Lowassa aliweza kukihenyesha chama hicho kilichomuita fisadi huko nyuma, lakini kikalazimika kuzunguka nchi nzima kumsafisha Waziri Mkuu huyo wa zamani.

Kwa kifupi, Chadema mmevuna mlichopanda. Hatma ya chama hiki sasa itategemea sana jinsi kitakavyoweza kuhimili kipigo hiki kikubwa kabisa kwao. As it stands, kuna uwezekano mkubwa kabisa kwa chama hicho kutoambulia japo jimbo moja katika uchaguzi mkuu ujao, sio kwa kushindwa bali sio siri kuwa kuna wabunge kadhaa wa chama hicho wapo njiani kwenda CCM.

Na liwalo na liwe, wabunge wawili wasiotarajiwa kabisa kuwa ipo siku wataikimbia Chadema ni Kubenea na Bulaya.

Tujikumbushe #FutureTweet hii ya Januari 9 mwaka jana

Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu chahali, sio Chadema tu waliovuna walichopanda. Wewe pia unavuna ulichopanda. Jinsi ulivyoshughulika 2015 kumpigania Magufuli, naamini Malipo Yake umeyapata!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nyerere alipoona 80% hawataki vyama vingi akaunda vyama vingine kutoka kwa ccm wenyewe Tz hatujawahi kuwa na upinzania. KWA MCHEZO HUU WAZUNGU WAKASOME.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Siri zote ,,mikakati yote ya siri mipango yenu yote ya siri siri
Yaani ukisikia mpo uchi ndio hii
Babu nywele nyeupe roho nyeupe anakwenda kutoa siri zenu zote kwa jiwe
Vikao vyote mlivyokaa nae vinakwenda kuvuja
Kiranga ....,

Sent using Jamii Forums mobile app
 
2020 Membe huenda akaenda cdm . Hapo tena cdm italiwa kete nyingine itakayowapeleka wajipange 2025 wakati huo mamluki maarufu atahamia chama chenye nguvu cha upinzani mapemaaaaa. Tz hatuna upinzani kwa hili WAZUNGU WAKASOME
wewe 2015 lowassa angegombea urais ndani ya CCM kwa sifa mbaya alizokuwa nazo CCM ingepata tabu sana pengine vurugu zingezuka inakuaje mtu mchafu namna ile anashinda urais wakati watanzania wanajua ni mchafu,kilichofanyika pale ni kuokoa CCM na maslahi yao kwani urais upo tu,kama hivi sio miaka mingi lowassa na kundi lake wanaweza ongoza nchi....

Huu ndio upambavu wangu,weka hekima yako wewe!

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ilikuwa ni makosa makubwa sana kumkaribisha huyu muongo mwingine mkubwa sana na fisadi aliyekubuhu.

Kabla ya Julai 2015, nilikuwa miongoni mwa Watanzania waliokuwa wakiiunga mkono Chadema. Sio kama mwanachama bali nilikuwa naafikiana nao katika harakati zao za kisiasa hususan vita dhidi ya ufisadi.

Lakini ghafla wakampokea Lowassa, mwanasiasa ambaye Chadema hao hao walimwandama kwa takriban miaka tisa mfululizo (tangu mwaka 2006 hadi 2015) wakimuita fisadi.

Na wala sikutafakari mara mbili, nikaamua kuacha kuiunga mkono Chadema. Bahati nzuri Katibu Mkuu wa chama hicho, Dkt Slaa ambaye pia alikuwa mgombea urais mwaka 2010, nae aliamua kuachana na chama hicho. Niliandika haya kumpongeza

Dear Dkt Slaa,asante kwa kufanya maamuzi magumu kwa kujiuzulu. Tutakuenzi milele ~ Kulikoni Ughaibuni

Na niliwananga Chadema na makala hii

Siasa mchezo mchafu au baadhi ya wanasiasa ndo wachafu? USALITI: Chadema/Ukawa na Lowassa ~ Kulikoni Ughaibuni

Na baada ya Chadema kulamba matapishi yao na kumkumbatia Lowassa, chama hicho kiligeuka kuwa "chama cha mtu mmoja" kama nilivyotanabaisha katika makala hii

Makala yangu RAIA MWEMA la 05/08/15: "Chama kimoja Vyama Vingi Chama cha Mtu Mmoja" ~ Kulikoni Ughaibuni

Na the latest ni tahadhari niliyotoa baada ya Lowassa kukutana na Magufuli Ikulu mwaka jana

Uchambuzi Wa Kina Lowassa Kukutana Na JPM Na Kumpongeza: Mkakati Au Anarudi CCM?: ~ Kulikoni Ughaibuni

Sidhani kama Chadema wanahitaji kupewa pole kwa sababu kila aliyejaribu kuwatahadharisha kuhusu Lowassa aliishia kutukanwa.

Uamuzi wa Lowassa kurejea CCM si jambo la kushangaza kwa sababu (a) alihama CCM kwa ajili tu ya kusaka urais huko Chadema (b) kwa kugombea urais kupitia Chadema, Lowassa aliweza kukihenyesha chama hicho kilichomuita fisadi huko nyuma, lakini kikalazimika kuzunguka nchi nzima kumsafisha Waziri Mkuu huyo wa zamani.

Kwa kifupi, Chadema mmevuna mlichopanda. Hatma ya chama hiki sasa itategemea sana jinsi kitakavyoweza kuhimili kipigo hiki kikubwa kabisa kwao. As it stands, kuna uwezekano mkubwa kabisa kwa chama hicho kutoambulia japo jimbo moja katika uchaguzi mkuu ujao, sio kwa kushindwa bali sio siri kuwa kuna wabunge kadhaa wa chama hicho wapo njiani kwenda CCM.

Na liwalo na liwe, wabunge wawili wasiotarajiwa kabisa kuwa ipo siku wataikimbia Chadema ni Kubenea na Bulaya wapo njiani kwenda CCM.

Back
Top Bottom