Hii ni janga la taifa,na hapa tunatakiwa kuweka itikadi ya vyama pembeni,mgao wa umeme siyo mpaka CDM,wananchi wote tunastahili kuungana katika hili.Hi na salam kwa wote....jamani mpona hatuwaelewi? tunaitaji maandamano kuishinikiza serikari kuhusu hili swala la umeme. Tumechoka...tumechoka!! watu wana imani na CDM ila kwa hili inaonekana mnalipotezea... acheni posho!!! Njooni kwa hili linalo onekana kinaga ubaga. Umeme umekuwa mali adimu kama almasi? umeme imekuwa kawaida kukatika kuliko kuwepo?
Wapi Dr. Kitila vijana wasomi tuna kutegemea...wapi ZITTO... wapi Myika wapi Mh. LEMA? jamani tunaitaji mabadiliko ya kweli.
Tunahitaji CDM watupe uongozi maana kila mtu hawezi kuandamana kuonyesha kutokubaliana na Hali akitokea nyumbani kwake. Kweli wananchi tunaoumia tunahitaji kuwaonyesha watawala kwamba Hali hii haikubaliki. Maandamano ya amani ni njia mojawapo tunayoweza kuitumia haraka. Please CDM we need LEADERSHIP on this....Hii ni janga la taifa,na hapa tunatakiwa kuweka itikadi ya vyama pembeni,mgao wa umeme siyo mpaka CDM,wananchi wote tunastahili kuungana katika hili.
Hi na salam kwa wote....jamani mpona hatuwaelewi? tunaitaji maandamano kuishinikiza serikari kuhusu hili swala la umeme. Tumechoka...tumechoka!! watu wana imani na CDM ila kwa hili inaonekana mnalipotezea... acheni posho!!! Njooni kwa hili linalo onekana kinaga ubaga. Umeme umekuwa mali adimu kama almasi? umeme imekuwa kawaida kukatika kuliko kuwepo?
Wapi Dr. Kitila vijana wasomi tuna kutegemea...wapi ZITTO... wapi Myika wapi Mh. LEMA? jamani tunaitaji mabadiliko ya kweli.
Unajidanganya.
Hao uliowataja hawataweza kukusaidia lolote. Ni miongoni mwa walalamikaji, wanung'unikaji kama wewe.
Ni wasanii na matapeli wa kisiasa. Wanachohubiri si wanachoamini na si wanachotenda.
Wameunda Chadema kwa maslahi yao binafsi. Wewe na wenzanko wa aina yako ndio mtaji wao.
Ikitokea siku ukazinduka..., utajihurumia kwa jinsi ulivyopoteza muda wako kushabikia upuuzi.
Wapi na wapi Mkubwa wa chama chako anauzia chama chako matakataka ya fuso kwa mamilioni mamia na nyie mnaishia kumshabikia kama mazezeta???
Mmekwisha, ...Mnastahili kuonewa huruma.
Hi na salam kwa wote....jamani mpona hatuwaelewi? tunaitaji maandamano kuishinikiza serikari kuhusu hili swala la umeme. Tumechoka...tumechoka!! watu wana imani na CDM ila kwa hili inaonekana mnalipotezea... acheni posho!!! Njooni kwa hili linalo onekana kinaga ubaga. Umeme umekuwa mali adimu kama almasi? umeme imekuwa kawaida kukatika kuliko kuwepo?
Wapi Dr. Kitila vijana wasomi tuna kutegemea...wapi ZITTO... wapi Myika wapi Mh. LEMA? jamani tunaitaji mabadiliko ya kweli.
usijaribu kupoteza hoja.gamba wewe.tukianza kuandamana tutaanza na wewe.nyau wwUnajidanganya.Hao uliowataja hawataweza kukusaidia lolote. Ni miongoni mwa walalamikaji, wanung'unikaji kama wewe.Ni wasanii na matapeli wa kisiasa. Wanachohubiri si wanachoamini na si wanachotenda.Wameunda Chadema kwa maslahi yao binafsi. Wewe na wenzanko wa aina yako ndio mtaji wao.Ikitokea siku ukazinduka..., utajihurumia kwa jinsi ulivyopoteza muda wako kushabikia upuuzi.Wapi na wapi Mkubwa wa chama chako anauzia chama chako matakataka ya fuso kwa mamilioni mamia na nyie mnaishia kumshabikia kama mazezeta???Mmekwisha, ...Mnastahili kuonewa huruma.
Tatizo wata wanaoathirika zaidi wako dar na hapa dar kumejaa watu waoga wa maandamano! CDM wakiitisha maandamano dar watakaofika ni wamamchinga na vijana wasio na ajira wale has ambao tunaathrika na umeme hataandamani tunategemea nani aandamane?
Kwa kweli watanzania wasomi wanakera sana maana kazi kulalalamika lakini hatuchukui hatua yoyote hata pale ambapo tuna haki ya kuandamana hatufanyi hivyo!
Kama wasomi na hasa wafanyakazi wasipoandamana, maandamano yatachukuliwa na serikali ni ya wahuni tu!
Nchi hii kila mtu anajua viongozi wa serikali hawawezi kuwafanyia chochote chema wananchi pasipo kukidai kwa nguvu.
Mimi ninauhakika watu wakiibana serikali kwa nguvu ya umma, mgao wa umeme utapatiwa ufumbuzi ndani ya siku chache tu.
Viongozi wa nchi hii wamezoea kutufanya sisi mabwege, wanajaribu kufanya kitu tusipo react wanakaa kimya tu. Mimi naamini mgao huu wa umeme unaajenda ya siri ndani ya serikali ya magamba. kwanini hakutuambia ukweli juu ya mgao huu badala yake waliwadanganya wananchi? Watu walisema serikali imefirisika wakabisha leo hii hata hela ya mafuta ya IPTL hoi! Tuwafanye nini watu wanaoendelea kutudanganya namna hii?
Watanzania tumelala ndani ya blaketi la amani hata hatuwezi kuamka leo wala kesho jamani? Kwanini watu hata wasiokuwa na akili kama ngeleja wanatufanya sisi mabwege tunakubaliana na lolote wanalotufanyia?
Mpaka watu wa dar tutakapokubali kushiriki maandamnao kwa dhati ndipo maandamano yatakapo leta tija kubwa katika hii nchi!
Hata CDM wanalijua hili ndo maana hawafanyi maandamano dar maana watu wa muhimu hawatafika.
The cream of this country has not contributed enough in the current fight for our right ! Let's wake up and fight for our rights
Hii sasa serious, yaani chama cha siasa mmekishusa hadi kuwa ni Maandamano Organisers?
Ni haki kwa Watanzania kuwa na umeme hivyo ni vema kuwepo ujasiri wa kushinikiza tatizo la umeme ufike tamati au wahusika wa tatizo wajiuzulu.
Hivi ukiisha andika hivi unajisikiaje? Unaona ndio uanaume wako umekalika ee?Ufinyu wa kufikiri..
hata ukiandamana ukashinda kutwa barabarani kama hakuna pesa hapatofanyika kitu, kwahiyo jamaa acha wakomae na posho ili pesa ile ndiyo ije kubalance mambo ya umeme
Hivi ukiisha andika hivi unajisikiaje? Unaona ndio uanaume wako umekalika ee?
Aisee jamaa linajua kutukana hili, vipi sifa zimetosha au bado?. bumbafuuuuu wewe